NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

04Jun 2017
Joctan Ngelly
Nipashe Jumapili
Masawe alihukumiwa kutumikia adhabu hiyo baada ya kupatikana na kosa la kujipatia kiasi hicho cha fedha kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa mtumishi wa mahakama hiyo, Rehema Charles. Alijipatia...
04Jun 2017
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Meneja wa Tanesco Mkoa Maalum wa Kahama, King Fokanya, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa hali hiyo inasababisha shirika kutotekeleza mipango yake...

Makamu mwenyekiti wa chama hicho (Bara), Philip Mangula.

04Jun 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe Jumapili
Mangula ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili na Usalama ya CCM Taifa, anatarajia kufanya ziara ya siku moja  Kyela akiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho. Mwakifunga, ambaye pia ni...
04Jun 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Sambamba na hayo, wametakiwa kuwa wabunifu na namna ya kudhibiti matumizi yasiyo na tija  kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Aliyasema hayo  alipokuwa akizindua semina kwa wastaafu watarajiwa 450...

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani.

04Jun 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Vikao vya kushughulikia kero hiyo vitawakutanisha wataalam kutoka Tanesco na Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) kuanzia Juni 15 hadi 27, mwaka huu. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard...
04Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Usiri na imani potofu kuhusiana na masuala ya desturi za siku za kila mwezi kwa wanawake, zinazoighubika jamii sasa zifike mwisho, kwa kuwa yamechangia wasichana kutofahamu ukweli kuhusu kupevuka,...

Dk. Harrison Mwakyembe.

04Jun 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Leo katika sehemu ya 13 ya ripoti hii, inaelezwa jinsi changamoto hiyo ilivyosababisha athari hasi kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Wizara ya Katiba na Sheria. Akiwasilisha hotuba...

oseph Omog.

04Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Simba chini ya Omog imemaliza msimu wa mwaka 2016/17 kwa kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na kutwaa taji la Kombe la FA, ambalo limewapa tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.

04Jun 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa mwaka 2010 miamala ya kifedha kwenye simu ilikuwa kwenye bilioni lakini sasa imefika trilioni...
04Jun 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ladaiwa ndiyo chanzo taifa kunyonywa, Spika ashtuka, naye akoma kama JPM
Lawama hizo zinaelekezwa kwenye chombo hicho wakati huu ambapo kumekuwa na majibizano makali kuhusiana usafirishaji wa mchanga wa dhahabu ughaibuni. Hivi karibuni, Rais John Magufuli ‘JPM’...
04Jun 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa takwimu za BoT za Februari, 2017,limeliingizia taifa Dola milioni 346.6 karibu Shilingi bilioni 767.4 ikiwa ni makusanyo ya juu zaidi ikilinganishwa na yale ya Dola milioni 185 (...

Simon Msuva.

04Jun 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Zamalek yamwekea mkataka wa miaka minne mezani, Yanga yasugua kichwa ikitaka...
Msuva aliibuka mshambuliaji bora msimu uliomalizika sambamba na Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting, kila mmoja alifunga mabao 14. Taarifa zilizopatikana jijini jana zimeeleza kuwa endapo Msuva...
04Jun 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Baadhi ya wabunge, katika kuchangia hotuba hiyo, walisimama kidete kutaka mikataba hiyo ifumuliwe ili taifa linufaike na rasilimali zake hizo ambazo miongoni mwao walidai zinachotwa na wajanja...

Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Onesmo Olengurumwa.

04Jun 2017
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Tukio hilo lilitokea jana asubuhi katika hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es Salaam baada ya polisi kufika mapema kabla ya waandaaji kuwasili. Baada ya wahusika kufika kabla ya kuingia...
04Jun 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
huenda zikapata suluhisho kutokana na Halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiana na wananchi kuanza mipango ya ujenzi wa chumba cha upasuaji cha kisasa katika Kituo cha Afya cha Ubwari, kilichoko Kata...
04Jun 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
nikieleza kinachoitwa kosa la mkusanyiko usio halali, lakini pia nikihusisha na yanayofanywa na baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya, sasa endelea.. Kosa moja la tafsiri linalotukabili ni kuwafanya...

MKUU wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi.

04Jun 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Nchimbi alitoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari wanaoshiriki michezo ya UMISSETA mkoani hapa inayofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Mwenge. “Najua...

SPIKA wa Bunge Job Ndugai.

04Jun 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Spika Ndugai  alitoa kauli hiyo juzi kutokana na kitendo kilichofanywa na Mbunge wa Kibamba na Waziri Kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini, John Mnyika (Chadema), kudaiwa kuonyesha utovu wa nidhamu...

JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Sam Rumanyika.

04Jun 2017
Joctan Ngelly
Nipashe Jumapili
Rumanyika alitoa rai hiyo jana alipozungumza na mahakimu na watendaji wa mahakama katika eneo la Mahakama ya Mwanzo Mwandiga, wilayani Kigoma. Alisema watumishi wa Mahakama wanapaswa kujua hakuna...
04Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika ajali za radi wapo watu wengine wanaoishi bila kujua kuwa wanakaa katika maeneo yanayovuta radi kwa mfano kusimama chini ya miti mirefu, kukaa karibu na redio zinazotumiwa betri...

Pages