NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

02Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Chanzo kimoja kilicho karibu na mamlaka za kiuchunguzi na pia mahakama, kimeiambia Nipashe kuwa kuanzia kesho Jumatatu, upo uwezekano mkubwa wa kuwapo kwa msururu wa vigogo wanaokabiliwa na tuhuma...
02Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Taifa Stars ilifika hatua hiyo baada ya kuongoza katika Kundi A ambalo lilikuwa pia na timu za Angola, Mauritius na Malawi. Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Novatus Fulgence, alisema jana kuwa kikosi...
02Jul 2017
Christina Haule
Nipashe Jumapili
Kundi hilo la vijana wanaosaidiwa inajumuisha wanaomaliza elimu za vyuo vikuu, wanaopatiwa mikopo na elimu ya ujasiriamali ili wajiendeleze, bado vijana wanashindwa kutumia vyema fursa hiyo. Hatima...
02Jul 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Wasaidizi wa kisheria wamewekwa katika maeneo mbalimbali nchini, mijini na vijiji kwa lengo la kuwasaidia wananchi wanaohitaji msaada wa kisheria wapatapo matatizo. Kutokana na matukio mengi...
02Jul 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Tayari Wizara ya Katiba na Sheria imekamilisha muswada wa kutungwa kwa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali – Sheria ya Madini, Sheria ya Petroli, Sheria ya Kodi ya Mapato, Sheria ya Kodi ya...
02Jul 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba, aliwataja watu hao waliofariki dunia wakiwa wanapatiwa matibabu hospitalini ni Rajabu Ally Rajabu (73) na mke wake Amina Rajabu (62)....
02Jul 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Tayari nilishaleta hapa shuhuda ya mama mmoja ambaye alizaa watoto wanne kwa wanaume wawili tofauti, lakini akajikuta kila mwanaume akimnyang’anya mtoto mmoja na kubakiwa na wawili. Makala ilibeba...
02Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mwanafunzi huyo ambaye ni msichana wa pili kufanikiwa kuzoa mamilioni ya Biko, aling’ara katika droo ya Jumatano iliyopita na kukabidhiwa kitita hicho jana, ikiwa ni mwendelezo wa bahati nasibu hiyo...
02Jul 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe Jumapili
Ni takwimu ambazo zinatofautiana kulingana na namna tatizo lilivyo huku kukiwa na nchi, maeneo au kanda ambazo tatizo hili ni kubwa ikilinganishwa na maeneo mengine. Kwa mujibu wa takwimu hizo kwa...
25Jun 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akitoa salamu kwa waumini wa kiislamu na wananchi wote wa Zanzibar kuelekea sikukuu ya Idd el fitr itakayoadhimishwa kati ya leo na kesho kutegemeana na muandamo wa mwezi: Mkuu wa Mkoa huo Ayoub...
25Jun 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Wakichangia ripoti ya utekelezaji wa ZAECA katika kikao cha Baraza la Wawakilishi juzi, wajumbe hao walisema rushwa ni adui wa haki hivyo ikiondoka maendeleo ya nchi yatapatikana. Mwakilishi wa...
25Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tukio hilo limetokea juzi majira ya saa 9:00 alasiri katika Barabara ya Darajani-Mnazi Mmoja, eneo maarufu la Shule ya Sekondari Ben Bella mjini Unguja. Akizungumza na Nipashe, dereva wa gari la...
25Jun 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Ilihitajika kuanzisha Morogoro Road Mpya
Na Gaudensia Mngumi NI kilio kwa maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam ambao sasa hawatakuwa na pa kuishi kufuatia bomoabomoa iliyotangazwa na Wakala wa Taifa wa Barabara (Tanrods), inayodaiwa kuwa...
25Jun 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Agizo hilo alilitoa wiki hii wakati akihutubia wananchi wa Bagamoyo na kusisitiza kuwa kipindi chote cha utawala wake hakuna mwanafunzi aliyepata mimba atakayeruhusiwa kuendelea na masomo badala yake...
25Jun 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
baada ya mtikisiko ulioletwa na ripoti kuwa mabilioni ya fedha hupotea kutokana na usafirishaji nje wa mchanga wa dhahabu . Upotevu huo umedaiwa unatokea kwa sababu viwango na thamani halisi ya...
25Jun 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wiki iliyopita niliielezea roho hiyo na hata kuhusisha maandiko ya Mungu. Wapo watu wengi na hasa wanawake wanateswa na roho hii pasipo kujua chanzo chake. Wapo wanaodhani kuwa ujinga ni tusi...
25Jun 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tofauti na siku za nyuma, wakati watu walikuwa wakikimbilia hospitali zingine kufuata tiba ya meno, hivi sasa watu wengi wanafuata huduma hiyo kwenye hospitali hiyo ya taifa kupata tiba hiyo yenye...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu.

25Jun 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Makamu wa Rais, Samia Suluhu, alisema hayo juzi wakati akizindua rasmi Jumuiya ya Watoa Huduma wa Sekta ya Mafuta na Gesi (ATOGS), jijini Dar es Salaam. Alisema Tanzania inajiandaa kuingia katika...
25Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wadaiwa hao wameshindwa kulipa zaidi ya Sh. bilioni 1.1 za kodi ya ardhi. Kesi hizo zimefunguliwa barazani hapo na mwanasheria katika Ofisi ya Kamshna msaidizi wa Ardhi, Rosemary Mshana....
25Jun 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Idadi hiyo inatajwa kuwa ni asilimia 32 ya wagonjwa wanaopata huduma katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, lakini pia kinachoshangaza ni tumbaku kuliingizia taifa...

Pages