NIPASHE JUMAPILI

06Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Hata hivyo mengi huhusisha sehemu ya chini yaani kibofu na mrija wa mkojo au urethra. Katika hali ya kawaida, wanawake wapo katika hatari zaidi ya kupata UTI kuliko wanaume. CHANZO CHA UTI Kwa...

Marehem Trasia Kagenzi

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Habari za uhakika zilizopatikana wilayani humo zilisema kuwa Kagenzi alifariki dunia jana kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando, Mwanza...

Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,Zitto Kabwe

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Naibu Katibu Mkuu, Msafiri Mtemelwa, Mustapha Akonaay (63) anakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uadilifu,Ulinzi na Usalama wa Chama. Ilisema Akonaay ana...

BANDARI YA BAGAMOYO ITAKAVYOJENGWA

06Mar 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Kungekuwa na wawakilishi makini bungeni wa kuhoji maswali yafuatayo kuhusu mradi huo huenda serikali isingekuwa na majibu ya kutosheleza kutokana na hoja nyingi kutojibikika. Licha ya kwamba...

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (katikati), akijaribu kufunga bao.

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Timu yoyote ambayo ingeibuka na ushindi katika mchezo huo uliojaa kila aina ya ushindani, burudani na 'taaluma' kutoka kwa wachezaji wa pande zote mbili, ingekuwa kwenye nafasi nzuri kutwaa ubingwa...
06Mar 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
akajikuta anamaliza sigara pakiti 20 ndani ya wiki mbili! Tatizo hili linawatesa watu wengi lakini hawajui wafanyeje ili waweze kuondokana nalo hasa linapokuwa chronic (sugu). Wengine huona ni...

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza

06Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
OCD Mapalala alikimbizwa hospitali baada ya tukio hilo, alipokuwa kwenye operesheni iliyowahusisha askari kutoka Makao Makuu ya Mkoa wa Pwani na wa Wilaya ya Mkuranga.Operesheni hiyo iliyoanza juzi...

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue

06Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Uchaguzi huo utakapofanyika na vyama hivyo kushinda na kuongoza Jiji, Ikulu imesema, hakutaathiri hata kidogo shughuli zake za kila siku hivyo haina mkono wake kwenye sarakasi za uchaguzi huo.Hayo...
06Mar 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
alilazimika kutengua uamuzi wake wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Taifa Aidha, katika hali ambayo inaonyesha baadhi ya mawaziri hawajasoma 'msahafu' wa Rais John Magufuli wa...

Wachezaji wa Arsenal

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
The Gunners walilazimika kucheza sehemu kubwa ya kipindi cha pili wakiwa 10 uwanjani baada ya Francis Coquelin kuonyeshwa kadi nyekundu mwanzoni mwa kipindi hicho. Spurs wanaoshika nafasi ya pili...
06Mar 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Baadhi ya watu wametumia mwanya wa kutopita magari ya taka kwenye maeneo yao, kwa kuamua kuzikusanya na huzitupa barabarani, wakiamini kufanya hivyo ndiyo suluhisho la kuwaamsha wenye wajibu wa...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa ya jana ya Ofisi ya Waziri Mkuu ilisema Majaliwa alitoa uamuazi huo wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa vijiji vya Mwakaluba na Mwandoya akiwa kwenye siku ya tano ya ziara yake mkoani...

Prof. Makame Mbarawa

06Mar 2016
Lulu George
Nipashe Jumapili
Waziri huyo ambaye alikuwa akizungumza mkoani hapa wakati akiwa katika ziara ya kikazi, alisema katika kuhakikisha TPA inaongeza tija kiutendaji, serikali imedhamiria kumtafuta mtu kutoka nje....
06Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Serikali za Afrika Mashariki zimekuwa zikilaumu uagizaji wa nguo na viatu vilivyotumika kama moja ya sababu zinazofanya viwanda vya nguo na ngozi kufa na hivyo kuwanyima wenyeji nafasi za ajira....

TWIGA STAR

06Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Hata hivyo, Kocha wa Twiga Stars, Nasra Juma amesema kikosi chake bado kina nafasi ya kusonga mbele. Akizungumza jana Nasra alisema kikosi chake kitakwenda kwenye mechi ya marudiano ikiwa na...
06Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Matukio mengi ya uhalifu kama kuwamwagia tindikali na kuwaumiza viongozi wa serikali, dini pamoja na walimu wa kujitolea kutoka Uingereza ni moja ya visa vinavyozungumziwa katika safu hii. Lakini...

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
likiwamo lililojengwa kwenye kiwanja namba 33/4 barabara ya ufukwe, eneo la Kunduchi, Dar es alaam. Imedaiwa kuwa Manispaa hiyo iliandika barua kwa mmiliki wa jengo hilo, Doroth Lyimo na kumpa...

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza

06Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
OCD Mapalala alikimbizwa hospitali baada ya tukio hilo, alipokuwa kwenye operesheni iliyowahusisha askari kutoka Makao Makuu ya Mkoa wa Pwani na wa Wilaya ya Mkuranga. Operesheni hiyo iliyoanza...

Marehemu Trasias Kagenzi

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Habari za uhakika zilizopatikana wilayani humo zilisema kuwa Kagenzi alifariki dunia jana kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando, Mwanza...

MWANARIADHA wa Tanzania Emmanuel Giniki

06Mar 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe Jumapili
Giniki ameliambia gazeti hili kwa njia ya mtandao kutoka China kuwa mbio hizo za kilomita 21.1 zilifanyika Februari 28, mwaka huu na alishinda baada ya kutumia saa 01:03:50. Kwa mujibu wa Giniki...

Pages