NDANI YA NIPASHE LEO

22Apr 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema makato hayo yapo kwa mujibu wa sheria. Amesema hakuna jambo ambalo serikali inafanya bila kufuata sheria hivyo makato hayo...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Angellah Kairuki.

22Apr 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Watumishi hewa walikuwa wanaisababishia serikali hasara ya kiashi cha Sh. bilioni 19.8 kila mwezi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Angellah Kairuki aliyasema hayo bungeni...

mfanyabiashara Naeem Gire.

22Apr 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilisomwa jana Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Cyprian Mkeha aliyesikiliza kesi hiyo ambayo ushahidi wa pande zote mbili imeonekana umeshindwa kumtia hatiani mshtakiwa. Alisema mshtakiwa...
22Apr 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Mshtakiwa huyo alisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Godfrey Mwambapa. Wakili wa Serikali, Elizabeth Mkunde alidai kuwa Novemba 8, mwaka jana eneo la Kariakoo, Mtaa wa Agrey, wilaya ya...

MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara.

22Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, kila mwanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania analazimika kuheshimu na kufuata kanuni za maadili za shirikisho kama zilivyoainishwa kwenye kanuni zake mbali mbali....
22Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Bakari Shime, alisema jana kuwa mechi hiyo na nyingine dhidi ya wenyeji Morocco itasaidia kuimarisha kikosi chake kuelekea fainali za vijana zitakazofanyika mwezi ujao...
22Apr 2017
Friday Simbaya
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa Chama cha mbio za magari Iringa (IMSC), Hamid Mbatta, amewataka wananchi mkoani Iringa kutumia fursa ya mashindano hayo kukuza biashara kutokana na...

Diamond.

22Apr 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Mbali na wasanii hao pia wasanii wengine wa muziki wa Hip Hop na RNB wa hapa nchini watakaotangaza hapo baadaye watatoa burudani kwenye tamasha hilo. Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL...
22Apr 2017
George Tarimo
Nipashe
Lyata anasema, daima hawezi kudharau kitendo cha wananchi kumuamini kumpatia udiwani na kisha kumpandisha hadi kuwa Naibu Meya, chini ya Meya Alex Kimbe, hivyo atashirikiana na wenzake kuifikisha...
22Apr 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Marehemu ametambuliwa kuwa ni mkazi wa kijiji na kata ya Ifwekenya wilayani Songwe mkoani Songwe: Tano Emmanuel (45). Alifariki dunia kwa ajali hiyo iliyohusisha pikipiki yenye namba za usajili...
22Apr 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Changamoto nyingine ni asilimia ndogo ya wanawake ambao wanatumia huduma za uzazi wa mpango kwani kati ya wanawake 100, ni 32 pekee wanatumia huduma hizo. Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia...

waziri wa elimu, profesa joyce ndalichako.

22Apr 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Miongoni mwa vikwazo hivyo ni mila na desturi zinazorudisha nyuma utoaji elimu bora na endelevu kwa kila mtoto, na jamii kukosa muamko wa elimu kwa watoto wao hasa wa kike. Hayo yamebainishwa na...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango.

22Apr 2017
Peter Mkwavila
Nipashe
Mratibu wa Vicoba endelevu mkoani Dodoma, Amina Taine, akizungumza na Nipashe jana, katika maonyesho ya Mifuko ya Hifadhi na Taasisi mbalimbali yaliyoandaliwa na Baraza la Uwezeshaji Wananchi...
22Apr 2017
Paul Mabeja
Nipashe
Akizungumza na Nipashe juzi mjini hapa katika maonyesho ya mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi, Kajugusi alisema kiasi hicho kilitolewa kama mkopo kwa vikundi vya vijana ambao wamejiunga kwa ajili...

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

22Apr 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Akizindua bodi mpya ya wakala wa nishati vijijini REA mjini Dodoma juzi, Prof. Muhongo alisema kufikisha umeme katika maeneo ya visiwani ni kutimiza malengo ya REA awamu ya tatu ya kupeleka umeme...
22Apr 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Pia inawagusa vijana walio katika mazingira magumu duniani kote.  Waselishia wa Don Bosco waliingia nchini Tanzania mwaka 1982 na kuweka makazi yao  katika eneo la Oysterbay Jijini Dar es Salaam,...

Wanawake wajasiriamali mkoani Singida wakiwa kwenye uzinduzi wa Jukwaa la Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi: PICHA: MTANDAO

22Apr 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe
Na maadhimisho ya kwanza ya siku ya wanawake duniani yalifanyika mwaka 1910 nchini Ujerumani, baada ya kupitishwa kwa Azimio la Chama cha Kijamaa Amerika.   Nchi zote za Ulaya Magharibi na Amerika...

rais john magufuli.

21Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe
Kabla ya uteuzi huo Mchwampaka alikuwa Kamishna Msaidizi kwa sehemu ya uchimbaji mdogo wa madini. Aidha uteuzi wake umeanza tangu tarehe 19 Aprili, 2017. Wakati huo huo Rais Magufuli amemteua...
21Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Walioachiwa huru ni Cheyo Mayunga ambaye ni Afisa Maliasili Mkoa wa Kigoma, Leonard Nzila ambaye (Afisa Maliasili Manispaa ya Kigoma/Ujiji), Kaondime Mrangi ambaye ni Katibu Mhutas (PS) wa ofisi...

baadhi ya waandishi wa habari.

21Apr 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Waandishi hao ni Salome Kitomari, Gwamaka Alipipi, Neema Emmanuel, Abdul Mitumba, Sanula Athanas, Abdul Kingo, Lasteck Alfred na Mwidini Msamba wote wanatokea gazeti la Nipashe.Wengine ni Gerald...

Pages