NIPASHE

20Feb 2021
Ani Jozen
Nipashe
Wakati amefariki, siku moja na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais huko Zanzibar, Seif Sharif Hamad, magazeti yalitofautiana habari ipi ni kubwa. Kimsingi Maalim Seif aliteka mioyo ya wengi na...
20Feb 2021
Happy Severine
Nipashe
Ofisa Madini  Mkoa wa Shinyanga na Simiyu,  Joseph Kumburu, alisema hayo jana katika  mkutano na wachimbaji wadogo mkoani hapa uliofanyika kata ya Dutwa wilayani Bariadi. "Mfano mwezi huu...

Choo kilichoboresha na dawasa katika mradi wake wa kuboresha mazingira ya wakazi wa buguruni kiswani.

19Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika kuthibitisha hilo DAWASA imeendelea na ujenzi wa mtandao rahisi wa majitaka pamoja na uboreshaji wa vyoo ili kuviunganisha katika mtandao wa majitaka katika eneo la Buguruni Kisiwani Jijini...
19Feb 2021
Pendo Thomas
Nipashe
Wakiongea na Nipashe jana baadhi ya wavuvi walio porwa mali zao walisema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Februari 16 kuanzia majira ya saa mbili usiku hadi alfajiri.Rajab Haji ni...
19Feb 2021
Neema Emmanuel
Nipashe
Hayo yalibainishwa na Naibu Waziri wa maji Maryprisca Mahundi  wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji wilayani Kwimba. Alisema lengo la serikali ni kuwahudumia wananchi na kwamba...
19Feb 2021
Zanura Mollel
Nipashe
Amesema kutoka kitongoji hicho hadi kufikia Shule ya Msingi Ngereyani ni zaidi ya Kilomita 15, lakini wananchi wa kitongoji hicho wamejitahidi wakajenga madarasa matatu ambayo yapo katika hatua za...

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Mwigulu Nchemba.

19Feb 2021
Dotto Lameck
Nipashe
Baada ya kutoa onyo hilo, Waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amevitaka vyombo husika kuchukua hatua za haraka bila kusubiri malalamiko ya muhusika...

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kwimba, Mansoor Hiran mwenye furaha baada ya wananchi wake katika kijiji cha Mahiga kupata majisafi na salama.

19Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Serikali italeta Sh. milioni 150 ili kazi ziendelee na nimefika hapa kutembelea miradi na kuona changamoto ili tuweze kuzitatua na kuweka msukumo ili miradi ikamilike na wananchi wapate huduma...
19Feb 2021
Neema Sawaka
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Kampuni ya Alliance one, David Mayunga, alipokuwa akitoa taarifa ya Kampuni hiyo katika mkutano mkuu wa 25 wa Chama Kikuu cha Ushirika wilayani...
19Feb 2021
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kwa mujibu wa kipeperushi cha TEC kilichothibitishwa na kusambazwa kwenye parokia, vigango na jumuiya za kanisa hilo kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano yake ya baraza hilo, wametaka waumini...
19Feb 2021
Said Hamdani
Nipashe
Issa alifikishwa juzi mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya, Maria Batraine, na kusomewa mashtaka na Mwanasheria wa Serikali, Rabia Ramadhani. Mwanasheria huyo alidai kuwa Februari...
19Feb 2021
Faustine Feliciane
Nipashe
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) jana ilitoa utabiri wa mvua za masika zinazoanza mwanzoni mwa mwezi ujao na kumalizika Mei, mwaka huu. Katika utabiri huo, mikoa ya Kanda ya Ziwa - Mwanza,...
19Feb 2021
Beatrice Shayo
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa za Benki ya Dunia za mwaka 2019, Tanzania inakisiwa kuwa na takriban wananchi milioni nne wanaoishi ughaibuni. Kwa mwaka, wananchi hao hutuma nyumbani zaidi ya dola za...
19Feb 2021
Hawa Abdallah
Nipashe
Katika barua yake aliyoiandika kwa shirikisho hilo, ameeleza kuwa kachukuwa maamuzi hayo kwa maslahi mapana ya soka la Zanzibar. Akizungumza na gazeti hili jana, Pandu alisema ameamua kupumzika...

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo (kushoto), akionyesha fedha zaidi ya Sh. milioni 176.5 za walimu wastaafu, jijini humo jana, zilizorejeshwa na kampuni ya Geneve Credit Shop inayotoa mikopo umiza. PICHA: RENATHA MSUNGU

19Feb 2021
Renatha Msungu
Nipashe
Fedha hizo zimerejeshwa kwa walimu hao baada ya TAKUKURU kumkamata mmiliki wa kampuni hiyo, Abubakary Kinyuma. Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma,...

Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa, Tarimba Abbas (kushoto) na Mwenyekiti wa Klabu ya Namungo, Hassan Zidadu, wakionyesha mfano wa hundi ya Sh. milioni 120, baada ya kampuni hiyo kuingia mkataba wa kudhamini tena kwa kipindi cha mwaka mmoja. Katikati anayeshuhudia ni mshambuliaji wa timu hiyo, Stephen Sey. MPIGAPICHA WET

19Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Namungo ambayo msimu uliomalizika ilicheza fainali ya Kombe la FA dhidi ya Simba iliyolitwaa taji hilo, imetinga hatua ya mchujo kuwania kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu...
19Feb 2021
Shaban Njia
Nipashe
Pia, ni zao la pili kulisha umma, ikifuatiwa na mahindi na inaelezwa inatumika kulisha kaya nyingi kitaifa. Wazalishaji ni wakulima wadogo wanaotegemea soko la wasindikaji wanaohifadhi bidhaa ghalani...
19Feb 2021
Romana Mallya
Nipashe
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, aliyasema hayo jana jijini hapa alipozungumza na waandishi wa habari na kubainisha wanamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma hizo...
19Feb 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Katika maeneo hayo, taka hizo hutupwa kandoo ya mito na kwenye vichaka, hali ambayo ni wazi kwamba inachangia kuchafua wa mazingira na wakati mwingine kuhatarisha afya za watu. Ni kweli vijana hao...
19Feb 2021
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Inaelezwa, kuanzishwa mfumo huo ulioanza kutumika kuanzia mwaka 2017, umeleta mabadiliko makubwa katika ukusanyaji fedha za umma, ikiziba mianya ya ‘mchwa’ waliokuwa wanatafuna fedha za walipakodi...

Pages