Habari »

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS John Magufuli.

RAIS John Magufuli amepokea radhi aliyoombwa na gazeti la Nipashe Jumapili, taarifa ya Idara ya...

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ya Mwalimu Nyerere iliyopo Kwangwa mjini Musoma akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 15, 2017. Kulia wake ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itahakikisha inakamilisha ujenzi wa Hospitali ya...

16Jan 2018
Lilian Lugakingira
Nipashe

magari yaliyohusika katika ajali ya kugongana uso kwa uso na kuua watu 11 juzi kwenye Kijiji cha Nyangozi wilayani Biharamulo mkoani Kagera. PICHA: LILIAN LUGAKINGIRA

WATU 11 wamepoteza maisha katika ajali ya gari iliyolihusisha gari dogo la abiria aina ya Toyota...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro.

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro, amewataka askari wa jeshi hilo kuwa na nidhamu kwani...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa wizara hiyo, Haroun Ali Suleiman.

WIZARA ya Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imesema Sheria ya Maadili ya...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina.

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, ametaifisha na kuteketeza kwa moto zana haramu za uvuvi...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Afisa Usajili Mamlaka ya Vitambilsho vya Taifa akichukua alama za Vidole vya mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Mbonji.

WANANCHI mkoani Mara wamejitokeza kwa wingi kutekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa huo, Adam Malima,...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wakulima wa ndizi katika halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe wamepinga hatua ya serikali...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT, Gaudencia Kabaka, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma kuanza ziara mkoani humo Januari 15, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.

WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amesema Serikali imeamua ujenzi wa viwanja vyote vya ndege...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Edward Lowassa.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amefunguka na kuweka wazi...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Faustine Ndugulile,...

15Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe

Mkuu wa Wilaya Ali Hapi, akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa ziara hiyo, huko Mabwepande. picha : K-VIS BLOG/Khalfan Said

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Ally Hapi, amesema kukamilika kwa mradi wa...

Pages