NIPASHE JUMAPILI

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.

28Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, aliliambia Nipashe kwa njia ya simu jana kuwa, serikali imeendelea kutilia mkazo agizo lake la kuzuia safari za nje ili kuokoa fedha nyingi zilizokuwa...

Donaldo Ngoma, mfungaji wa bao la kwanza kati ya Simba na Yanga jana.

21Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*** Timu hiyo ya Msimbazi jana ilipoteza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu mwaka huu baada ya kushinda mechi saba mfululizo.
Kipigo hicho pia kilikuwa cha kwanza kwa kocha wa muda, Jackson Mayanja baada ya kushinda mechi sita mfululizo tangu arithi mikoba ya Mwingereza Dylan Kerr aliyetumiliwa Januari 10 baada ya timu hiyo...

Mwenyekiti wa Chama Women Connect Tanzania, Pilly Mpenda.

21Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Chama Women Connect Tanzania, Pilly Mpenda, alisema mwanamke ni mtu anayekabiliwa na changamoto katika mambo mbalimbali...

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Wazee wa mkoa wa Dar es salaam mzee Hemed Mkali.

21Feb 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Awali ya yote napenda nichukue fursa hii kumpongeza kwa dhati mwenyekiti wa Wazee, Hemed Mkali kwa kutambua Mchango wa Rais Magufuli katika siku 100. Kama alivyotangulia kusema Rais Magufuli...

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Graifton Mushi.

21Feb 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Katika tukio hilo lililotokea juzi, jioni Polisi walilazimika kutumia risasi na mabomu ya machozi kuwatawanya watu hao ambao kati yao watatu walijeruhiwa. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro...

kamanda wa polisi mkoani Mara, Philip Kalangi.

21Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Moja iliyobaki imehifadhiwa katika chumba cha maiti katika hospitali teule ya Wilaya ya Bunda., Katika ajali hiyo, abiria 36 walijeruhiwa na kupelekwa katika hospitali teule ya Wilaya ya Bunda.
Akizungumza kwa njia ya simu na Nipashe jana, kamanda wa polisi mkoani Mara, Philip Kalangi, aliwataja marehemu hao kuwa ni abiria Marasa Joel (20), mkazi wa jijini Mwanza na aliyefahamika kwa jina...

Mrisho Mpoto.

21Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana jijini, kiongozi wa bendi hiyo, Mule Mule, alisema kuwa maandalizi ya utambulisho wa BMM yamekamilika na watatumia siku hiyo kukitambulisha kibao chao kipya kiitwacho 'Watabiri'....

Ofisa Ukaguzi wa TBS, Yona Afrika.

21Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya operesheni hiyo, Ofisa Ukaguzi wa TBS, Yona Afrika, alisema zaidi ya matairi 700 yameshakamatwa katika wilaya za Ilala na Temeke. "Operesheni hii...
21Feb 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Ikiwa ni pamoja na kuzingatia mitaala ya taaluma zinazotolewa kuanzia elimu katika shule za Sekondari hadi Vyuo Vikuu vyote nchini. Elimu ndio msingi mkubwa wa kupambana na umaskini, na ndio...
21Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Mpasuko huo, au mkwamo wa kisiasa wa Zanzibar, unagawanyika katika mafungu mawili makuu mawili. Fungu moja linajiegemeza katika taaswira ya kisheria na kikatiba na jingine limejiinamiza katika sura...
21Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kocha huyo Mreno, aliyetwaa mataji akiwa na klabu za Porto, Chelsea na Real Madrid, hana kazi tangu Desemba mwaka jana alipotimuliwa Chelsea. Kwa sasa, Mourinho yuko Italia kwa ajili ya kukutana...

Rais wa Chama cha walimu Tanzania (CWT) Gratian Mukoba.

21Feb 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Hao hao wawe madaktari wa falsafa na maprofesa kuzalisha wasomi wa viwango vya juu vya elimu. Mpango huo, wa muda mrefu, utamaanisha mtu akishaingia kwenye ualimu, atakuwa mwalimu kwa maisha...

Singida Utd.

21Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mshambuliaji Songa Rajed aliyefunga goli moja katika ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Mvuvuma FC na kutinga hatua ya 16 bora, alisema kuwa mchezo utakuwa mgumu lakini wamejipanga kuishangaza Simba...
21Feb 2016
George Marato
Nipashe Jumapili
Kesi hiyo ilikuwa ikiamuliwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Kukirango, Wilayani Butiama, Mkoani Mara. Wazee wa Baraza wa mahakama hiyo Ezibon Daniel na Naftari Mabula, waliliambia gezeti hili kuwa...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

21Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Majaliwa amesema utabiri wa wataalamu wa hali ya hewa nchini unaonyesha kuwa kutakuwa na mvua kubwa inayoweza kusababisha maafa kwa watu wa mabondeni, hivyo hawana budi kuondoka wenyewe. Waziri...

Mjasiliamali wa kuku.

21Feb 2016
Dege Masoli
Nipashe Jumapili
Wakizungumza na NIPASHE, Jijini hapa jana baadhi ya wajasiliamali wafugaji wa kuku, wakulima wa mahindi, mbogamboga pamoja na wauzaji wa pembejeo za kilimo walieleza kuwa miongoni mwa changamoto...
21Feb 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Hii inaitwa Roho ya Unafiki. Makala iliyopita ilibeba kichwa cha maneno ‘Familia ya mke imechangia ndoa yangu kuvunjika!’ Kwa wale walioisoma wataona jinsi kijana alivyokuwa anasononeka namna...
21Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Chanzo kikubwa cha migogoro hiyo kinaweza kuwa ni ardhi hiyo kuwa haijatengwa maalum kwa ajili ya wakulima kwa upande mmoja na malisho ya mifugo kwa upande mwingine. Kuna ongezeko kubwa la...

Malori makubwa, yakisomba mchanga uliochimbwa kwenye eneo la mgodi wa dhahabu wa Buzwagi.

21Feb 2016
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea machimbo hayo hivi karibuni, meneja mkuu wa mgodi wa Buzwagi, Asa Mwaipopo, alisema miradi iliyotekelezwa na kampuni hiyo imegusa maeneo mbalimbali...
21Feb 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Nini hutokea mwilini wakati wa mzunguko wa hedhi? Mzunguko wa hedhi huendeshwa na homoni mbalimbali za mwili. Wakati wa mzunguko wa hedhi, sehemu za kwenye ubongo ziitwazo ‘hypothalamus’ na ‘...

Pages