NIPASHE JUMAPILI

Mwonekano tofauti wa kaburi alilolijenga marehemu, Dk. Anthony Mwandulami. PICHA: MAKTABA

04Jul 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wake zake watatu kuzikwa humo...
Dk. Mwandulami, aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na uamuzi wake huo wa kujijengea kaburi, alifariki dunia usiku wa kuamkia jana jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.Mwaka 2019,...
04Jul 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Akipokea Mwenge huo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kayenze, Mkuu wa Wilaya Ilemela, Hassan Masala amesema Mwenge huo utakimbizwa takribani kilomita 57 na kupitia miradi saba ya maendeleo  ...
04Jul 2021
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ameitoa jana alipokuwa anahitimisha kilele cha Siku ya Ushirika Dunia iliyofanyika katika viwanja vya nanenane Ipuli mkoani Tabora.Majaliwa aliwataka viongozi hao wasikae ofisini bali...
04Jul 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Akiweka jiwe la msingi katika zahanati hiyo amesema, ujenzi huo ni fedha za wananchi na kutoka serikali kuu lengo likiwa ni kukamilisha ujenzi ili kuanza kutoa huduma na kuwanufaisha wananchi."...

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Rajab Mabele,akimuonyesha ghala la kuhifadhia chakula waziri wa Ulinzi Elius Kwandika mwenye kofia la pama.

04Jul 2021
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandika wakati akikagua mradi wa Skimu ya Umwagiliaji iliopo kikosi cha 837 Chita JKT,kinachoendesha kilimo cha Mpunga na Ufugaji...

Naomi Daudi, akisoma Risala kwa niaba ya watoto wenzake kwenye kilele cha wiki ya watoto katika Kanisa hilo la IEAGT.

27Jun 2021
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Wamebainisha hayo leo Juni 27, kwenye kilele cha wiki ya watoto kanisani hapo, wakati wa usomaji wa risala yao.Akisoma risala kwa niaba ya watoto wenzake Naomi Daudi, amewataka wazazi kuacha tabia ya...

Deodatus Kinawilo.

27Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa ibada hiyo Msaidizi wa Askofu wa Jimbo hilo Padre Revocatus Mwemezi, amewataka viongozi na watendaji kufanya kazi kwa kufuata misingi ya dini ili kudumisha amani ya Mkoa, na...
27Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-fainali na kuwa wa kwanza.Salma ambaye alitamba katika mbio za mita 800 na mita 1500 kwenye michezo ya UMITASHUMTA iliyomalizika hivi karibuni, leo amekimbia mbio za mita 1500 na kutumia dakika 4:46...
27Jun 2021
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
"Chumba cha upasuaji MOI mara nyingi huwa kiko ‘busy’, iwe dharua au upasuaji wa kawaida. "Mrejesho wa wale tunaowatibu kutokana na matukio ya ajali, wanasema wanashindwa...

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbasi.

20Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.Hayo yamesema na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbasi, huku akisema kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
20Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-wa jengo la utawala la Manispaa ya Kinondoni baada ya kutoridhishwa na utendaji kazi wake.Waziri Ummy amechukua uamuzi huo leo Juni 20, 2021 mara baada ya kutembelea ujenzi wa mradi wa Stendi ya...
20Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kikao hicho kimechofanyika kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, na kimejumuisha wafanyabiashara wakubwa kutoka sekta mbalimbali, Wakuu wa Taasisi zinazotoa huduma na zinazosimamia masuala ya...
20Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, wakati wa uzinduzi wa mradi kabambe wa kusambaza umeme vijijini kwa awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani humo, uliofanyika katika kijiji cha...
20Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-taarifa za ufuatiliaji wa mwenendo wa ugonjwa huo na mwingiliano wa watu kutoka nchi jirani katika shughulia za kiuchumi na kijamii. Tahadhari hiyo imetolewa na Wizara ya Afya kupitia Mkurugenzi wa...

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Najma Murtaza Giga, akizungumza wakati wa mkutano mfupi katika ofisi za OSHA za Dar es Salaam wakati wa ziara ya Kamati hiyo katika ofisi OSHA na baadhi ya viwanda katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.

13Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ziara hiyo imetokana na taarifa ya utekelezaji majukumu ya OSHA kwa mwaka 2020/2021 iliyowasilishwa kwenye Kamati hiyo mwezi Machi mwaka huu, ambapo kamati iliridhishwa na utendaji na hivyo kuagiza...

RAIS wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan.

13Jun 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Rais amemuagiza Waziri huyo mara baada ya kuzindua kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza Precious Metals Refinery, amesema moja ya maeneo yanayohitajika kuimarishwa zaidi ni mgodi huo wa Tanzanite....

Waziri ummy Mwalimu.

13Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-na shule za serikali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu,wakati akiongea na Wananchi wa Kata ya Ziba katika shule ya sekondari Ziba, amesema jumla ya wanafunzi 86,...
13Jun 2021
Zanura Mollel
Nipashe Jumapili
Akizungumza Mratibu wa Shirika hilo Longido, Jambo Baramayegu amesema hatimiliki haki za kimila ni kwa ajili ya ulinzi wa nyanda za malisho na vyeti vilivyotolewa kwa vijiji ni kwa ajili ya mipaka ya...

Profesa Mwesiga Baregu.

13Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
“amefariki saa tano usiku wa kuamkia leo akiwa ICU (chumba cha uangalizi maalum) na alikuwa hapo kwa takribani siku 15.” amesema Aminiel Aligaesha ambaye ni Mkuu wa kitengo cha...

Albert Chalamila.

13Jun 2021
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Chalamila amemaliza takribani siku 17 tangu alipoteuliwa na Rais Samia Mei 15, 2021 kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitokea Mkoa wa Mbeya ambao alihudumu huko kwa miaka kadhaa.Kimsingi, ni mtendaji...

Pages