MICHEZO & BURUDANI »

20Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SIKU moja baada ya kuwafahamu wapinzani wao wa michuano ya klabu bingwa Afrika, Kocha wa Yanga, George Lwandamina, amesema Zanaco si timu ya kubeza na wanahitaji kujiandaa vizuri.