NDANI YA NIPASHE LEO

17Aug 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Kesi hiyo ilitajwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Victoria Nongwa. Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Mawakili wa Serikali Peter Vitalis na Leonard, Swai unasubiri taarifa kutoka polisi...

Godbless Lema.

17Aug 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kutokana na mawakili hao kutofika mahakamani na kukwamisha usikilizwaji wake, Jaji Opiyo amewataka kuacha  tabia hiyo. Dk. Opiyo aliyasema hayo  jana mahakamani hapo, akishangaa kwa nini anaanza...
17Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Chanzo cha uhakika kililiambia Nipashe jana, kuwa wajumbe wa kamati mbili zilizoundwa na Spika Ndugai kufanya kazi hiyo walishindwa kwenda kwa wakati kwenye maeneo waliyotakiwa kuchunguza kutokana na...

Kocha Mkuu wa Simba Mcameroon Joseph Omog.

17Aug 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Kitendo cha timu yake kukosa ubingwa dakika za lala salama msimu uliopita bado kinamuumiza...
Akizungumza na gazeti hili jana, Omog, alisema kuwa kikosi chake kiko katika hali nzuri na lengo la kuimarisha mazoezi ni kuwafanya wachezaji wawe tayari kuwakabili Yanga katika mechi hiyo,...
16Aug 2017
Stephen Chidiye
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Rajab Omari Luhwavi, wakati akiongea na viongozi wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Tunduru mkoani, Ruvuma na kusema kuwa hali...
16Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kupita ukurasa wake wa Tweeter, Lungu ameandika: "#Kupima VVU, kupata ushauri na tiba sasa ni LAZIMA nchini #Zambia! #Tokomeza Ukimwi" Zambia inatajwa kuwa moja kati ya nchi zenye...
16Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aisawa ambaye kwa sasa ni mbunge nchini Japan, amesema hayo alipokutana na Rais John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo ambapo ameahidi kuyafikisha yale aliyoshuhudia nchini...
16Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa wilaya ya Kibondo, Luis Bura, ameiambia Radio One Stereo kuwa jeshi la polisi limefanikiwa kuwadhibiti na kwamba waliziba barabara zinazoelekea katika maghala ya chakula huku wakidai kuwa...

Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Mabadiliko ya tabia nchi, Welani Chilenga akizungumza na vyombo vya habari mara baada kupanda Mlima Rungwe mpaka kituo cha kwanza cha mapumziko.

16Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Welani Chilenga, amesema lengo la ziara hiyo ni kutaka kujifunza jinsi Wakala wa Huduma Misitu Tanzania (TFS) wanavyofanya uhifadhi kwa kuwashirikisha wananchi katika...
16Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, Salum Hamduni, amesema watuhumiwa hao walikamatwa Agosti 12 majira ya saa 11.50 jioni kwa kujihusisha na uuzaji wa dawa za kulevya. “Chid Benz na wenzake wapo...
16Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akithibitisha kutokea kwa moto huo, Ntinika amesema kuwa moto huo ulianza jana majira ya saa 4:00 usiku na kudumu hadi saa 7:00 usiku na kusababisha mali zote kuteketea, hivyo anatarajia kamati ya...

Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Jaffary Michael.

16Aug 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Jaffary Michael, alisema Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage, amemhakikishia viwanda hivyo vimepewa muda mfupi viwe vimeainisha mpango kazi wa...
16Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Walisema mfumo wa kuwasajili kwa njia ya elektroniki ndani ya  kituo kimoja, kunasababisha msongamano wa watu na saa za kazi kupotea bure. Akizungumza kwa niaba ya wenzake, Bahati Mahuchani, wa...
16Aug 2017
Rose Jacob
Nipashe
Mkaguzi Mwandamizi wa Chakula wa TFDA Kanda ya Ziwa, Julius Panga, alisema bidhaa zilizoteketezwa zilikamatwa katika kaguzi mbalimbali zililofanyika katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.  “Moja ya kazi...
16Aug 2017
Marco Maduhu
Nipashe
Walisema zao hilo limekufa kwasababu ya kutopewa kipaumbele kama mazao mengine ya kibiashara likiwamo zao la tumbaku ambayo  bei yake inafahamika na ndio maana wakulima wengi mkoani humo wamelilima...
16Aug 2017
Mhariri
Nipashe
Shughuli za kilimo cha umwagiliaji, mifugo, utalii na uanzishwaji wa viwanda ni miongoni mwa maeneo ya ushirikiano wa kibiashara ambayo mwisho wa siku, yanatarajiwa kuleta manufaa makubwa kwa kila...
16Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mbali na hilo, rais akawaomba wasichoke kuendelea kumuombea kwa kuwa jukumu la uongozi ni gumu, zito na ni msalaba mzito na kwamba bila maombi hawezi kufanikisha kuifikisha Tanzania katika maendeleo...
16Aug 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Rais sisi pia ni mwanajeshi wa ngazi za juu katika Jeshi la Misri, mwenye cheo cha Field Marshal. Cheo cha Field Marshal kimsingi ni cheo cha juu zaidi katika majeshi yenye mfumo ya vyeo vya aina...

Rais Mteule wa Kenya, uhuru kenyatta.

16Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe
*Ana miaka 23 lakini aliwashinda wabobezi
Rais Kenyatta alipata kura 8, 203, 290 ambayo ni asilimia 54.27 naye mpinzani wake mkuu, mgombea wa muungano wa upinzani wa National Super Alliance, Raila Odinga akapata kura 6,762,224 ambayo ni...
16Aug 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mzee Mwinyi, katika misemo yake mingi ya kuwaelekeza wananchi wenzake aliyoitoa ili wawe na maamuzi yenye tija katika mazingira mbalimbali ni ule usemao ‘kila zama zina kitabu chake.’ Kwa tafsiri...

Pages