NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

13Aug 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Waziri Majaliwa ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui kwenye mkutano uliyofanyika kata ya Goweko, wilayani Uyui mkoani Tabora na Rais Pombe Magufuli...

Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa madarasa sita na ofisi moja ya walimu katika shule ya msingi Pakistan utete kata ya Pera.

13Aug 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Aidha amesema ofisi yake na halmashauri wataendelea kuunga mkono juhudi za wafadhili na wadau wanaojitokeza kushirikiana nao kutatua changamoto zinazowakabili jimboni hapo ikiwemo elimu. Ridhiwani...
13Aug 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Kinamama wengi wa Kijiji cha Mgonjoni, Jimbo la Kiwengwa, kilicho kilomita 35 Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja, hukumbwa na tatizo hilo.Hali inayowafanya kinamama kuzaa kila mwaka, inatokana na...
13Aug 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Majanga haya husababisha vipindi virefu vya ukame, mafuriko, joto kali, vimbunga na hata ongezeko ya viuatilifu na vimelea vya maradhi. Yote huathiri ekolojia ndani ya mbuga za wanyama hao na kuwa...

WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba.

13Aug 2017
Dege Masoli
Nipashe Jumapili
Dokta Tizeba alieleza kuwa uongozi wa mkoa na bodi ya kiwanda cha maziwa Tanga,haikumpa Rais taarifa sahihi kuhusiana na namna Wizara inavyolishughulikia tatizo la hati ya kiwanda cha Maziwa cha...
13Aug 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Kuna baadhi ya wafanyabiashara wanauza bidhaa zao katika mazingira yenye uchafu bila kujali madhara gani mlaji atayapata, anachokijali ni bidhaa yake kuuzika na kujipatia faida.Jambo hili lipo wazi...
13Aug 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Mshindi huyo si mwingine bali ni Rais Uhuru Kenyatta wa muungano wa Jubilee, ambaye ameshinda kwa mara ya pili dhidi ya mpinzani wake mkuu Raila Odinga wa muungano wa National Super Alliance (Nasa...
13Aug 2017
Anceth Nyahore
Nipashe Jumapili
Aidha walitaka serikali ishirikiane na Zanzibar kusaidia wajasiriamali kupata elimu ya kilimo hai kuzalisha jamii za mikunde kwa lengo la kulisha soko kubwa la mazao hayo lililopo visiwani...

Profesa Benoit Chalifoux.

13Aug 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mtaalamu wa masuala ya Mitaji, Biashara, Uchumi na Uongozi kutoka nchini Canada, Profesa Benoit Chalifoux, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akiwasilisha mada kuhusu ukuaji wa uchumi...
13Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kaimu Makamu wa Rais wa Simba, Idd Kajuna, awali alimwakikishia mwandishi wetu kuwapo kwa mkutano huo ambao licha ya malengo yake kuwekwa wazi, unaelzwa ni kwenda kupitisha uamuzi wa kumuuzia hisa...
13Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jana, Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Tanga (TARFA), Beatrice Mgaya, alisema maandalizi ya ligi hiyo yako katika hatua za mwisho na klabu zitakazochuana zinaendelea...
13Aug 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe kijijini hapo, mfugaji Modesta Yohana alisema ana mbuzi wengi wa maziwa lakini tatizo ni soko la kuuzia maziwa hayo.Alisema amekuwa akimwaga ziada baada ya matumizi yake ya...
06Aug 2017
Hamisi Nasiri
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa baraza la madiwani juzi Mwenyekiti wa Halmashauri na diwani wa kata ya Mihambwe Namkurya, Seleman Namkurya (CUF) alisema kuwa matokeo hayo hayajawaridhisha. Alisema kuwa...
06Aug 2017
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Aidha, imeelezwa kuwa hali hiyo, inasababishwa na wazazi kutokuwa na mwamko wa kushiriki shughuli za maendeleo ya shule ikiwamo kujenga miundombinu hiyo. Madai hayo yalitolewa na wanafunzi wa...

MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.

06Aug 2017
Happy Severine
Nipashe Jumapili
Mtaka aliyasema hayo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya siku mbili kwa wakuu wa shule zote za sekondari yaliyofanyika kwenye Sekondari ya Bariadi. Alisema kuwa wakuu wa shule wanatakiwa kuwa...
06Aug 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kusema kweli hii michango sasa imezidi mipaka na kumsababisha mtu kushindwa kuamua amchangie nani na amuache nani.Usipokuwa makini unaweza kujikuta mshahara wako wa mwezi wote unaishia kutoa kwenye...
06Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Uzalendo uwe mbele si maslahi ya vyama
Akaunti hii ilikuwa mahsusi kutunza fedha za Tanesco na kampuni binafsi ya kufua umeme ya IPTL kutoka Malaysia, ikishirikiana na VIP Engineering ya Tanzania, iliyokuwa inazalisha umeme kwa kutumia...

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph  Kasheku.

06Aug 2017
Daniel Limbe
Nipashe Jumapili
Kasheku, maarufu kama Msukuma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM  Mkoa wa Geita, alisema uamuzi huo ni salamu kwa watumishi wengine wa halmashauri zote za mkoa huo. Aliahidi kuzunguka na Mkuu wa Mkoa...

Kocha Mkuu wa Simba Mcameroon, Joseph Omog.

06Aug 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Omog alisema kuwa siku zote walizokuwa Afrika Kusini wamekamilisha programu zote walizoziandaa kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho na sasa wako tayari kuanza ligi na timu yoyote. Alisema licha ya...
06Aug 2017
Hamisi Nasiri
Nipashe Jumapili
Agizo hilo lilitolewa hivi karibuni na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Benaya Kapinga, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya, Selemani Mzee, alipokuwa akizungumza na watumishi hao pamoja na madiwani, katika...

Pages