NIPASHE

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Longido Mkoa wa Arusha Dk. Juma Mhina.

22Feb 2021
Zanura Mollel
Nipashe
Amesema hayo alipokuwa akikagua maeneo yaliyovamiwa na Nzige katika Kijiji cha Kimokuwa na eneo la Tingatinga. Dk. Mhina amesema kuwa tayari Ndege ya kunyunyiza dawa ya kuuwa nzige hao imewasili na...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila.

22Feb 2021
Dotto Lameck
Nipashe
RC Chalamila amesema Shughuli hizo za mazishi zimekuwa zikianzia mochwari mpaka nyumbani kwa marehemu.“Wananchi wa Mbeya wamekuwa wakipitisha magari ya matangazo mitaani wakati wa misiba huku...

Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wilaya ya Dodoma Mjini, Diana Madukwa.

22Feb 2021
Dotto Lameck
Nipashe
Madukwa amesema katika kipindi hiki ambacho Watanzania wengi wamekua na hofu inayosababishwa na kutishwa na baadhi ya watu wasio na mapenzi mema juu ya ugonjwa wa kushindwa kupumua, Rais Dk Magufuli...
22Feb 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Utatuliza pia presha ya viongozi wa Yanga, ambao waliitisha mkutano na waandishi wa habari kulalamikia kile walichodai kutotendewa haki na waamuzi. Wanadai waamuzi wamekuwa hawawatendei haki,...
22Feb 2021
Mhariri
Nipashe
Al Ahly na Simba ambayo ni timu pekee kwenye michuano hiyo katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, ambazo zipo Kundi A, na zinakutana zote zikitoka kushinda mechi zao za awali dhidi ya AS Vita...

Kiungo wa Yanga, Mukoko Tonombe, akishangilia bao la tatu la kusawazisha dhidi ya Kagera Sugar na mchezaji mwenzake, Tuisila Kisinda, kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, iliyochezwa Jumatano iliyopita. Mabao sita yalipatikana kwenye mechi hiyo, timu hizo zikitoka sare ya mabao 3-3. PICHA: MAKTABA YETU

22Feb 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwenye mechi hiyo ambayo timu hizo zilitoka sare ya mabao 3-3, jumla ya mabao matano yalifungwa kipindi cha kwanza ambacho Kagera Sugar ilitoka inaongoza kwa 3-2 kwenye dakika 45 za kwanza. Mechi...
22Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Licha ya mlipuko wa virusi vya corona, 'kuna mengi yasiyotarajiwa' yametoka msimu huu. Kwenye Ligi Kuu England, bingwa mtetezi, Liverpool amekuwa kweye wakati mgumu sana na hivi sasa wamejikuta...
22Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Manchester City walianza taratibu, lakini sasa wamejiwekea rekodi ya kushinda mechi 15 mfululizo kwenye mashindano yote. Manchester United imeonekana kufufuka na kujiweka kwenye mbio za ubingwa....
22Feb 2021
Marco Maduhu
Nipashe
Walibainisha hayo kwa nyakati tofauti wakati wa ziara ya maofisa wa TASAF  walipozunguka Mkoa wa Shinyanga, kuangalia mafanikio ya walengwa katika kujikwamua kiuchumi. Mmoja wa walengwa hao kutoka...
22Feb 2021
Alphonce Kabilondo
Nipashe
Pia ameiagiza kufanya uchunguzi wa miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa katika katika Mkoa wa Geita.   Agizo hilo la Luhumbi limekuja siku chache baada ya Baraza la Madiwani katika halmashauri...
22Feb 2021
Nebart Msokwa
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani Mkoawa wa Mbeya, Meloe Buzema, wakati wa kikao cha madereva hao pamoja na watendaji wa Halmashauri ya...
22Feb 2021
Sanula Athanas
Nipashe
*Vituo vya maji 3,500 havitoi huduma, *Ripoti yabaini watumishi hewa bado wapo , *TAKUKURU yapewa jukumu kuwanasa
Hata hivyo, takwimu za Wizara ya Maji, zinaonyesha kwamba, hadi kufikia mwaka 2018/18, miradi ya maji iliyokuwa imeshatekelezwa na iliyokuwa inafanya kazi nchi nzima, ilikuwa na uwezo wa kuhudumia...
22Feb 2021
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Imeelezwa kwamba fedha ambazo shule hiyo ilipewa na serikali zaidi ya Sh.milioni 100 zimeisha bila ujenzi kukamilika. Alichukua uamuzi wa kumsimamisha mkuu huyo wa shule, Halidi Mchanga, baada...
22Feb 2021
Nebart Msokwa
Nipashe
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Amede Ng’wanidako, wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa Jiji hilo la kujadili makadirio ya bejeti ya mwaka...
22Feb 2021
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Salala, akizungumza na gazeti hili, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kwamba lilitokea Februari 13, mwaka huu majira ya saa 7:00 mchana katika...
22Feb 2021
Nebart Msokwa
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango nchini (TBS), Hamis Mwanasala, alitoa ushauri huo mwishoni mwa wiki wakati wa mafunzo maalumu kwa wasindikaji, wafanyabiashara wa mafuta na watendaji wa...
22Feb 2021
Augusta Njoji
Nipashe
Mnada huo unatarajiwa kuanzishwa nchini mwaka huu mijini Dar es Salaam ili wakulima waondokane na adha wanayoipata ya kusafirisha chai kwa gharama ya zaidi ya Sh.Milioni sita kwenda Mombasa nchini...
22Feb 2021
Richard Makore
Nipashe
Alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki katika kijiji cha Nyashimba katika Kata ya Nyigogo, wilayani Magu alipokutana na wafugaji na wakulima. Alisema mfugaji  atakayekamatwa amelisha mifugo yake...
22Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Prof. Mkenda alisema wananchi wasiwe na hofu kwa kuwa nzige wote watadhibitiwa kupitia wataalamu wa Wizara ya Kilimo waliopo kwenye maeneo yote yenye dalili za uwapo wao. "Kuanzia kesho (leo),...

Mshambuliaji wa Namungo FC, Stephen Sey, akichambua safu ya ulinzi ya CD de Agosto ya Angola kwenye mechi ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyopigwa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam jana na Namungo kushinda 6-2. PICHA: JUMANNE JUMA

22Feb 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni mechi ambayo De Agosto ilikuwa mwenyeji kutokana Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuamuru ichezwe hapa Tanzania badala ya Angola, kutokana na sintofahamu iliyotoka nchini humo kwa kikosi cha...

Pages