NDANI YA NIPASHE LEO

09Dec 2016
Anceth Nyahore
Nipashe
Mtuhumiwa huyo alikamatwa Desemba 2, mwaka huu saa 7:00 mchana akiwa na nyara hizo kinyume cha sheria. Mshtakiwa anadaiwa kukutwa na mkia mmoja wa tembo, ngozi moja ya chui na kakakuona mmoja...

Rais John Magufuli.

09Dec 2016
Romana Mallya
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili, madereva hao walisema licha ya kutozwa ushuru kila gari linaloingia kituoni hapo, lakini miundombinu zikiwamo barabara zinazotumiwa na magari hayo...

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji nchini, Mhandisi Edwin Ngonyani.

09Dec 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji nchini, Mhandisi Edwin Ngonyani, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam juzi kwa niaba ya Waziri Charles Mwijage, katika mkutano na Wizara ya Viwanda na...
09Dec 2016
Robert Temaliwa
Nipashe
Mwanga alitoa onyo hilo jana kwa wawekezaji alipokuwa akifunga mafunzo ya awali kwa askari mgambo 102 wa kata ya Mapinga wilayani hapa. Alisema kuna baadhi ya wawekezaji wamekuwa na tabia ya...
08Dec 2016
Chauya Adamu
Nipashe
*Madaktari, wauguzi, walimu wapeta, *Wamo pia wa sekta viwanda, kilimo
Hata hivyo, licha ya kutaja idadi ya watumishi wapya wanaotarajiwa kuajiriwa katika mwaka huu wa fedha, Serikali haijaweka bayana ni lini hasa ajira hizo zitaanza kutolewa licha ya kuwa imebaki miezi...

aliyekuwa Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru.

08Dec 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
*Ole Sendeka aukwaa ukuu wa mkoa, *Aliyetoswa na JK arudishwa Maliasili
Kuondolewa kwa Mafuru katika wadhifa huo ambaye sasa atasubiri kupangiwa kazi nyingine kunatajwa kuwa kumetokana na kauli yake iliyoashiria kupingana na Rais Magufuli kuhusu uwekaji fedha za taasisi...
08Dec 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Tanzania ni kati ya nchi 10 duniani zinazochangia vifo hivyo vya watoto wachanga kwa kiwango cha asilimia 66 duniani. Daktari Bingwa...
08Dec 2016
Mtapa Wilson
Nipashe
Rekodi hiyo inairejesha umma katikati ya miaka ya 1970, iliposababisha vifo vya watu wengi sana, shule kufungwa hali iliyoendana na kutoa somo jipya kwa umma na serikali katika namna ya kupambana...
08Dec 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mbali na hilo, sehemu kubwa ya uchinjaji wanyama unafanywa kwenye mapagare, bila ya kibali cha daktari wa mifugo. Hayo ni mambo yanayokwamisha nyama isivutie wateja wa ndani na kimataifa. Mtaalamu...
08Dec 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Hilo linatokea, huku kukiwapo sheria lukuki linalohusiana usafi wa nyama. Hizo ni pamoja na Sheria ya Mifugo ya Mwaka, 2003; Sheria ya Chakula na Dawa ya Mwaka 2003; na Sheria ya Usalama wa Umma,...
08Dec 2016
Mhariri
Nipashe
Rais Magufuli alitangaza uamuzi huo juzi kupitia taarifa ya Ikulu ambayo ilimkariri akisema kuwa waliofukuzwa Shinyanga wabaki palepale, kama ni leseni ya huyo mwekezaji, ifutwe. Mbali na kutoa...
08Dec 2016
Ahmed Makongo
Nipashe
Majeruhi hao ambao walishambuliwa kwa silaha za jadi zikiwamo fimbo, marungu na vitu vizito, kwa sasa wamelazwa katika Hospitali Teule ya wilaya hiyo (DDH) wakiendelea na matibabu. Mwanafunzi...
08Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kuua tembo mmoja katika Kitongoji cha Rwakibaga Kijiji cha Mugaba Kata ya Businde wilayani humu. Ametajwa kwa jina la Fulbert Dagobart (8), mkazi wa Kitongoji cha...

Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Anna Mghwira.

08Dec 2016
Mtapa Wilson
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Anna Mghwira, mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Mghwira alisema ili serikali iboreshe zaidi ATCL, inatakiwa iunde kitengo...
08Dec 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wachimbaji Gesi na Mafuta Majini na Nchi Kavu kwenye kina kirefu, Frank Mwankafu, wakati akizungumza na Nipashe kwa niaba ya wenzake. Aliyasema hayo...

MBUNGE wa Mufindi Kusini, Mendrad Kigola.

08Dec 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Hali hiyo ilijitoleza baada ya Meneja wa Tanesco wilayani Mufindi, Omary Ally, kueleza kuwa utekelezaji wa umeme wa Rea awamu ya pili, umefanyika kwa asilimia 100 kwa kila nyumba yenye hadhi...
08Dec 2016
John Ngunge
Nipashe
Mkurugenzi wa miradi wa World Vision Tanzania (WVT), linalojishughulisha na maendeleo, misaada wakati wa majanga na utetezi, Devocatus Kamara, alisema miradi hiyo imegharimu Sh. 210,000,000....
08Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Inadaiwa kuwa migodi mingi inashindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa zana za milipuko ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyo inasababisha uzalishaji na upatikanaji wa madini ya Tanzanite, ambayo ni...
08Dec 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Vyanzo vingine vya ongezeko la rushwa hiyo ni tamaa ya baadhi ya wanawake kupenda kupewa vyakula vizuri, nguo nzuri za mitumba, bila kutoa hela na kujikuta wakitoa rushwa ya ngono kwa wafanyabiashara...
08Dec 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Maisara, mjini hapa jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC), Dk. Said Seif Mzee, alisema hatua hiyo imechukuliwa...

Pages