NDANI YA NIPASHE LEO

14Jul 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Vigogo hao huenda wakaungana na watuhumiwa wengine waliopo kwenye mahabusu ya Gereza la Keko kutokana na kuwapo kwa hatari ya kushtakiwa kwa makosa ya rushwa 'kubwa' na uhujumu uchumi mahakamani...
14Jul 2017
Janja Omary
Nipashe
Nimeamua kulisema hilo, kwani mara nyingi wahudumu hao huwa marafiki na kukubembeleza pale anapotaka kupanda. Abiria anabembelezwa kwa vigezo na vishawishi vingi, ili awe sehemu mojawapo ya wateja...
14Jul 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Hayo yalisemwa na juzi na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki, alipokuwa akifungua warsha ya kukusanya maoni ya kuboresha rasimu ya sera mpya ya misitu ya 2016....
14Jul 2017
Dege Masoli
Nipashe
Pia imewataka wamiliki wa magari ya abiria mkoani hapa, kuyapeleka magari hayo Veta kwa ajili ya kuandikwa ubavuni viwango vya nauli wanavyotakiwa kutoza kwa wasafiri. Akizungumza na waandishi wa...
14Jul 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Meya asema wanufaika ni waliokutwa vizimbani
Ikiwa sasa ni mamlaka kamili, imeshatenga Sh. milioni 550, kwa ajili ya ukarabati wa masoko yaliyopo ndani ya manispaa hiyo. Kupitia malengo ya halmashauri husika, eneo mojawapo linalofuatiliwa...
14Jul 2017
Mhariri
Nipashe
Kutokana na wauzaji hao wa mafuta kukaidi kwa muda mrefu kuzitumia mashine hizo kwa sababu wanazozijua wao, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
14Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika makabidhiano hayo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenister Mhagama alisema kurejea kwa huduma za zahanati kutaleta...
14Jul 2017
Flora Wingia
Nipashe
Mtangazaji wa ITV Jacqueline Selemu aliwakutanisha Dk. Rugemeleza Nshalla, Mkurugenzi Mtendaji wa timu ya wataalamu masuala ya sheria (LEAT), Mchumi Bravious Kahyoza na Sabato Nyamsenda, ambaye ni...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.

14Jul 2017
Paul Mabeja
Nipashe
Akizungumza jana wakati wa kikao cha kujadili utendaji ndani ya jeshi hilo, Mwigulu alisema katika mwaka wa fedha wa 2017/18, serikali imepanga kuajiri askari wapya 600 ndani ya jeshi hilo ikiwa...

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala.

14Jul 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala, amewaonya wanasiasa katika Jiji la Mbeya wanaowakatisha tamaa wananchi wanaojitolea kuchangia shughuli za maendeleo na kuwafananisha watu hao na joka la mdimu....
14Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni hatua ya kiusalama iliyofikiwa na serikali ya Marekani, ikihofu hujuma za kigaidi na hasa baadhi ya nchi za Kiarabu. Kutokana na maamuzi hayo ya siku chache zilizopita, Shirika la Ndege la...

Dkt. Hamisi Kigwangalla akisisitiza jambo wakati akizungumza na wafanyakazi na wa Hospitali ya Wilaya ya Masasi-Mkoamaindo (Hawapo pichani).

13Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Hatu hiyo ya Kigwangalla imekuja baada ya kushangazwa na ubovu wa baadhi ya vifaa tiba katika maabara na vyumba vya upasuaji katika vituo vya afya mkoani humo. Kigwangalla ambaye yupo katika ziara...
13Jul 2017
Steven William
Nipashe
Mkuu wa Wilaya Muheza mkoani Tanga, Mwanasha Tumbo amewaagiza watendaji wa wilaya hiyo kuwaorodhesha majina askari hao ili waweze kulipwa posho hizo walizokuwa wanadai tangu mwaka jana. "Naagiza...
13Jul 2017
Asraji Mvungi
Nipashe
Golungwa amesema kuwa kinachofanyika  sasa sio  siasa,  bali  rushwa  za   wazi  wazi,   hatua  aliyodai  kuwa haina  tija  kwa  wananchi   wala  kwa  taifa. "Kama  kisingizio  ni   kumuunga  ...
13Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
 Everton  inashuka dimbani kukipiga mchezo wake wa kirafiki na timu kongwe ya  Gor Mahia ya Kenya kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Julai 11 Gazeti la The Guardian...

Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga.

13Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga anaenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, na nafasi yake inachukuliwa na...
13Jul 2017
Dege Masoli
Nipashe
Agizo hilo limetolewa na  Afisa Mkuu wa Sumatra Mkoa wa Tanga, Dk Walukani Luhamba, na kuwataka wamiliki wa magari ya abiria Mkoani humo kuyapeleka magari hayo Veta kwa ajili ya kuandikwa ubavuni...
13Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Washtakiwa hao wameachiwa na Hakimu Mkazi Huruma Shahidi baada ya upande wa mashtaka uliokuwa ukiongozwa na wakili wa Serikali Mwandamizi, Timon Vitalis kuiomba mahakama kufanya hivyo chini ya...
13Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema Serikali imetenga Sh. trilioni moja kwa ajili ya kusambaza umeme katika vijiji 8,000 ambavyo havijaunganishiwa nishati hiyo. Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo juzi jioni alipozungumza kwa...
13Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ummy  alitoa agizo  hilo jana mkoani  Geita akiwa katika ziara mkoani  Geita baada ya kutembelea na kukagua utendaji kazi  wa watumishi  wa sekta  ya afya  katika Hospitali ya Rufani ya mkoa ni hapa...

Pages