NIPASHE

26Feb 2021
Mhariri
Nipashe
Tunaipongeza Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji, na hiyo ni hatua nzuri ambayo hata viongozi wenyewe na wakazi wa halmashauri hiyo watakuwa wameifurahia, lakini sasa hawanabudi kuongeza kasi katika...
26Feb 2021
Saada Akida
Nipashe
Namungo imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-5, baada ya kupata ushindi wa mnono wa magoli 6-2 katika mechi ya kwanza iliyofanyika Jumapili iliyopita kwenye uwanja huo. Namungo ilikuwa ya kwanza...
26Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Adam Fimbo, ameeleza kwamba lengo la ziara hiyo ni mwendelezo wa kuhakikisha wajumbe wapya wa MAB wanapata uelewa wa pamoja juu ya kazi na majukumu ya udhibiti wa dawa, vifaa...
26Feb 2021
Saada Akida
Nipashe
Kauli hiyo imekuja baada ya wachezaji wa Simba kuonyesha kiwango kizuri ikiwamo, Luis Miquissone na kuvutiwa na baadhi ya mawakala na klabu mbalimbali zilizoshuhudia mchezo wa Kundi A kati ya Simba...
26Feb 2021
Renatha Msungu
Nipashe
Anasema, kutokana na hali hiyo huwa wanatumia kila mara mustakabali huo katika harakati za kupambana na rushwa jijini, kwani inaugusa mkoa na ustawi wa wananchi kwa jumla, ikizingatia taifa liko...
26Feb 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mmoja wa wanufaika hao aliiambia Nipashe Dar es Salaam jana kuwa wiki tatu zilizopita, walikamilisha taratibu zote za mikopo, lakini Jumatatu ya juma hili walipewa taarifa ya kupunguzwa kwa fedha za...
26Feb 2021
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, wateja 25,050 ambao ni sawa na asilimia 39, walijitokeza kuchukua fedha hizo na wateja hao ni wale waliokuwa na viwango vikubwa na kwamba kati ya Sh. bilioni 11 zimechukuliwa Sh. bilioni 7.3...
26Feb 2021
Somoe Ng'itu
Nipashe
Simba ndio mabingwa watetezi wa mashindano hayo yanayochezwa kwa mfumo wa mtoano na bingwa wake hupata tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kocha Mkuu wa Simba...
26Feb 2021
Hellen Mwango
Nipashe
Mdee aliachiwa huru jana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, iliyoketi chini ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba. Hakimu alisema baada ya kupitia ushahidi wa upande wa Jamhuri, bila kuacha shaka...
26Feb 2021
Christina Haule
Nipashe
Chombo hicho kwa jina rasmi ‘Tanzania Official Seed Certification Institute’ ambayo ndio imezaaa kifupi TOSCI, iko chini ya Wizara ya Kilimo na ilianzishwa kisheria mwaka 2003, kuchukua nafasi ya...
26Feb 2021
Peter Mkwavila
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa jana na viongozi wa umoja huo jijini hapa walipokuwa wakitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu agizo la Halmashauri ya Jiji kwa wafanyabishara wote wanaoleta mizigo yao kwa...
26Feb 2021
Romana Mallya
Nipashe
Alitoa rai hiyo, jana, alipozungumza na wananchi baada ya kuzindua miradi jijini Dar es Salaam, akisisitiza habari wanazihitaji, lakini lazima zikitolewa zitangulize uzalendo. "Wito wangu kwa...
26Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shirika la Posta Tanzania nalo limeamua kwenda na wakati, kuendesha shughuli zake kupitia simu za mkononi ikiitwa “Posta Kiganjani’ ikikadiriwa kuwapo wastani wa simu nchi zaidi ya milioni 40....
26Feb 2021
Romana Mallya
Nipashe
Alitoa onyo hilo jana, alipohutubia wananchi baada ya kuzindua jengo la Jitegemee lililoko Lumumba jijini Dar es Salaam ambalo ndani yake, zimo ofisi za vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Chama Cha...
26Feb 2021
Renatha Msungu
Nipashe
Chawala ametoa ushauri huo ikiwa ni siku chache baada ya Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi kukutana na wafugaji kuku na kubainisha mifugo hiyo sasa itauzwa kwa kupimwa katika mizani badala kukadiria...
26Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo ya kujidhatiti kibiashara pia inalenga kuimarisha uongozi wa benki hiyo katika utoaji wa huduma bora za kifedha. Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi,...
26Feb 2021
Hellen Mwango
Nipashe
makubaliano ya kumaliza kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili. Hata hivyo, Mahakama hiyo imesema DPP ana mamlaka ya kukubali au kukataa maombi yanayowasilishwa kwake ikiwamo  kuingia kwenye...
26Feb 2021
Zuwena Shame
Nipashe
Wakati hayo yakitokea, imefahamika kuwa asilimia 34.3 ya watoto wa shule kwa ujumla, wamenyanyaswa  kisaikolojia hasa na wazazi au walezi kwa mwaka 2019 pekee. Hayo yalibainika jana jijini Dar es...
26Feb 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Ni biashara iIiyoshamiri katika maeneo mengi nchini na hasa mijini. Imekuwa ni ajira inayowafanya wajikimu kimaisha, ikiwamo kulisha familia na kusomesha watoto wao. Hata hivyo, kuna kosa ambalo...
26Feb 2021
Restuta Damian
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, Jovinus Ishemba, mkulima Kata ya Kyebitembe; Philbert Kahabuka mkulima Kata ya Mabira; Marigoleth Kato walisema, kabla ya kupatiwa elimu hiyo kutoka kwa...

Pages