Habari »

20Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MMILIKI wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habinder Sethi na mfanyabiashara, James Rugemarila...

20Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Rais John Magufuli na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga wakifurahia jambo baada ya Mhe. Rais kuongea na watumishi wa Wizara hiyo kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam jana.

RAIS John Magufuli amemwagiza Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda...

20Jan 2018
Kelvin Mwita
Nipashe

MARA nyingi kinachowatofautisha watu waliofanikiwa na wale ambao hawajafanikiwa ni matumizi...

20Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Goodluck Ole Medeye.

MWANASIASA wa upinzani na aliyekuwa Naibu Waziri katika serikali ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete...

20Jan 2018
Grace Mwakalinga
Nipashe

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' (Chadema) akipanda kwenye karandinga la polisi jana kurejea rumande ya Gereza la Ruanda mpaka keshokutwa baada ya kunyimwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya jana. PICHA: GRACE MWAKALINGA

HAKIMU Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, Michael Mteite, jana aliamuru Mbunge wa...

20Jan 2018
Romana Mallya
Nipashe

Ndege ya Fastjet.

MWANAMKE ambaye jina lake halijafahamika amefariki dunia baada ya kugongwa na ndege la Shirika...

20Jan 2018
Augusta Njoji
Nipashe

Ofisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Aman Marcel (kulia), akimjazia fomu ya kujiunga na mfuko huo. (kwa juu nembo ya pspf) picha maktaba

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepinga kifungu cha sheria katika muswada ya mifuko ya...

19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira.

SERIKALI imewapa somo wanandoa watarajiwa na maharusi wanaokwenda ‘fungate’ kufanyia mapumziko...

19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Jeshi la Polisi wilayani Muleba Mkoa wa Kagera linawashikilia walimu wa sekondari wawili kwa...

19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Katibu wa CCM wa Mkoa, Paza Mwamlima.

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Manyara, kimekiri baadhi ya viongozi ndani ya chama walikuwa...

19Jan 2018
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

KESI ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema dhidi ya Rais John Magufuli...

19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

Serikali imetoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa homa ya Chikuganya ambao umeripotiwa na vyombo vya...

Pages