NIPASHE JUMAPILI

MSHAMBULIAJI wa Simba Meddie Kagere picha na mtandao

04Nov 2018
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
*** Wamtafuta Ambokile wa Mbeya City kileleni baada ya kuitungua JKT huku...
Mabao hayo yanaibua vita ya nani ataibuka mshambuliaji bora wa msimu 2018-19 kufuatia Kagere sasa kumfikia mshambuliaji mwenza wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi, wote kila mmoja akiwa na mabao saba moja...

mshambuliaji wa yanga ibrahim ajibu picha na mtandao

04Nov 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Paul Godfrey. Hata hivyo, kikosi hicho cha Yanga leo kitaongezwa nguvu na kurejea kwa mshambuliaji wake, Ibrahim Ajibu aliyekuwa anasumbuliwa na maumivu ya mgongo pamoja na beki, Andrew Vicent '...

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani picha na mtandao

04Nov 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kalemani alisema hayo juzi akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Pwani na Dar es Salaam ambako alikagua uzalishaji wa nyaya katika kiwanda hicho na ujenzi wa vituo vya kupoza umeme vya Dege na Kurasini...
04Nov 2018
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Majumba hayo tayari yametangazwa kuuzwa na kampuni ya udalali baada ya wahusika kushindwa kurejesha mikopo waliyochukua kwenye benki ya NBC. Kwa mujibu wa tangazo la Kampuni ya udalali ya Bani...

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto'.

28Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Samatta kwa sasa anaichezea klabu ya Genk ya Ubelgiji baada ya kutamba na Simba na TP Mazembe ya DR Congo.Akizungumza na gazeti hili jana, Fei Toto alifichua kuwa ana ndoto ya kucheza nje ya nchi....

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa.

28Oct 2018
Margaret Malisa
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo ilitokea juzi  majira ya saa moja usiku katika kijiji cha Chamakweza Shule, Chalinze mkoani Pwani....

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkomazi mkoani Tanga, Noah Anthony akiwa katika Bajaj yake baada ya timu ya ushindi ya SportPesa kumkabidhi. PICHA: SPORTPESA

28Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Timu ya ushindi kutoka SportPesa haikukawia kutiga Mkomazi na kumkabidhi bajaj hiyo mbele ya walimu wenzake shuleni hapo."Nimefurahi kwa kuwa kile nilichokuwa nakitafuta baada ya kubashiri na...

BONDIA Hassan Mwakinyo.

28Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jana, mratibu wa pambano hilo, Ally Mwanzo, alisema wako katika hatua za mwisho za maandalizi na wanachosubiri ni muda ufike.Mwanzo alisema mabondia wote wako katika hali...
28Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Magonga alipata dhamana hiyo jana baada ya hoja za wakili anayemtetea, Muluge  Fabian, kukubaliwa na mahakama hiyo.Hakimu Mkazi mfawidhi wa Mahakama hiyo, Veronica Mgendi, baada ya kupitia hoja...

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Arusha United, Saad Kawemba.

28Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Arusha sasa ina timu mbili zinazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ambazo ni Arusha United na AFC na zote zimepangwa katika kundi moja la B.Akizungumza na gazeti hili jana, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Arusha...

JAJI mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Aloysius Mujulizi.

28Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Jaji Mujuluzi alitoa kauli hiyo juzi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga kitaaluma majaji saba wa Mahakama Kuu waliostaafu.Aliwashauri wadau hao watumie lugha ya Kiswahili inayojulikana na Watanzania...
28Oct 2018
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Katika maeneo ya stendi makondakta, madereva na wapiga debe wa daladala mkoani Mwanza wameanzisha umoja huo ambao pia utawasaidia kwenye shida na pia kuwasomesha.Akizungumza katika kikao cha kugawa...
28Oct 2018
Leonce Zimbandu
Nipashe Jumapili
Mamlaka hiyo imetolewa na  Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, Sheila  Lukuba,  wakati wa kuweka na kukabidhi vifaa taka vya kuanzia standi ya mabasi Gerezeni iliyoko Mtaa wa Msimbazi...
28Oct 2018
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo inakuja  kufuatia kukithiri kwa utoro wa wanafunzi wa shule za msingi zilizokaribu na machimbo hayo.Uamuzi huo ulitolewa jana kwenye kikao cha baraza hilo kilichofanyika kwenye ukumbi...
28Oct 2018
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Habari kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kamati ya uchaguzi ya timu hiyo imependekeza tarehe hiyo na ndani ya siku mbili itawatangazia wanachama mchakato huo wa uchaguzi.Nipashe iliandika wiki...
28Oct 2018
Ahmed Makongo
Nipashe Jumapili
Walisifu hatua hiyo na kueleza kwamba imewawezesha kupata kitoweo cha samaki  aina ya sangara ambao wana kiwango kinachokubalika na si kama zamani walikuwa wanakula watoto wa samaki.Wananchi hao...
28Oct 2018
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Nasema hivi kwa sababu wapo baadhi ya wazazi ambao huwakataa watoto wao pale wanapogundua kuwa ni walemavu au wana  kasoro za kimaumbile na kumwachia mama  mzigo huo.Wengine huwaona malaika...
28Oct 2018
Mhariri
Nipashe Jumapili
Tunavyoona ni kwamba kilichotokea Seliani ni kengele ya kuamsha jamii kuachana teknolojia duni ya vyoo vya mashimo kwani imepitwa na wakati.Ni ukweli kuwa aina hii ya vyoo imetumika kwa miaka mingi...
28Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Walikuwa wakizungumza na wakuu wa Idara za Ustawi Jamii, Afya na Walimu Elimu Maalum manispaa ya Bukoba baada ya viongozi wa Chama cha Maalbino Tanzania (TAS), kuiomba manispaa hiyo kutatua...
28Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wenye viwanda hao walikuwa wameshusha bei ya sangara uzito wa kilo mbili hadi tano kutoka Sh. 7,500 hadi Sh. 4,700, jambo lililozua malalamiko kutoka kwa wavuvi na mawakala wa samaki viwandani....

Pages