Biashara »

29Dec 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe

WAKULIMA mkoani Dodoma wametakiwa kuzitumia vizuri mvua zilizoanza kunyesha kwa kupanda mazao...

29Dec 2017
Salome Kitomari
Nipashe

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza na waandishi wa habari juu ya mchakato wa kumpata mrithi wake baada ya kustaafu mwaka 2019. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Tully Mwambapa na Mkurugenzi wa Mikopo, James Mabula. PICHA: SELEMANI MPOCHI

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, ametangaza kuachia nafasi hiyo ifikapo...

29Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

CHAMA cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao na Mawasiliano (Tewuta) kimempongeza Rais Dk...

29Dec 2017
Godfrey Mushi
Nipashe

MWASISI wa mfumo wa kilimo hai Tanzania, Hamisi Mohamed, amesema mazao yatokanayo na kilimo...

28Dec 2017
Steven William
Nipashe

HALMASHAURI ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga kupitia ofisi ya maendeleo ya jamii imetoa mkopo wa...

28Dec 2017
Stephen Chidiye
Nipashe

SERIKALI imesema haitazivumilia asasi za fedha, watendaji na waandishi wa Vyama vya Msingi vya...

28Dec 2017
Godfrey Mushi
Nipashe

SERA ya Rais John Magufuli ya kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda ili kuipeleka nchi kwenye uchumi...

28Dec 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), wametoa zawadi ya Krismasi na Mwaka Mpya 2018,...

27Dec 2017
Paul Mabeja
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge, amewataka viongozi wa wilaya mkoani hapa kusimamia...

27Dec 2017
Halima Ikunji
Nipashe

WANANCHI katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora wametakiwa kukata leseni ya kuwaruhusu kuchimba...

27Dec 2017
John Ngunge
Nipashe

BAADHI ya wakazi wa Kijiji cha Narakao, Kata ya Loibosiret, wilayani Simanjiro, wamelalamikia...

27Dec 2017
Godfrey Mushi
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, ametaka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (...

Pages