NDANI YA NIPASHE LEO

23May 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa yake kuhusu mkakati wa kutokomeza ugonjwa wa fistula ya uzazi kwa wanawake iliyotolewa jana, serikali imechukua hatua hiyo ili kupunguza tatizo la ugonjwa huo wa kinamama....
23May 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Vigogo hao ni Mkurugenzi wa Elimu Bakari Issa, Mhasibu Emmanuel Mayuma, Kaimu Mkurugenzi Hellen Lihawa na Mhasibu Msaidizi Mbarouk Dachi, wote wa Wilaya ya Ilala. Washtakiwa wote walikana mashtaka...
23May 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema), ndiye aliyelifikisha suala hilo bungeni mjini hapa jana aliposimama na kuomba mwongozo wa Kiti cha Spika kuhusu matumizi ya fedha hizo mara tu baada ya...
23May 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kigoma mjini(ACT Wazalendo), Zitto Kabwe, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji aliliambia Bunge kuwa kupungua kwa mikopo si kiashiria cha hali...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba.

23May 2017
Dege Masoli
Nipashe
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba, mbali na mvua hiyo kusababisha vifo 10 na majeruhi 20, jumla ya nyumba 12 zilisombwa kabisa na maji hayo, nyumba 44 zilibomolewa na...
23May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Onesmo Lyanga, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa Jeshi hilo linaendelea kuwasaka watuhumiwa hao. Alisema Polisi imepata picha...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Hassan Nassir Ali.

23May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Mkasa huo ulitokea kwenye dimbwi kubwa la maji ya mvua lililopo katika eneo la Kibonde Mzungu, eneo la Barabara ya Fuoni, Unguja. Mohammed Abdallah (42) aliyekuwa dereva wa gari la abiria...
23May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lakini sasa paka huyu kutoka Melbourne, Australia ana urefu wa sentimita 120 (futi 3, inchi 11) na huenda akawa ndiye paka mrefu zaidi duniani aliyefugwa. Baada ya sifa zake kuenea mitandaoni, Hirst...
23May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, wanaotumia kompyuta nyumbani wanaaminika hawako katika hatari kubwa ya kuathiriwa na kirusi hiki. Unaweza kujikinga kwa kuboresha programu zako za kompyuta, kutumia kinga ya ukuta...
23May 2017
Happy Severine
Nipashe
Kuna madai kuwa, shule nyingi katika mkoa wa Simiyu zina uhaba mkubwa wa miundombinu ya vyoo, hali inayochangia kujenga mazingira ya kuwafanya wanafunzi kuwa katika hatari kubwa ya kukumbwa na...

malala.

23May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Alipigwa risasi kukatisha ndoto zake za elimu
Wakati wa sherehe za kumtawaza rasmi, Katibu Mkuu wa Umoja huo, António Guterres, alisema kuchaguliwa Yousafzai kama mjumbe wa amani wa shirika hilo ni muhimu. "Wewe ni ishara ya moja ya sababu...
23May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Mdahalo huo ulizishirikisha nchi mbalimbali duniani zinazoenzi Kiswahili kuliko sisi wenye lugha hiyo! Ndiyo yale yaliyosemwa na wahenga kuwa “Penye miti hapana wajenzi!” “Chako ni chako, cha...
23May 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Kuna baadhi ya wanasiasa waliowahi kupendekeza polisi wawepo kwenye vituo vya kutolea huduma za matibabu ili warahisishe upatikanaji wa fomu hizo kwa wanaozihitaji, wazo ambalo kimsingi ni zuri....
23May 2017
Mhariri
Nipashe
Takwimu hizi ni za kutisha kwa kuwa zinatoa ishara kuwa hali siyo nzuri, hivyo kuwapo haja kwa serikali, wadau na jamii kwa ujumla kuchukua hatua kudhibiti hali hiyo. Hayo yalibainishwa na mratibu...
23May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baada ya mchezo huo, mabingwa hao wataelekea Arusha kwa ajili ya kucheza mechi nyingine ya kirafiki sambamba na kulitembeza kombe la ubingwa ambalo wamelitwaa kwa msimu wa tatu mfululizo. Katibu...

Simon Msuva.

23May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kutokana na wachezaji hao kuibuka vinara kwa ufungaji ambapo kila mmoja amefunga mabao 14, watagawana zawadi ya Mfungaji Bora ambayo ni Sh. milioni 5.8. Yanga imemaliza ligi hiyo ikiwa bingwa kwa...

Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu.

23May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Zawadi hizo zinatarajiwa kutolewa kesho katika sherehe maalumu iliyoandaliwa kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu, alisema kuwa...

Ofisa Masoko wa EATV, Basilisa Biseko.

23May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Ofisa Masoko wa EATV, Basilisa Biseko, alisema kuwa jumla ya timu 54 zitaumana katika hatua ya mtoano kwa ajili ya kupata timu 16 zitakazotinga hatua ya 16 bora. "...
23May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni maalum ya kimaendeleo iliyopewa jina la “mimi na wewe” inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Makamu wa Rais alisema njia ya kuwavuta watalii...
23May 2017
Happy Severine
Nipashe
Aidha, wafugaji hao walisema kuwa zoezi hilo litawapunguzia baadhi ya milipuko ya magonjwa kwa kuwa mifugo hiyo inatambulika kwa alama na idadi halisi huku wakiwaomba wataalamu wa mifugo kuwafikia...

Pages