NDANI YA NIPASHE LEO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Angela Kairuki.

08Sep 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki, alisema hayo jana bungeni mjini hapa alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Mufindi Kaskazini (CCM),...
08Sep 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Pia ameomba mahakama hiyo itoe tafsiri na itamke vifungu vya saba (7) na 15 vya Sheria za Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Sura ya 97 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002 viko kinyume...
08Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hafla ya kumuaga balozi huyo ilifanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa sekta binafsi wakiongozwa na Mwenyekiti wa TPSF, Dk. Reginald Mengi. Akizungumza katika hafla...

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo.

08Sep 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, alisema Samson aliuawa wakati alipojaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi, alipokwenda kuonyesha polisi mshirika wake. “Mtuhumiwa baada ya...

Naye nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’.

08Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Timu hizo zitaumana Jumapili kwenye Uwanja wa Sabasaba huku Yanga ikiwa na kumbukumbu ya kuanza kwa sare kwenye mchezo wa kwanza wa ligi msimu huu dhidi ya Lipuli ya Iringa. Nsajigwa, alisema ana...
08Sep 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Hadi Juni 30, mwaka huu, kiwanda hicho kilikuwa kikikabiliwa na deni kubwa linalofikia Sh. 1,205,400,875.48 ambazo ni madai ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamii (...
08Sep 2017
Anceth Nyahore
Nipashe
Pia ni habari njema kwa wakulima wa zao hilo kunakoashiria uwezekano mkubwa kwa wanasimiyu kuondokana na umasikini na tatizo la ajira kwa vijana. Taarifa aliyotoa Meneja wa Kiwanda hicho, Benno...
08Sep 2017
Salome Kitomari
Nipashe
• Vitaanza kazi ifikapo mwishoni wa mwaka huu
“Kubinafsishwa Shirika la Usagishaji la Taifa (National Milling Company NMC) kuliathiri mfumo mzima wa uzalishaji, ununuzi, uuzaji na usindikaji wa mazao ya nafaka na mazao mchanganyiko,” ndivyo...

RAIS JOHN MAGUFULI.

08Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia ametaja sababu ya kutoanika majina ya Watanzania wanaoshiriki katika majadiliano kati ya serikali na mawakili wa kampuni hiyo yanayoendelea nchini. Waziri wa Katiba na Sheria, Prof....
08Sep 2017
Beatrice Philemon
Nipashe
.Ataka watu wachangamkie fursa
Wito huo umetolewa na Yonathan Piason Sehaba, mkulima kutoka Kijiji cha Kiegeya, wilaya Kilosa, mkoani Morogoro ambaye anaweka wazi kwamba kilimo hicho kitawakwamua kiuchumi kwa kupambana na...
08Sep 2017
Mhariri
Nipashe
Kwa kipindi kirefu watu wengi wakiwamo hata baadhi ya waliowahi kuwa viongozi wa kitaifa, wamekuwa wakidai kuwa hawajui sababu za Tanzania kuwa nchi maskini, licha ya kuwa na rasilimali lukuki, tena...
08Sep 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Huenda watu wengi walifurahia uamuzi wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kutangaza kwamba wapiga debe wataondolewa kwenye vituo vya daladala. Aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Kanda Maalumu...
08Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
• Kufungwa machimbo kwaathiri watu 70,000, • Wanawake wakiingia migodini dhahabu hutoweka
Kwa takriban miaka mitano iliyopita, watu wanaokadiriwa kufika 70,000 waliondoka majumbani mwao na kuhamia kwenye migodi ya dhahabu, pengine kuinukia kimaisha au kwa ajili ya kikidhi mahitaji ya...

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.

08Sep 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Watu waliomshambulia Lissu kwa risasi mfululizo kutoka katika bunduki inayodhaniwa kuwa SMG, wanadaiwa kuwa katika gari nyeupe aina ya Nissan. Timu ya madaktari iliyokuwa ikimfanyia upasuaji wa...

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog.

08Sep 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Lakini aweka wazi kesho mchezo dhidi ya Azam utakuwa na ushindani mkubwa…
Kiungo Haruna Niyonzima utawapa matokeo mazuri katika mechi dhidi ya Azam FC itakayofanyika kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Akizungumza na gazeti hili jana, Omog, alisema...
07Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli amesema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter na kutaka vyombo vya usalama kuwatafuta watu waliofanya tukio hilo la kinyama. "Nimepokea kwa masikitiko tukio la kupigwa risasi...

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kailima RamadhanI.

07Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumzia uteuzi huo, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa Tume imemteua Rehema Juma Migilla mara baada ya kupokea taarifa ya kuwepo kwa nafasi wazi...
07Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakisimulia tukuio wazazi wa binti huyo, wamesema kuwa mpaka majira ya saa nne usiku kuamkia leo Septemba 7 alikuwa nyumbani kabla ya kuwasili kwa vijana watatu waliokuja na pikipiki (bodaboda) na...
07Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema mtuhumiwa huyo wa utekaji alipigwa risasi ya mguu kama onyo la kujaribu kumtoroka askari aliyekuwa...
07Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, George Simbachawene ameandika barua ya kujiuzulu kufuatia kutajwa katika ripoti hiyo. Mwingine ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin...

Pages