NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Wataalamu uchunguzi Misri watua nchini kusaidiana na Takukuru kufuatilia ‘dili’ zao
wangali wakifuatiliwa kwa karibu zaidi kuhakikisha ‘dili’ zao hazihusiani na vitendo haramu vya rushwa na ufisadi, ambavyo huligharimu taifa mabilioni ya fedha. Mbali na mawaziri na viongozi wa...
16Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
*Adai alipania sana amshike mkono akimpa tuzo , *Mwingine ataka kuwa bingwa mambo ya fedha
amesema amepania kuwa daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na kwamba kiu yake kubwa ni kuonana na Rais John Magufuli ili amshike mkono kwa nia ya kumpongeza.Aidha, kinara wa masomo ya mchepuo wa Lugha...
09Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
‘Wazee’ wa kusimamia ni Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na polisi. Sumatra ambaye mbali na kupanga na kufuatilia ruti katika mikoa mbalimbali, anahakikisha usalama wa...
09Jul 2017
Anceth Nyahore
Nipashe Jumapili
Akitoa hukumu hiyo Alhamisi wiki hii, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Fredrick Lukuna, alisema mahakama imeridhika bila shaka na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo, hivyo kutoa hukumu hiyo...

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge.

09Jul 2017
Anceth Nyahore
Nipashe Jumapili
Waziri Lwenge alitoa agizo hilo Februari 19, mwaka huu, alipofanya ziara mkoani hapa na kukagua ujenzi wa chujio hilo, unaofanywa na Kampuni ya Pety Co-operation Ltd kwa kushirikiana na ya Josam...
09Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baada ya kutembelea mradi huo, alisema kasi hiyo inatoa matumaini na kwamba kukamilika kwa mradi huo kutaliwezesha taifa kuwa na umeme wa uhakika utakaowezesha kuendesha viwanda.   Alisema mkakati...
09Jul 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Neno UJINGA, kwa tafsiri ya Kamusi ya Kiswahili Sanifu, toleo la pili la Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Dar es Salaam, ni hali ya kutojua kitu fulani; ubozi, ujahili, upumbavu, ubwege. Kwa...
09Jul 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Uamuzi huo wa serikali ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kutaka kupunguzwa kwa bei za dawa na vifaa tiba ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata huduma za matibabu kwa urahisi....
09Jul 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Siku hiyo ilianzishwa na Umoja wa Afrika (AU) kwa karibu miongo mitatu, inalenga kuwajali na kuwahudumia watoto wa bara hili ambao wanaishi ndani ya changamoto za umasikini zinazoambatana na lishe...
09Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mshindi anayepatikana kila wiki, pia anajishindia zawadi za muda wa maongezi, intaneti kila mwezi kwa muda wa mwaka mzima. Meneja wa Huduma za Biashara wa Tigo, Suleiman Bushagama, akizungumza na...

Somoe Ng'itu.

09Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika uchaguzi huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, Somoe ambaye awamu iliyopita alikuwa akikaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa TWFA, licha ya kukosa mpinzani, ameshinda nafasi hiyo kwa kupata kura...
09Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Aidha, imebainika kuwa hofu hiyo ya Chadema imeongezewa pia na taarifa walizosambaza (Chadema) jana kwamba sasa, Mdee amehamishiwa katika kituo kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam maarufu Police...
09Jul 2017
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Fadhil Nkurlu, aliyasema hayo na kuongeza kuwa utafungua na kuweka jiwe la msingi miradi mbalimbali yenye thamani ya Sh. billion 16 katika Halmashauri za Mji, Msalala na...

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HESLB, Dk. Cosmas Mwaisobwa.

09Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HESLB, Dk. Cosmas Mwaisobwa, alisema hayo jana alipokuwa akijibu maswali ya baadhi ya wateja waliotembelea banda la bodi hiyo kwenye Maonyesho...

MKUU wa Wilaya ya Kahama Fadhil Nkurlu.

09Jul 2017
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo wakati akizungumza na Nipashe na kuongeza kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la ukataji wa miti ovyo katika baadhi ya kata hali ambayo inahatarisha uoto wa asili katika maeneo hayo na...

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe.

09Jul 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Kadhalika, amesema serikali inaunga mkono juhudi mbalimbali zinazofanywa na wadau wanaowezesha vijana kuwa wabunifu na kuwawezesha kujiajiri. Mwakyembe alitoa rai hiyo juzi wakati wa mashindano ya...
09Jul 2017
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
*Wengi hulazimika kujisaidia vichakani  kukwepa foleni tundu moja watoto 130
Pamoja na idadi yao kubwa ya wanafunzi 2,154, bado hulazimika kutumia vyoo viwili tu vyenye matundu 16, hivyo kusababisha foleni ndefu zinazowalazimu wengi wao kujisaidia katika vichaka vya mlima...
09Jul 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hivi sasa sekta ya Utalii ndiyo inayoongoza kwa kuliingizia taifa mapato ya kigeni baada ya kuipita sekta ya dhahabu iliyoshuka kutokana na kuporomoka kwa...
09Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
*Polisi yadai kuua sita waliotoka Rufiji kwenda kujificha Mwanza
Aidha, wakati watu hao wasiojulikana wakitekeleza unyama huo wilayani Kibiti, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kupambana vikali na mwishowe kuwaua watu sita wanaodhaniwa kuwa watekelezaji wa mauaji...
09Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taifa Stars ilifanikiwa kushika nafasi hiyo baada ya juzi usiku kuibuka na ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Lesotho kwenye mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini...

Pages