NDANI YA NIPASHE LEO

25Apr 2017
Faraja Ezra
Nipashe
Najikita zaidi katika maeneo ya vijijini, kwa sababu ndiko kunakoongoza kwa vifo hivyo na kutokuwa na uelewa wa kutosha juu ya afya zao, pindi wanapokuwa katika hali ya ujauzito. Pia, ni dhana...
25Apr 2017
Mhariri
Nipashe
Kesi hizo zipo katika mahakama kadhaa na mabaraza nchini. Chemba inapendekeza kwamba ingependa kuona kesi hizo zinaamuliwa kwa wakati ili haki itendeke kwa pande zote. Kesi za mabishano ya...
25Apr 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, shahidi huyo alidai Sheshe ambaye ni mtoto wa kaka yake, baada ya kumpa taarifa hizo akiwa mahututi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikwenda kutoa taarifa katika kituo cha polisi Mbezi...
25Apr 2017
Samson Chacha
Nipashe
Magige, ambaye ni mkazi wa mji mdogo wa Sirari alifikishwa mahakamani jana kwa tuhuma za kumuua mtoto wake kwa kumpiga kwa nyundo kichwani na ubongo kusambaa.Mahakama Kuu ipo katika vikao vyake vya...
25Apr 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Akizungumza jana na gazeti hili, Juma Athuman ambaye ni mkazi wa Kyela alisema mkazi huyo alikamatwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika kijiji cha Itunge.Alisema walipata taarifa za kuwapo kwa mtu...

mgodi wa dhahabu Kitunda wilayani Sikonge, mkoani Tabora.

25Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia juzi, baada ya mvua kubwa iliyonyesha kusababisha kuporomoka kwa udongo wa juu wa machimbo hayo na kufukia wachimbaji wote waliokuwa shimoni. Akizungumza na...

Mkurugenzi wa Elimu na Huduma kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo.

25Apr 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Wanachama wa CTI wanaidai TRA marejesho ya ushuru wa forodha kwenye sukari ya viwanda ya Sh. bilioni 30 kwa kipindi cha Julai 2015 mpaka sasa. Mkurugenzi wa Sera wa CTI, Hussein Kamote, aliiambia...
25Apr 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Shuweha Abdallah Omar, Mkuu wa Elimu kwa Umma wa ZAECA, akiwasilisha mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari katika kuyaripoti matukio ya rushwa na uhujumu wa uchumi, alisema...

Mratibu Mkaazi wa UN nchini, Alvaro Rodrigues.

25Apr 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Ahadi hiyo ilitolewa na Mratibu Mkaazi wa UN nchini, Alvaro Rodrigues, ambaye alisema kwamba UN itahakikisha inaisaidia serikali katika kupiga vita na kutokomeza vitendo hivyo vya udhalalilishaji wa...

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba.

25Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akiuliza swali la nyongeza, Saleh alisema hivi karibuni kumekuwapo na vitendo vya utesaji na vimekuwa vikitajwa sana. Alisema hadi sasa mfumo uliopo hauruhusu ripoti ya haki za binadamu kujadiliwa...

Kiwanda cha Mbolea.

25Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kufuatia hali hiyo, Serikali imeahidi kuendelea kuhimiza uzalishaji wa mbolea uongezwe kwenye kiwanda hicho ili kukidhi mahitaji yaliyopo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Naibu Waziri wa Kilimo,...
25Apr 2017
Paul Mabeja
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na Katibu Tawala Wilaya ya Chamwino, Juliana Kilasara, wakati akizungumza na wakulima na wafugaji wanaonufaika na mradi wa kukabiliana na mabadiliko tabianchi kwenye Maadhimisho...
25Apr 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Tayari wafugaji wa wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara wameanza kunufaika na mradi huo baada ya benki ya Akiba kuwapa mikopo ya kuwainua. Akizungumza na Nipashe mjini hapa jana, ofisa mikopo wa benki...
25Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mehmet Ozyurek, amejaliwa pua ndefu na pana iliyochongoka kwa namna inayoonekana dhahiri, hivyo kumfanya yeyote anayemuangalia hata kwa haraka, anagundua mtu huyo ana pua ndefu na pana katika namna...

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.

25Apr 2017
Peter Orwa
Nipashe
Elimu ni miongoni mwa mambo aliyoyapa kipaumbele katika utekelezaji wa Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea nchini, ambayo taswira yake ilikamilika rasmi mwaka 1964. Inajulikana kuwa huo ni mwaka wenye...

Ofisa Elimu Mkoa wa Simiyu, Julius Nestory, akimkabidhi Ofisa Elimu Sekondari- Mji baadhi ya vifaa vitakavyotumiwa na wanafunzi wenye mahitaji muhimu.PICHA: HAPPY SEVERINE.

 

25Apr 2017
Happy Severine
Nipashe
“Wamekuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi za upatikanaji wa elimu kutokana na mapungufu ya miundombinu yaliyopo na tatizo la uhaba wa vitendea kazi kwao limekuwa ni suala ambalo si rafiki na hivyo...
25Apr 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Kuna makala niliyoandika kuwasahihisha waandishi wanaomwandika Edward Lowassa kuwa Waziri Mkuu ‘mstaafu.’ Niliandika kuwa yeye hakustaafu bali alijiuzulu; kwamba iandikwe Waziri Mkuu aliyejiuzulu...

waziri wa ardhi william lukuvi.

25Apr 2017
John Ngunge
Nipashe
Akisoma mapendekezo yaliyopitishwa na baraza hilo mwishoni mwa wiki, Makamu Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Albert Msole, alisema wanataka mkurugenzi huyo kutekeleza haraka agizo la madiwani. "...
25Apr 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mtaalamu wa Mambo ya Hifadhi ya Maliasili na Ekolojia wa NCAA, Dk. Asantaeli Melita, alisema hayo jana kwa niaba ya Mhifadhi Mkuu wa hifadhi hiyo, Dk. Freddy Manongi, kwenye mahafali ya nane ya...
24Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe Digital Mwenyekiti wa kijiji hicho, Medadi Kitinsi, alisema marehemu alivamiwa nyumbani kwake majira ya saa 6:00 usiku na watu wasiojulikana huku wakiwa na silaha za jadi na...

Pages