NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.

06Aug 2017
Happy Severine
Nipashe Jumapili
Mtaka aliyasema hayo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya siku mbili kwa wakuu wa shule zote za sekondari yaliyofanyika kwenye Sekondari ya Bariadi. Alisema kuwa wakuu wa shule wanatakiwa kuwa...
06Aug 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kusema kweli hii michango sasa imezidi mipaka na kumsababisha mtu kushindwa kuamua amchangie nani na amuache nani.Usipokuwa makini unaweza kujikuta mshahara wako wa mwezi wote unaishia kutoa kwenye...
06Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Uzalendo uwe mbele si maslahi ya vyama
Akaunti hii ilikuwa mahsusi kutunza fedha za Tanesco na kampuni binafsi ya kufua umeme ya IPTL kutoka Malaysia, ikishirikiana na VIP Engineering ya Tanzania, iliyokuwa inazalisha umeme kwa kutumia...

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph  Kasheku.

06Aug 2017
Daniel Limbe
Nipashe Jumapili
Kasheku, maarufu kama Msukuma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM  Mkoa wa Geita, alisema uamuzi huo ni salamu kwa watumishi wengine wa halmashauri zote za mkoa huo. Aliahidi kuzunguka na Mkuu wa Mkoa...

Kocha Mkuu wa Simba Mcameroon, Joseph Omog.

06Aug 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Omog alisema kuwa siku zote walizokuwa Afrika Kusini wamekamilisha programu zote walizoziandaa kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho na sasa wako tayari kuanza ligi na timu yoyote. Alisema licha ya...
06Aug 2017
Hamisi Nasiri
Nipashe Jumapili
Agizo hilo lilitolewa hivi karibuni na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Benaya Kapinga, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya, Selemani Mzee, alipokuwa akizungumza na watumishi hao pamoja na madiwani, katika...

MKUU wa Wilaya ya Kilombero mkoa wa Morogoro, James Ihunyo.

06Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Fedha hizo zilitolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na wanachama wa skimu hiyo, Ihunyo alisema uzembe wa bodi hiyo umesababisha...
06Aug 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Rais anapaswa kuungwa mkono kwa hilo kama Tanzania inataka kuinuka kiuchumi na kuondoa chuki miongoni mwa raia wake. Anayepingana na juhudi hizo atakuwa ni mnufaika wa uozo huo ambao umedumaza...
06Aug 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Rais John Magufuli, akiwa njiani kuelekea jijini Tanga alijibu kilio cha wananchi wa maeneo ya Mkata, Kabuku, Michungwani, Mkanyageni na Muheza kwa kuagiza mashamba matano ya mkonge ambayo hati zake...

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba.

06Aug 2017
Peter Mkwavila
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imemfanya Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba, kuagiza alipwe fedha hizo haraka. Mshandoo ambaye ni mshindi wa kwanza katika mashindano hayo, alifikisha malalamiko...
06Aug 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Mwanamama huyo aliolewa na akabahatika kupata watoto wawili, lakini hakujua katu kwamba mumewe alikuwa na mwanamke mwingine aliyemuoa kimila huko kijijini kwao. Kwa kificho na kwa kisingizio kuwa...
06Aug 2017
Christina Haule
Nipashe Jumapili
Pia, mashamba hayo yatatumiwa kutoa elimu kwa wananchi wanaowazunguka wataalamu hao wakati wote. Ombi hilo lilitolewa jana na wakulima mbalimbali wakiwamo wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni,...

mafenesi

06Aug 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Komba ambaye kwa nafasi yake pia ni diwani wa halmashauri ya wilaya hiyo, aliyasema hayo juzi katika kikao cha baraza la madiwani kwenye ukumbi wa halmashauri, chini ya mwenyekiti wa halmashauri,...
06Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Msaada huo wa chakula uliotolewa jana, umejumuisha mchele, sembe, sukari, ngano, sabuni, mafuta ya kula, maharage, chumvi na maji na una thamani ya Sh. milioni 2.2. Akizungumza kwa niaba ya kundi...
06Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kama jibu ni ndiyo, basi shaka hiyo haipaswi kuachwa bila kufanyiwa kazi. Ulaji wa vitunguu wenye kuzingatia maelekezo sahihi ya wataalamu wa lishe ni suluhisho tosha la namna bora ya ‘kunogesha’...
06Aug 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Kutokana na uhakika huo, watafiti wa zao hilo wamesema wapo tayari kuwasaidia wakulima kupata mbegu za kisasa ili kumudu soko hilo na kuleta ushindani wa bidhaa hiyo kimataifa. Akizungumza katika...
06Aug 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Bomba hilo litakalogharimu Dola za Marekani bilioni 3.5 (sawa na Sh. trilioni nane), linatarajiwa kuwa refu kuliko yote duniani kwa yale yanayosafirisha mafuta ghafi yanayochemka kwa nguvu za umeme...
06Aug 2017
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Meneja wa Tanesco kanda ya Magharibi , mkoani Tabora, Maclean Mbonile, ameagizwa kuorodhesha majina ya wakurugenzi na mameneja, ambao hawakutekeleza maagizo ya Naibu Waziri Dk. Medard Kalemani ya...
06Aug 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
*Kamanda asisitiza ole wake atakayekaidi agizo kesho
Msako huo wa kuyakamata magari yote yaliyoweka vioo vya tinted za mtaani, umetangazwa kuanza kesho kwa madai kuwa yamekuwa yakitumika kwenye uhalifu na vitendo vya ngono. MASWALI MANANE Wakati...
06Aug 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Ilielezwa kuwa kukamilika kwa mradi huo kutawawezesha wananchi kuendelea kupata huduma bora zaidi za Afya. Madiwani walipitisha idhini ya ujenzi huo katika kikao chao cha mwishoni mwa wiki,...

Pages