NIPASHE

21Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Amesema wagonjwa hao waliathiriwa na moshi wa moto wa mafuta ya Petroli kuanzia kwenye mfumo wa upumuaji, mapafu, figo na mwili ukawa  wazi kwa asilimia 90 kutokana na majeraha ya moto na...

Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo.

21Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ameitoa leo Agosti 21, 2019 wakati akizungumza na Maafisa elimu wa mikoa na wilaya mkoani Dodoma.Amesema kuwa Serikali imekusudia kuleta mapunduzi makubwa sana na hasa katika dira ya...
21Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Dube ametoa keki ya shukrani kwa MOI kama sehemu ya shukrani kwa sababu ya  kuridhishwa na huduma bora alizopata.Alikabidhi keki hiyo leo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Respicious Boniface...
21Aug 2019
Mhariri
Nipashe
Ni hatua nzuri iliyotangazwa hivi karibuni ikilenga kumlinda na kumtunza mtoto dhidi ya mambo hatarishi na sisi tungependa kuipongeza.Hata hivyo tunaona kuwa ni jambo lililochelewa, ilitakiwa hatua...
21Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Biteko alitoa onyo kwa wachimbaji hao kuacha ujanja ujanja wakati akizungumza na pande zinazohusika na mgogoro huo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mtumba, jijini hapa.Aliwataka wachimbaji...
21Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
-mwajiri, ubadhirifu na ufujaji wa zaidi ya Sh. milioni tano.Alisomewa mashtaka yake katika mahakama hiyo iliyoketi chini ya Hakimu Mkazi Vick Mwaikomba.Wakili wa Serikali, Pascal Magabe, alidai kuwa...
21Aug 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Hatua hiyo imechukuliwa  kufuatia mgomo wa madereva wa daladala walioshinikiza wamachinga hao waondoke kwa madai kuwa ni chanzo cha ajali sehemu hiyo.Hatua hiyo ilifikiwa jana baada ya...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana

21Aug 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akithibitisha jana ofisini kwake kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana, alisema Rehema alikutwa chumbani kwake akiwa  sakafuni Agosti 19, majira ya saa 4 usiku...
21Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Makonda alisema hayo jijini Dar es Salaam jana, huku akimtaja msanii mmoja maarufu nchini (jina tunalihifadhi), kuwa ni miongoni mwa wanaofanya vitendo hivyo.Alisema wataanzisha mjadala utakaorushwa...
21Aug 2019
Nebart Msokwa
Nipashe
Operesheni inayoendelea sasa ni ya kuwakamata madereva wa vyombo hivyo wanaokiuka sheria kwa kuingilia njia za magari ya abiria (daladala) kwa kuchukua abiria kwenye vituo vya magari hayo hali ambayo...
21Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo ni kufuatia kuuawa kwa watu saba juzi katika eneo hilo la Mashariki, linalotazamwa kama ngome ya uasi.Changamoto kubwa inayomkabili Tshisekedi tangu alipoingia madarakani ni kutathmini vipi...
21Aug 2019
Nebart Msokwa
Nipashe
Hayo yalisemwa na Meneja wa Mradi wa Uboreshaji wa Masoko ya Maziwa na Alizeti (Tam), unaotekelezwa na Shirika la Maendeleo la nchini Uholanzi (SNV) chini ya ufadhili wa Shirika la Msaada la...
21Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
-amedai mahakamani kwamba wakati anarekodi picha za video katika mkutano, hakuona wafuasi wa chama hicho wakiwa wameshika silaha ya aina yoyote.Kadhalika amedai kuwa hakuona wafuasi wa Chadema...

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan

21Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tanzania imejaliwa kupata rasilimali na vivutio vya kipekee duniani. Kidunia ukitaja Mlima Kilimanjaro, Mbuga za Serengeti na Ngorongoro itafahamika unamaanisha Tanzania. Tanzania pia imejaliwa kuwa...
21Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), amezichanga vyema karata zake katika dhima ya kuhakikisha kwamba Kiswahili kinapata fursa ya kuwa lugha rasmi...

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

21Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Makonda aliyasema jana jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku mbili baada ya Kiswahili kutangazwa kuwa lugha rasmi ya nne ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Awali jumuiya hiyo ilikuwa...

Pius Msekwa.

21Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-na Katibu Mtendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), pia mshauri muhimu wa Serikali na chama (TANU na CCM) kwa mengi.Pia Msekwa ana sifa nyingine ya kipekee, kuwa mdau anayefahamu fika picha kamili ya...

kupima udongo

21Aug 2019
Nebart Msokwa
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa juzi na Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mazao nchini (Tari), Kituo cha Uyole kilichopo jijini Mbeya, Dk. Tulole Bucheyeki, alipokuwa anazungumza na Nipashe kwenye maabara ya...
21Aug 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mbali na kuvua kwa ajili ya matumizi ya ndani, Tanzania pia husafirisha samaki kwenda nje ya nchi na kuwauza kwa mabilioni ya shilingi. Kwa mujibu wa Mpina, katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka...
21Aug 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Lengo la kuweka misingi hiyo ni kuhakikisha mtoto analindwa dhidi ya maovu yote ikiwamo ukatili wa aina zote lakini na kupata haki zake zote.Hata hivyo, pamoja na kazi kubwa inayofanywa, bado ukatili...

Pages