NIPASHE JUMAPILI

Marehem Trasia Kagenzi

06Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Habari za uhakika zilizopatikana wilayani humo zilisema kuwa Kagenzi alifariki dunia jana kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando, Mwanza...
06Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Hata hivyo mengi huhusisha sehemu ya chini yaani kibofu na mrija wa mkojo au urethra. Katika hali ya kawaida, wanawake wapo katika hatari zaidi ya kupata UTI kuliko wanaume. CHANZO CHA UTI Kwa...

beki-chipukizi wa pembeni Msimbazi, Hassan Kessy .

28Feb 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
Pamoja na baadhi ya mashabiki wa Simba kutaka mchezaji huyo kutemwa kwa kosa hilo, klabua yake imefunga masikio na sasa imeamua kuanza mchakato wa kumwongezea mkataba. Rais wa Simba, Evans Aveva...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga.

28Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Katika tukio hilo watu sita waliuawa, ambao ni majambazi watatu, polisi mmoja na raia wawili. Waziri Kitwanga alitangaza mkakati huo jana katika Kituo cha Polisi Kati, wakati wa mkutano na...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi,George Simbachawene.

28Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Simbachawene alitoa ahadi hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati aliposhiriki kufanya usafi katika soko hilo pamoja na kukagua mipaka yake. Usafi huo ni mwendelezo wa utekelezaji wa agizo la Rais...
28Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Miongoni mwa mambo hayo ni tatizo la muda mrefu la upatikanaji wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu; kwamba angelishughulikia ili waipate kwa urahisi na kukomeshwa kwa urasimu wa aina zote kwa Bodi...
28Feb 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Chini ya sera ya elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, serikali imefuta michango yote ya lazima kwa wazazi wa wanafunzi na matokeo yake idadi ya watoto walioanza shule mwaka huu imeweka rekodi...
28Feb 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Katika kufanikisha kazi hiyo, aliwakaribisha wanaharakati wanaopambana na ukatili wa kijinsia ofisini kwake ili kubadilishana mawazo ya jinsi gani tatizo hilo linaweza kumalizwa. Ahadi hiyo ya Dk...

Waride Bakar Jabu.

28Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar jana, Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, Waride Bakar Jabu, alisema Maalim Seif ambaye pia ni...

Amiss Tambwe (kulia), akimtoka beki wa Timu ya Cercle De Joachim, Natrey Isaac jana Yanga :PICHA: MICHAEL MATEMANGA.

28Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Safari ya Wanajangwani kucheza hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa Afrika, iliiva rasmi jana na sasa wanamsubiri mpinzani kutoka Rwanda au Swaziland...
Mabingwa wa Bara, Yanga walioshuka dimbani wakihitaji sare ya aina yoyote baada ya kushinda ugenini bao 1-0, wanasonga mbele ka jumla ya mabao 3-0. Kwa matokeo hayo, sasa Wanajangwani watasubiri...

Mkuu wa mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza.

28Feb 2016
Steven William
Nipashe Jumapili
Agizo hilo lilitolewa na mkuu huyo wa mkoa juzi mchana alipofanya ziara ya kukagua mradi wa bwawa la kilimo cha umwagiliaji katika kijiji cha Misozwe, na mradi wa maji katika kata ya Mlingano ambao...

kikosi cha Simba.

28Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Itakuwa mechi ya kwanza kwa Simba tangu walipotoka kwenye kipigo cha mabao 2-0 kutoka Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara wiki moja iliyopita. Nahodha Mussa Hassan 'Mgosi' alisema wamejipanga...

Kikosi cha Mtibwa.

28Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mtibwa walikumbana na kipigo hicho juzi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Maxime alisema kipigo hicho hakukitegemea kutokana na maandalizi ya timu yake. "Kwa sasa akili zetu tunazielekeza...

Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako.

28Feb 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Kiingereza kinabaki kuwa lugha kuu ya kuunganisha dunia hata kama wanaoongea kichina duniani ni wengi na hata kama lugha ya kifaransa inazungumzwa na nchi kadhaa za Afrika kama ilivyo kwa kireno,...
28Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Ili taasisi hii iwe nzuri na kusonga mbele vizuri, kwanza kabisa hutegemea uongozi wa baba na zaidi sana utendaji wa mama ambaye ndiye kiongozi wa shughuli za ndani za kila siku ikiwamo kuhakikisha...

Ombaomba wakiwa wamejipanga kwa ajli ya kuomba msaada kwa wapita njia.

28Feb 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Operesheni hiyo inatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa na serikali imeagiza zoezi la kuwaondoa liwe limekamilika hadi kufikia Machi 10. Ombaomba hao watasombwa hadi kwenye kambi ya JKT Ruvu...

Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi, Simon Sirro.

28Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Watu hao ambao majina yao yamehifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi, wamekutwa na pingu na wamekuwa wakitekeleza vitendo vya uhalifu kwa kujifanya askari polisi. Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo,...

Rais Dk. John Magufuli.

28Feb 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Vigezo hivyo ni pamoja na namna wakuu hao wa mikoa na wilaya wanavyokabiliana na kero kama ugonjwa wa kipindupindu, njaa, migogoro ya ardhi na upungufu wa madawati katika shule za msingi na sekondari...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe.

28Feb 2016
Woinde Shizza
Nipashe Jumapili
Hifadhi ya taifa ya Mkomazi inapakana na hifadhi ya Tsavo iliyopo ya Kenya. Hali hiyo imezilazimu nchi hizo mbili kuingia katika makubaliano ya kuimarisha ulinzi katika eneo la mpaka huo kutokana...

Dawa za kulevya.

28Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Inasikitisha sana ukipita katika mitaa maarufu ya mji wa Zanzibar na kushuhudia vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa afya zao zikiwa zimedhoofika. Si kitu cha ajabu kuwakuta wamelala vijiweni kama...

Pages