NIPASHE JUMAPILI

15May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Mjiolojia Fortunatus Kidayi alipokuwa akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack aliyetembelea banda la PURA katika Maonesho ya Tano ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji...

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilbrod Mutafungwa.

15May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilbrod Mutafungwa, ametoa kauli hiyo akiwa Mkoani Geita ambapo amesema wamekuwa wakiwapima madereva mbalimbali wa mabasi na malori na kubaini hali hiyo huku...
15May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akisomewa shitaka hilo na Mwendesha mashtaka Asifiwe Asajile mbele ya Hakimu Timoth Mwakisambwe, imedaiwa kuwa Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo mnamo Mei 12 mwaka huu majira ya mchana ambapo...

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko.

15May 2022
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani inayoadhimishwa leo, Mrindoko alisema jana kuwa ndani ya matukio hayo, kuna matukio 887 yanayohusu ukatili dhidi ya...

Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Richard Abwao.

15May 2022
Richard Makore
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu jana, Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Richard Abwao, alisema tukio hilo lilitokea juzi katika eneo la Isakamaliwa wilayani Igunga.Alisema wananchi hao ambao...

​​​​​​​KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka.

15May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Shaka alisema hayo jana mjini Babati mkoani Manyara katika mkutano wa ndani wa kujitambulisha mbele ya wanachama wa CCM kama mlezi mpya wa chama hicho akichukua nafasi ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo...

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mwangwala.

15May 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Kamati hiyo iliundwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro,  Raymond Mwangwala, mwishoni mwa  mwaka jana kuchunguza chumvi hiyo iliyolalamikiwa na wafugaji wa Tarafa ya Ngorongoro kuwa ni feki na...
08May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika hafla ya kupokea na kufungua rasmi vyoo iliyofanyika jana Kigamboni, Afisa Tawala wa wilaya, James Mkumbo ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Fatma Nyangasa, aliishukuru  ...

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji

08May 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Katika hotuba yake wakati wa kongamano la pili la Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea Katiba Mpya, jijini Mwanza jana, Mwenyekiti wa chama hicho, Juma Duni Haji, alisema kikosi kazi cha Rais Samia Suluhu...
08May 2022
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana na waandishi wa habari jijini hapa, Kaimu Rais wa CWT, Dinnah Mathamani, alisema uhaba wa nyumba za walimu ni tatizo kubwa hasa vijijini. “Walimu wanaoajiriwa wengi...

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League Theobald Sabi (Kushoto) akikabidhi hundi yenye thamani ya sh mil 1 kwa mchezaji wa klabu ya Simba Clatous Chama alietangazwa mchezi bora wa ligi hiyo kwa mwezi Machi. (Picha kulia) akikabidhi hundi yenye thamani ya sh mil 1 kwa kocha wa klabu ya Simba Pablo Franco alietangazwa kocha bora wa ligi hiyo kwa mwezi Machi wakati wa mechi kati ya Simba na Yanga iliyofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

01May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Theobald Sabi ndiye aliyeongoza shughuli hizo kwa kukabidhi  tuzo na zawadi ya fedha kiasi cha Sh. mil 1, kwa mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama...
01May 2022
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Kali katika maadhimisho ya kilele cha Siku ya usonji na kulihakikishia  Shirika la Li-TAFO (Living Together Autistic Foundation)...
01May 2022
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ameitoa jana wakati wa mdahalo wa Mapinduzi ya Sekta ya Habari tangu Uhuru ulioandaliwa na REPOA na Media Space kwa ufadhili wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.Alisema kuwa hali ya...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako (wapili kushoto), akikabidhi tuzo kwa mwakilishi wa moja ya makampuni yaliyoshinda tuzo za Usalama na Afya mahali pa kazi na OSHA ikiwa ni miongoni mwa shughuli za maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Duniani Aprili 22, 2022.

01May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mwaka huu maadhimisho hayo yenye kauli mbiu; Kwa Pamoja tushirikiane kujenga utamaduni bora wa Usalama na Afya mahali pa kazi,  yamefanyika kitaifa jijini Dodoma ambapo Mgeni Rasmi alikuwa...

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

24Apr 2022
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Waziri Bashe, alishauriwa hayo leo na wanazuoni, wana ushirika na wabia wa maendeleo kutoa Taasisi za Fedha, wakati wa mdahalo wa kitaifa juu ya uanzishwaji wa Benki ya Taifa ya Ushirika,...
24Apr 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hafla ya futari hiyo ilifanyika Hotel ya Tanga Beach Resort jijiji Tanga  ikihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja, wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na viongozi mbalimbali...
24Apr 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Katika filamu hiyo, Rais Samia anaonekana kumudu vyema kazi yake ya kuongoza watalii kwa kumweleza kuhusu vivutio kwenye Hifadhi za Taifa na Zanzibar.Pia Rais alionekana akimwendesha mgeni wake...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel.

24Apr 2022
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel,wakati akifungua kikao kazi cha kujengeana uelewa wa pamoja kuhusu utekelezaji wa miradi ya kupunguza umaskini awamu ya nne(TPRP...

​​​​​​​Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima.

24Apr 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Waziri Gwajima alitoa kauli hiyo jana alipofanya ziara mkoani hapa na kutembelea kaburi alilozikwa mtoto huyo nyumbani kwao katika Kijiji cha Lyabukande.Alisema amelazimika kufanya ziara hiyo mkoani...

Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko.

24Apr 2022
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko, alitoa ufafanuzi huo jana katika semina ya wabunge ya kuwajengea uwezo kuhusu fursa zilizopo kwenye sekta ya Madini iliyoandaliwa na Shirika la Madini la Taifa (...

Pages