NIPASHE

23Feb 2021
Renatha Msungu
Nipashe
Baadhi ya wakazi wanaoishi pembezoni mwa mkondo wa maji yatokayo katika mabwawa ya kufua umeme ya Mtera na Kidatu, wamekuwa wakifanya shughuli za kilimo na ufugaji katika maeneo hayo jambo ambalo ni...
23Feb 2021
Shufaa Lyimo
Nipashe
Biashara United yenye rekodi nzuri inapocheza kwenye Uwanja wa Karume Mjini Musoma ilikubali kulala bao 1-0 dhidi ya Simba wiki iliyopita.Akizungumza na gazeti hili jana, Mangalu alisema mabeki wa...
23Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sven, raia wa Ubelgiji alitangaza kuachana na Simba hivi karibuni na sasa amejiunga na klabu ya FAR Rabat ya Morocco.Akizungumza na jijini jana, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Afrisoccer, Peter...
23Feb 2021
Saada Akida
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Kaze alisema anaendelea kufanyia kazi upungufu uliyomo katika safu hiyo kwa kuongeza utulivu na umakini wa kutumia vyema nafasi wanazozitengeneza...

***Matola, Bocco waahidi watafanya kila njia ili kuendeleza ubabe nyumbani...

23Feb 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Simba itawakaribisha vigogo hao wa Afrika ikiwa na kumbukumbu ya kupata ushindi wa bao 1-0 ugenini katika mechi yake ya kwanza ya Kundi A dhidi ya AS Vita ya Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
23Feb 2021
Christina Mwakangale
Nipashe
Amesema kuna haja wadau hao wa maendeleo ya uchumi kuwekeza katika sekta hiyo kwa kuwa Tanzania ni kati ya nchi zenye utajiri mkubwa wa madini aina mbalimbali, ikiwamo ya kipekee ya Tanzanite....

Baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari zilizopo Kivule jijini Dar es Salaam, wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kupinga ukeketaji. PICHA: SABATO KASIKA

23Feb 2021
Sabato Kasika
Nipashe
zinasababisha maumivu kimwili na kiakili kwa mtoto”. Licha ya kuwapo sheria hiyo ukeketaji unaosababisha mateso kwa mabinti na wanawake ambao unakwenda kinyume na matakwa ya sheria unaendelea...
23Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, sekta nyingine ni usafirishaji na uhifadhi mizigo na biashara, ambazo ziliwezesha kuimarika kwa uchumi kwa kuongeza kipato cha wananchi.   Akiwasilisha mada ya mapito ya hali ya uchumi...
23Feb 2021
Christina Mwakangale
Nipashe
Katika maeneo tofauti ikiwamo vyuo, taasisi na baadhi ya shule za msingi au sekondari hakuna vyombo vya  kuhifadhia pedi zilizotumika na utaratibu bora wa kuziteketeza pia ni changamoto. Aidha,...
23Feb 2021
Ashton Balaigwa
Nipashe
Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo, alisema hayo  mjini Morogoro mbele ya Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda, kuhusiana na  sekta ya uchumi na uzalishaji mali kupitia kilimo....
23Feb 2021
Ashton Balaigwa
Nipashe
Katika mvutano huo wa siku nyingi ambao, kila kata ilidai kuwa shule hiyo ni mali yake, ulitatuliwa kwa namna tofauti na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare, kuwatwisha  mzigo  watendaji wa...
23Feb 2021
Nebart Msokwa
Nipashe
Amesema matangazo hayo yanasababisha taharuki na kukwamisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi.Chalamila alipiga marufuku hiyo jana wakati wa kikao cha kujadili namna ya kupunguza vifo vya watoto...
23Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alikabidhi magari hayo jana, baada ya kuzungumza na wananchi katika kituo cha Polisi Mtama ambako makabidhiano hayo yalifanyika. Magari yaliyokabidhiwa ni Toyota Land Cruiser Pickup yenye namba za...
23Feb 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Kinachofanywa na shule hizo ni chema kwa kuwa kinazifanya kuwa na uhakika wa kupata wanafunzi bora, wanaozitangaza hivyo kushawishi wateja zaidi kupeleka watoto wao huko. Huo ndiyo ubinifu wa...
23Feb 2021
Mhariri
Nipashe
yasiyo na tija. Tunasema haya kwa sababu wapo vijana na hata baadhi ya watu kwa mfano wanaoendelea kusema kuwa corona ni ugonjwa wa wazee na wenye maradhi sugu na kwamba hauwapati vijana na hili...
23Feb 2021
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Wakisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi  Mkoa wa Songwe, Vitalis Changwe, mawakili wa TAKUKURU, Emanuel Ndembeka na Simona Mapunda, walidai kuwa kwa nyakati  tofauti washtakiwa wakiwa watumishi...
23Feb 2021
Julieth Mkireri
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, alisema watuhumiwa hao wanadaiwa kusambaza taarifa za uvumi za vifo vya watu wakidai wamekufa...
23Feb 2021
Marco Maduhu
Nipashe
Mwaka 2015 serikali ilitangaza kutoa elimu bure kuanzia wanafunzi wa shule za awali hadi sekondari kwa lengo la kusaidia kupata elimu bila ya kujali hali za uchumi wa familia zao. Licha ya...
23Feb 2021
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Pamoja na bidhaa zilizotandazwa chini ngoma za masikio huumizwa na kelele za kila namna, za wamachinga, za vipaza sauti zilizorekodiwa kutoa matangazo ya kuita wateja na nyingine ni za vyombo vya...

Rais Dk. John Magufuli.

22Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza kuhusu ziara hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge amesema ziara hiyo itaanza Jumatano ya Februaryi 24,2021 ambapo atazindua Daraja la Juu Ubungo (Ubungo Interchange...

Pages