NIPASHE JUMAPILI

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.

18Nov 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akifungua mafunzo ya wajasiriamali wa mikoa ya kusini, Lindi, Mtwara na Ruvuma yaliyoandaliwa na TBS mkoani Mtwara, Byakanwa alisema ukamataji na uteketezaji wa bidhaa hizo unawakatisha tamaa na...

 
Hii ni moja ya ajali iliyoua watumishi watano wa Wizara ya Kilimo na Chakula waliofariki baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kupata ajali wilayani Manyoni mkoani Singida hivi karibuni.

18Nov 2018
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Kufuatia kukithiri kwa matukio hayo, Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim, katika mahojiano maalum na Nipashe kuhusu namna ya kudhibiti ajali hizo, anasema wataanza...
18Nov 2018
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Hayo yalibainishwa jana na wawakilishi wa wakulima na madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu, kwenye baraza lao la kawaida la kujadili taarifa mbalimbali za maendeleo.Walisema tatizo la...

NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.

18Nov 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Nyongo aliyasema hayo wakati akifunga mafunzo ya kielektroniki ya ukusanyaji wa mapato ya serikali, Morogoro.Alisema lengo la mafunzo hayo ni kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji wa mapato...

Mkuu wa Kiwanda cha Samani cha Jeshi la Magereza jijini Arusha, SSP Victor Ngwale (kushoto), akimuonyesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Jacob Kingu (wa pili kushoto), jinsi moto ulivyoteketeza kiwanda hicho na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi milioni 8, alipotembelea eneo la tukio jijini humo juzi. Chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme ndani ya kiwanda hicho. Kulia ni Mkuu wa Magereza Mkoa huo, ACP Anderson na Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa huo, SSF Komba. PICHA: WMNN

18Nov 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kutokana na tukio hilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, aliyekuwa safarini kwenda Serengeti mkoani Mara, kuhudhuria halfa ya uzinduzi wa Jeshi Usu la...
18Nov 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Utakumbuka wiki iliyopita niliandika hapa makala iliyobeba kichwa cha maneno; ‘Mume wangu simuamini hata kidogo, siyo muwazi.’ Bibie huyo akasema tatizo lake kubwa ni kwamba, mume huyo...
18Nov 2018
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Ili utalii uwe endelevu ni lazima maeneo hayo yatunzwe, yaendelee kuwafanya watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani kama ya Ulaya, Marekani na Asia kutenga fedha kwa ajili ya safari hiyo, kwa kuwa...
18Nov 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
 Nakumbuka nyimbo zao zilitikisa anga kwenye radio mbalimbali, zilikuwa ni tatu ambazo ni Wazo la leo, Pengo na Rafiki.Nyimbo zote tatu nilizipenda kwani zilikuwa na ujumbe maridhawa, kwa uzuri...
18Nov 2018
Steven William
Nipashe Jumapili
Watu hao ambao ni wajumbe wa kamati ya maji, walitiwa mbaroni juzi katika mkutano wa hadhara uliyofanyika katika kijiji cha Ubembe, kata ya Nkumba wilayani Muheza. Walituhumiwa kuwa ...

Msanii Elias Barnabas maarufu kama Barnaba, Boy akiwapagawisha mamia ya mashabiki walioshiriki katika tamasha la Tigo Fiesta katika Uwanja wa Namfua mkoani Singida juzi. MPIGAPICHA WETU

18Nov 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Chege ambaye alipanda jukwaani akiwa na madansa wake wawili, alifanikiwa kuteka nyoyo za mashabiki vilivyo haswa pale ilipochezwa staili ya 'mapanga sha' ambayo ilikuwa maarufu wakati wa...
18Nov 2018
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Makamu Mkuu wa Chuo, Profesa William Anangisye, alisema jana wakati wa  mahafali ya 48 ya chuo hicho. Alieleza kuwa mwaka 2018 UDSM ilipokea maombi 68,907 na kwamba waombaji 13,405 pekee...

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha SUA, Mgaya Hassan, akionyesha ufunguo wa bajaj mara baada ya kukabidhiwa jijini Dar es Salaam na mwakilishi wa SportPesa kufuatia kuibuka mshindi wa Droo ya 43 ya Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa. PICHA: SPORTPESA

18Nov 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hassan ambaye amekutana na ushindi huo wa bajaj akiwa jijini Dar es Salaam kwa kaka yake wakati akimalizia likizo, alitoa ushuhuda huo mwishoni mwa wiki wakati akikabidhiwa bajaj yake na timu ya...

Moja ya bwawa la kufuga samaki. PICHA : BEATRICE SHAYO.

18Nov 2018
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Wakiwa na elimu ya kidato cha sita, wanaieleza Nipashe jinsi ilivyokuwa vigumu kufanikisha ufugaji samaki ulioko Kitunda jijini Dar es Salaam, wakati gazeti hili lilipowatembelea hivi karibuni....
18Nov 2018
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, aliyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari wa jana mkoani Mtwara na kueleza kuwa serikali haina mpango wa kuzisafirisha korosho zote kwenda Dar es...
18Nov 2018
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwenye mkutano wa kitaifa uliofanyika jijini hapa jana, uliowakutanisha wadau kutoka mikoa mbalimbali, Mwenyekiti Mtendaji wa Talma, Adolf Olomi, alisema serikali ilipitisha kodi hiyo...
18Nov 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*** Ikiichapa Lesotho leo, safari ya Cameroon imeiva, Amunike asema...
kati timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' na wenyeji wa mchezo huo, Lethoto, Uganda imekisafishia njia kikosi hicho cha Emmanuel Amunike baada ya kuichapa Cape Verde jana.Uganda ambayo ipo...
18Nov 2018
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Mwishoni mwa wiki Kamati ya Uchaguzi ya Yanga iliyopo chini ya Kaimu Mwenyekiti, Thobias Lingalangala, ilikutana na TFF kuwasilisha hoja zao za kuomba kwa mara nyingine kusimamia uchaguzi wao wenyewe...
18Nov 2018
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Sambamba na ufinyu wa wodi hiyo, kituo hicho pia kinakabiliwa na upungufu wa vitanda na watumishi wa afya wakiwamo madaktari.Hayo yalibainishwa juzi na Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho, Dk. Salama...

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji.

18Nov 2018
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Dk. Kijaji alipatwa na mshangao huo jana wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo cha Kodi Tanzania (ITA), baada ya kuuliza TRA ni kiasi gani cha fedha ambacho kinakusanywa kutokana na kodi ya majengo na...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella.

18Nov 2018
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Taasisi hizo zikiunganisha nguvu itawezekana kudhibiti bidhaa bandia, hafifu na hatarishi zinazoingizwa sokoni na baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu.Agizo hilo lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa...

Pages