NIPASHE JUMAPILI
21May 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo jana Chamwino mkoani hapa wakati akizindua jengo hilo katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiwamo marais wastaafu wa awamu zilizopita.“Wale waliokuwa...
21May 2023
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Mkono aliyekuwa akitibiwa nchini Marekani tangu mwaka 2018, alifikwa na mauti Aprili 18, mwaka huu. Aliondoka kwenda Marekani wakati bado ni Mbunge wa Butiama na jimbo lilibaki wazi hadi...
21May 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Mgomo huo ulitikisa mapato ya serikali kutokana na eneo la Kariakoo kuwa kitovu cha biashara, baadhi ya watu wanadai kuwa ndio uliomwondoa na kuhamishiwa Mwanza. Safari hii, wamiliki wa hoteli, baa...
21May 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ulitangaza kwamba utaratibu wa malipo ya Sh. 50,400 ya huduma ya ‘Toto Afya Kadi’ umeondolewa kuanzia Machi 13, mwaka huu, kwa ambao bima zao...
21May 2023
Allan Isack
Nipashe Jumapili
Ndoa hiyo ya kijeshi ilifungwa mwisho ni mwa wiki jijini Arusha na kuudhuriwa na viongozi waandamizi wa jeshi hilo na viongozi wa serikali."Kwa kweli imekuwa siku muhimu katika maisha yangu kwa...
21May 2023
Titus Mwombeki
Nipashe Jumapili
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kagera, Abdul Kasim alipofanya operesheni maalumu ya kuwatembelea wafanyabiashara katika Manispaa ya Bukoba ambapo amewataka...
21May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wanafunzi hao walionyesha umahiri wao wakati wa mahafali ya 15 ya kidato cha sita ambapo mmoja alikuwa akizungumza Kifaransa na mmoja kutafsiri kwa lugha ya Kingereza.Kamishna huyo alielezea...
14May 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana mara baada ya kutembelea Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), jijini Dar es Salaam, Prof. Shemdoe amesema lengo la la ziara ni kujionea shughuli mbalimbali za...
14May 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Baada ya kuwahoji walibainika kuwa majina yao halisi ni Ismer Abdalah na Jeremiah Elkana na kwamba watu hao wanadaiwa kujihusisha na biashara ya ngono kinyume cha maumbile katika eneo la...
14May 2023
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Watu wengine walioshinikizwa kutuma kiasi hicho cha fedha na mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza anayesoma kozi ya famasia ni wazazi, jamaa na marafiki kwa madai kwamba asiuawe na waliomteka, hali...
14May 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Aidha, ameonya matumizi mabaya ya mitandao kwa vijana na kuwataka watumie kwa kulinda mila, desturi na kujielimisha.Akizungumza jana kwenye hafla ya kutia saini mikataba ya ujenzi wa minara 758 kati...
14May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
• Mapato kutokana na matumizi ya intaneti yaongezeka kwa 34.2%, dalili nzuri kwa matumizi ya intaneti na simu janja., • Miamala ya shilingi trilioni 6 yafanywa na wateja zaidi ya milioni 2 kupitia M-Pesa., • Wateja zaidi ya milioni 4 wanufaika na mikopo midogo ya mpaka shilingi trilioni 1.
Akizungumza na wawekezaji pamoja na wadau wengine wa kampuni hiyo jana kwa njia ya mtandao wakati wa kutangaza matokeo ya awali ya ripoti hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Philip...
14May 2023
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu watatu akiwamo Mkuu wa Shule hiyo kwa tuhuma za kusababisha vifo vya wanafunzi hao.Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
14May 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kikwete amesema wametoka mbali na Membe, alitumika katika wadhifa huo kwa miaka minane wakati wa serikali yake, wamesaidiana kwa mengi.Membe alifariki dunia juzi asubuhi katika Hospitali ya Hurbert...

Balozi wa Malawi aliyehamishiwa nchini Cuba, Humprey Polepole akizungumza na madaktari bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokwenda kuwalaki katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana wakitokea Malawi ambako waliweka kambi ya wiki moja kutibu wagonjwa wa moyo.
14May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matibabu hayo yamefanikiwa chini ya uratibu wa Kamati ya Utalii Tiba inayoongozwa na Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dk. Mohamed Janabi na Makamu wake, Abdulmalik Mollel, ambaye...
07May 2023
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Msimamizi wa Mradi wa Huduma ya Mama na Mtoto wa shirika hilo Felister Bwana, katika maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani jijini Dar es Salaam juzi."Inasikitiaha wanawake 8,...
07May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ukarabati huo uliogharimu zaidi ya Shilingi milioni 250 umejumuisha kupaka rangi jengo, kukarabati makabati, kubadilisha vyoo na kuboresha eneo la mapokezi. Pia umehusisha uwekaji masinki ya maji na...
07May 2023
Beatrice Moses
Nipashe Jumapili
Amesema hatua hiyo itawapa unafuu watumishi wasio na nyumba wakiwamo walimu waishio vijijini wengine huishi umbali mrefu na maeneo ya kazi, hivyo kukopeshwa nyumba hizo ambazo ni za gharama...
07May 2023
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Makocha wafunguka wanalitaka Kombe la FA ili kupoza machungu...
Mechi hiyo inaelezwa ni ya kulipiza kisasi baada ya Simba kulazimishwa sare na matajiri hao wa Chamazi katika mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu, huku Azam FC ikiwa na hasira ya kutolewa na...
07May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wawakilishi hao wakiongozwa na mmiliki wa klabu ya Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu ya Marekani na mabingwa wa Mabara, Seattle Sounders, Adrian Hanauer, ambaye pia ni mwanahisa katika kampuni kubwa ya...