EATV
EATV SAA 1 - Simanzi na vilio vyatawala Akwilina akiagwa Chuo cha DIT
EATV SAA 1 - Rais Dkt. Magufuli ahimiza matumizi mazuri ya mapato EAC
KURASA - Zahanati ya Vingunguti yapata msaada wa vifaa mbali mbali
Naibu meya wa manispaa ya Ilala na Diwani wa Kata ya Vingunguti jijini Dar es salaam Bw. Omari Kumbilamoto leo amekabidhi vifaa mbali mbali vya hospitali katika Zahanati ya Vingunguti vyenye thamani ya shilingi milioni tatu.
EATV SAA 1 - Zoezi ya Chanjo ya Saratani kwa wanafunzi laanza kwa mafanikio
EATV SAA 1 - Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu soko la sarafu zenye thamani ya juu
Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu soko la sarafu zenye thamani ya juu
KURASA - Karavati la Tabata-Mandela lawa hatarishi kwa nyumba zilizopo karibu na eneo hilo
Wakazi wa eneo la Kigogo jijini Dar es salaam wameiomba serikali kuchukua hatua zitakazosaidia kunusuru baadhi ya nyumba zilizopo pembezoni mwa Karavati la Tabata – Mandela kutokana na Karavati hilo kuwa na mmomonyoko wa udongo unaoweza kusababisha nyumba hizo kuanguka.
EATV SAA 1 - Tani 3 za vipodozi vilivyopigwa marufuku vyanaswa mpakani Tunduma
EATV SAA 1- Baraza la madiwani Kongwa laagiza Polisi kuwakamata watendaji 15
KURASA - Wanaoachia Mifugo yao kuranda randa mitaani kukamatwa na kupigwa faini
Afisa mtendaji wa kata ya Mikocheni jijini Dar es salaam Bw. Salum Mzaganya amesema ukosefu wa elimu ya sheria kwa jamii inayofuga wanyama kama vile Mbuzi na wengineo kumesababisha baadhi ya wanyama hao kuonekana wakiranda randa mitaani na kusababisha uchafuzi wa mazingira.
Pages
