NIPASHE

25Feb 2021
Saada Akida
Nipashe
Simba ilipata ushindi wa bao 1-0 na kufikisha pointi sita ambazo zimewafanya wawe vinara katika Kundi A wakifuatiwa na AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Al Ahly na Al Merrikh ya...
25Feb 2021
Somoe Ng'itu
Nipashe
Simba iliingia makubaliano na serikali kwa kuvaa jezi yenye ujumbe huo kwenye mechi zake baada ya mdhamini wake Sportpesa kukinzana na mdhamini mwingine wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF)....

Wauguzi wahitimu katika mahafali yao, Kibaha mkoani Pwani. PICHA: MT ANDAO.

25Feb 2021
Yasmine Protace
Nipashe
Kila hospitali au vituo vya afya, kuna watu wanaojulikana kama wakunga ambao ni mahususi kwa uzazi na wengine wauguzi kwa huduma ya umma. Serikali inasema kazi yao ni kuhakikisha wanatoa huduma...
25Feb 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Wote kama Watanzania wana haki kutoa maoni, lakini maoni yasichangie kupotosha jamii, badala yake yaisaidie kuchukua hatua zinazoshauriwa na watalaamu wa afya ili kukabiliana na tatizo hilo....
25Feb 2021
Mhariri
Nipashe
Ufafanuzi huo umetolewa ukiwa umebaki mwezi mmoja na siku nne kufika tarehe ya mwisho ya usajili wa taasisi zinazotoa huduma ndogo za fedha, taasisi zinazotoa mikopo bila kupokea amana za umma...
25Feb 2021
Romana Mallya
Nipashe
Alitangaza kusudio hilo jana, wakati wa hafla ya uzinduzi wa makutano ya barabara Ubungo jijini ambayo ujenzi wake umegharimu Sh. bilioni 252.642 huku Sh. bilioni 8.375 zikitumika kuwafidia wananchi...
25Feb 2021
Rahma Suleiman
Nipashe
Hayo yalisemwa jana mjini Zanzibar na mshauri wa utaalamu wa mipango wa kilimo hai kutoka Wizara ya Kilimo, Omar Abubakar, wakati akifunga mafunzo ya siku tano ya kilimo cha viungo kwa maofisa wa...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Prof. Palamagamb Kabudi
akiwasomea waandishi wa habari (hawapo pichani) i
moja ya kifungu cha katiba kuhusu mipaka ya haki na
Uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu jijini Dar es Salaam.

24Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, amewaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa mkutano huo ni muhimu kwa sababu ya maamuzi ya msingi ya...
24Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli amezindua barabara hiyo leo Jumatano Februari 24, 2020 ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku tatu jijini Dar es Salaam.Amewasili eneo hilo saa 3:50 asubuhi na kufanya uzinduzi kwa...

Meneja uvumbuzi wa kampuni ya Bia ya Sarengeti, Bertha Vedastus akipongezana na wateja wa kampuni hiyo muda mfupi baada ya uzinduzi rasmi wa bia mpya ya Guinness smooth jijini Arusha.

24Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika uzinduzi wa bia hiyo mpya, wateja wa kampuni ya SBL, wauzaji wake wa bia pamoja na wenye mabaa walipata nafasi ya kuonja na kufurahia ladha ya kipekee ya bia ya Guinness smooth.Akiongea wakati...

Winga wa Simba, Luis Miquissone (katikati), akijiandaa kupiga shuti huku golikipa wa Al Ahly, Ahmed El Shenawy (kushoto), akifanikiwa kuondoa hatari kwenye lango lake katika mechi ya Kundi A ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda bao 1-0. PICHA: JUMANNE JUMA

24Feb 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Yaichapa Al Ahly 1-0 na kuongoza katika Kundi A…
Katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, maarufu kama Konde Boy, ndiye aliyefunga bao hilo pekee ambalo limeiwezesha Simba kufikisha...
24Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia amesema kuna ukiukaji wa sheria namba 9 ya mwaka 2020, jambo ambalo amesema waliotekeleza wamekwenda kinyume cha matakwa ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.Mkuya alitoa matamshi hayo wakati...
24Feb 2021
Rahma Suleiman
Nipashe
Tamko hilo lilitolewa jana na hayo yalielezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi), Dk. Khalid Salum Muhammed, na kusema hivi karibuni...
24Feb 2021
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, vikundi ambavyo vimetozwa fedha au vitatozwa fedha za usajili na halmashauri au manispaa yoyote vinatakiwa kutoa taarifa BoT ili hatua zichukuliwe. Pia vikundi vimetakiwa kutokuwa chini ya...
24Feb 2021
Mhariri
Nipashe
Aidha, viongozi wakuu wa serikali wamesema hakuna marufuku yoyote ya kuvaa barakoa, lakini msisitizo mkubwa ni tahadhari na kumwomba Mungu kwa bidii na ndiyo maana Rais John Magufuli alitangaza...
24Feb 2021
Richard Makore
Nipashe
Umesema kwamba watakaobainika watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh. milioni 50.Akizungumza na Nipashe, Kaimu Meneja wa WMA mkaoni Mwanza, Balisco Kapesa, alisema sheria ya vipimo inawataka...

Magari yakiwa katika msururu mpakani kusubiri madereva kupimwa Corona. PICHA ZOTE ZA MAKTABA.

24Feb 2021
Romana Mallya
Nipashe
Nchini Tanzania, kwa mfano, miongoni mwa hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa ni pamoja na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka, kutumia vitakasa mikono (sanitizers), kuvaa barakoa na hata...
24Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tuzo hizo zimetolewa na serikali kwenye mkutano wa kila mwaka wa madini na uwekezaji katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Katika tukio hilo, ambalo mgeni...
24Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akifungua juzi mafunzo elekezi kwa mahakimu yanayofanyika katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama, mjini hapa, Jaji Kiongozi alisema uamuzi wa mashauri yatakayofanywa na mahakimu hao lazima yazingatie...

waziri wa elimu, prof joyce ndalichako. picha mtandao

24Feb 2021
Shaban Njia
Nipashe
Shule hiyo ina wanafunzi 1,900 ikiwa na vyumba vya madarasa vinane, huku darasa moja likitumiwa kama ofisi ya walimu.Aidha, wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili wanalazimika kusoma kwa awamu...

Pages