NDANI YA NIPASHE LEO

waziri wa viwanda, charles mwijage.

20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na mjini hapa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi wa Ubunifu, Ujasiriamali na Ushindani wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dugushilu Mafunda. Alisema utumiaji wa teknolojia ya kisasa...
20Mar 2017
Ahmed Makongo
Nipashe
Mradhi huo ulizinduliwa juzi katika kijiji cha Mariwanda, wilayani Bunda na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani na kushuhudiwa na wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati...
20Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Stars inatarajia kuikaribisha Botswana Machi 25 na baadaye kuivaa Burundi Machi 28 mwaka huu, mechi zote zitachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es Salaam. Akizungumza jana jijini, Mkuu wa...

Mwenyekiti wa ccm, Mkoa wa Singida, Martha Mlata.

20Mar 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe
Mwenyekiti wa chama hiko mkoani hapa, Martha Mlata alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na watendaji wa jumuiya za chama hicho baada ya kuukagua uwanja huo. Tayari matengenezo ya kuweka udongo...
20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wawakilishi hao wa Tanzania Bara wametolewa kwenye michuano hiyo kwa jumla ya mabao 3-1, kufuatia ushindi wa bao 1-0 walioupata katika mechi ya awali jijini Dar es Salaam, mfungaji akiwa Ramadhani...
20Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni baada ya kulazimishwa suluhu ya bila mabao ugenini dhidi ya wenyeji, Zanaco ya Zambia. Kilichoiondoa Yanga kwenye michuano hiyo ni sare ya bao 1-1 iliyoipata nyumbani, Uwanja wa Taifa jijini...
20Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Ligi hiyo inayoshiriki klabu 16 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara iko katika raundi ya 24, inamaana kila timu imebakiza michezo sita tu ili kumaliza msimu wa mwaka 2016/17. Mpaka sasa mbio...
20Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Kadhalika, juzi wapenda soka nchini walishuhudia Mbao FC ikiwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano hiyo kwa kuitoa Kagera Sugar baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Mechi...

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela.

20Mar 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe
Miongoni mwa walijitosa kuwania nafasi hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela. Mwakalebela aligombea ubunge katika jimbo la Iringa...
20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ilisema Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo amewatoa hofu wakazi wa visiwa hivyo kuwa hawatakatiwa umeme, baada ya...

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye .

20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ziara ya Nape inatokana na kile kilichoenea kwenye mitandao ya kijamii jana kuwa mmoja wa viongozi wa serikali alitinga kwenye kituo cha televisheni cha Clouds akiwa na askari polisi na kuwabughudhi...
20Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Askofu Gwajima amekuwa akidai kuwa Makonda alitumia vyeti vya elimu ya sekondari vya Paul Christian Muyenge kupata elimu ya juu, huku akisisitiza kuwa jina halisi na Mkuu wa Mkoa huyo ni Daudi Albert...
20Mar 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Changamoto hiyo imeibuka siku chache baada ya serikali kutoa katazo la bodaboda kuonekana barabarani kwenye baadhi ya kata za wilaya hiyo inapofika saa moja usiku. Kata zilizoamriwa kufuata...

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, Julius Mtatiro.

20Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa kikao hicho katika ofisi zaze zilizoko CUF Vuga, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, Julius Mtatiro, watajadili mambo mazito kwa ajili ya...

MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir.

20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Horera Tabu, alisema Mufti anaondoka usiku kuelekea Ujerumani...
20Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kadhalika, amesema lugha ya Kiswahili ina istilahi chache za kukiwezesha kutumika katika kufundishia masomo ya sekondari na elimu ya juu. Dk. Mkenda aliyasema hayo jana wakati akichangia katika...

Zitto Kabwe.

20Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Msafiri Mtemelwa, alisema Lissu anastahili pongezi kwa kufanikiwa kushinda nafasi hiyo kutokana na...
18Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aidha, waziri na viongozi wengine wanatakiwa pia kuzingatia dhana ya uongozi wa pamoja kwa kuwahusisha wenzao na pia kupata maoni ya wataalamu katika wizara au taasisi wanazoziongoza kabla ya...
18Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Wakati uchaguzi huo ukifanyika leo, jana ulizuka mjadala mkali wakati wa mkutano huku baadhi ya wanachama wakitaka Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe, afutwe uanachama. Tangu...
18Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa mradi huo kwa mkoa wa Dodoma katika kijiji cha Kigwe, wilayani Bahi, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani, alisema hatua hiyo itasaidia kukuza...

Pages