NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Isaya Mwita

23Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mradi huo wenye lengo la kudhibiti mafuriko na uchafuzi wa mazingira ambao unatarajiwa kumalizika Oktoba mwaka huu, utakuwa ni mahususi kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Mwita alisema kuwa...

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu

23Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe Digital Meneja wa Majembe Auction Mart Mkoa wa Kigoma Zilly Bakari, alisema anatekeleza agizo lilotolewa na NHC la kumuondoa mkuu wa chu hicho ambaye pia ni Mwenyekiti wa...

Waziri wa Fedha, Philip Mpango

23Apr 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Wakati serikali ikijipanga kuboresha mpango huo, wananchi wanatakiwa kulipa kodi ya majengo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na tozo ya pango la ardhi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na...

Vijana wafanyabiashara katika Soko la Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji wa kisheria wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wenye fulana za njano, baada ya kufungua klabu ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo mwishoni mwa wiki.

23Apr 2017
THOBIAS MWANAKATWE
Nipashe Jumapili
Klabu hizo zimeanzishwa kupitia kampeni ya miezi miwili ya Tunaweza inayoendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wakizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam,...

Kazimbaya Makwega

23Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Makwega alilazimika kulala kwenye mabweni alipokuwa kwenye ziara ya siku nne kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye vijiji mbalimbali ambako alikwenda kukabidhi wananchi ng'ombe na...
23Apr 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Sakata hilo lilitokea katika hoteli ya Vina iliyopo Mburahati jijini Dar es Salaam wakati viongozi wa CUF Wilaya ya Kinondoni walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu mgogoro unaoendelea...

Alphonce Felix Simbu.

23Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Alphonce, ambaye ni Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika mashindano maarufu ya Standard Chartered Mumbai Marathon, alimaliza mbio hizo kwa muda wa 2:09:32 na kuzawadiwa dola za...
23Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kwa ushindi huo, Yanga imeungana na Simba, Azam FC na Mbao FC kucheza hatua hiyo, ambayo bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha Tanzania Bara katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora, Angelah Kairuki.

23Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora, Angelah Kairuki alipokuwa akizindua Programu ya Mafunzo ya Uongozi kwa viongozi wa ngazi za juu wa...
23Apr 2017
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili mkoani hapa, Katibu Mkuu wa Doda, Iddi Kijiko alisema kumekuwa na kasumba mbaya kutokana na mchezo wa vishale kuchezwa katika 'Bar' hivyo jamii kuhisi kuwa wachezaji ni...

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad.

23Apr 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Katika ripoti yake ya ukaguzi wa maeneo ya wazi kwa miaka mitano kuanzia 2011/12 hadi 2015/16 iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita, anabainisha changamoto nyingi zinazoikabili serikali katika...

wanahabari.

23Apr 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akitoa mada kwa waandishi wa habari kuhusiana na masuala ya rushwa yaliyoandaliwa na Mamlaka ya kuzuia rushwa Zanzibar, Ofisa habari wa mamlaka hiyo, Mwanaidi Suleiman Ali, alisema ni vyema waandishi...
23Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe Jumapili
Sheria mpya ya kulinda wanyama imeweka adhabu ya faini ya hadi Pauni za Uingereza 6,500 (Sh. milioni 19) kwa anayepatikana kuuza, kula au kununua nyama hiyo. Pia, wanaothibitika kuwatesa wanyama...
23Apr 2017
Friday Simbaya
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imekuja baada ya kuwapo mgogoro usiokwisha ndani ya klabu hiyo na kusababisha TFF kuufuatilia ili kuiwezesha kujiandaa vema na Ligi Kuu msimu ujao ambapo baada ya uchunguzi, imetoa maagizo...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi na Ajira Jenista Mhagama.

23Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Mambo hayo, yametajwa jana mjini hapa, ni kutoundwa kwa tume ya pamoja ya fedha, usajili wa vyombo vya moto na suala la hisa za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Bodi ya Sarafu ya Afrika...
23Apr 2017
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe, kwa niaba ya Mkuu wa Takukuru mkoa wa Iringa, Evarist Shija, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji  kazi wa Takukuru kwa kipindi cha mwezi  Julai 2016 hadi Machi 2017, alisema...

rais john magufuli.

23Apr 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Ni jambo lililopokewa kwa shangwe wenye vyeti sahihi wakiona sasa ‘wameukata’ na mtihani ukawa kwa wasiokuwa navyo.    Shauku yangu katika ‘Upepo wa Leo’ ni kujadili uhusiano kati ya mwanafunzi...
23Apr 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Hayo yalijitokeza wakati wa mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na ile ya Menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa...
23Apr 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) inajiandaa kutoa mafunzo kwa wataalam kuhusu usalama wa mitandao, hata hivyo.Akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati wa kongamano lililolenga...
23Apr 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Hayo yalielezwa jana katika barua ya walinzi hao 11 ambayo iliandikwa na kupelekwa kwa  msimamizi wa shamba hilo la Kibaranga, Manase Nyamgali, kuhusu madai hayo zaidi ya miezi 10. Katika barua...

Pages