NIPASHE JUMAPILI

07Feb 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Tunatambua kuwa Serikali imeruhusu wawekezaji wa ndani na nje katika sekta za viwanda, kilimo, madini na maeneo mengine ambayo yanaweza kulinufaisha taifa kutokana na uzalishaji wenye tija...
07Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
***Vigogo hao wa soka katika nafasi ya kwanza na pili kwenye msimamo wanawinda ushindi nyumbani na ugenini, huku Azam nao wakirejea uwanjani...
Wapinzani wao Simba wenye manukato ya ushindi katika mechi nne mfululizo chini Kocha Jackson Mayanja, wako Shinyanga kwenye Uwanja wa Kambarage kusaka ushindi mwingine dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC...
07Feb 2016
Idda Mushi
Nipashe Jumapili
Kabla ya mazishi hayo, palitangulia ibada ambayo ilifanyika nyumbani kwa wazazi wa 'marehemu', mtaa wa Nyamvisi kata ya Ruaha. Kivuko cha MV II Kilombero kilizama katika Mto Kilombero Januari...
07Feb 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, ndiye aliyetoa kauli hiyo mjini Dodoma jana wakati akifungua mkutano wa tathmini wa asasi za kiraia kuhusu elimu ya mpiga...
07Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Akitoa tamko katika kikao cha madiwani kilichofanyika wilayani humo, Meya wa Manispaa hiyo, Abdallah Chaurembo, alisema mradio huo wa kuboresha makazi jijini Dar es Salaam (DMDP) una thamani ya Sh....
07Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Jumla ya fedha hizo kwa Wabunge wote zitaigharimu serikali Sh. bilioni 34.38. Hata hivyo, Nipashe imebaini kuwa hadi kufikia jana mchana, wabunge waliokuwa tayari wameshaingiziwa fedha hizo kwenye...
07Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Jumla ya fedha hizo kwa Wabunge wote zitaigharimu serikali Sh. bilioni 34.38. Hata hivyo, Nipashe imebaini kuwa hadi kufikia jana mchana, wabunge waliokuwa tayari wameshaingiziwa fedha hizo kwenye...
07Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kifungu cha 13(1) na (3) cha katiba ya Zanzibar kimesema ‘Ni marufuku kwa mtu kuteswa, kuadhibiwa kinyama au kupewa adhabu zinazomtesa. Bahati mbaya matukio ya watu kuvamiwa na kupigwa wakiwa katika...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
*Shule yenye wanafunzi 650 imejengwa kwa miti na nyasi
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa kuhusisha ziara kwenye Shule ya Msingi Lupemba iliyopo katika Kijiji cha Bubinza, Kata ya Lubugu, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, umebaini kuwa hali ni mbaya katika...
07Feb 2016
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwa niaba ya wafanyabiashara hao katika ukumbi wa mikutano wa Liboli Center mjini Sumbawanga, mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara, wakulima na wamiliki wa viwanda (TCCIA) mkoani humo,...
07Feb 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Tulijifunza kuwa kuna bakteria wa aina tatu, kuanzia wale ambao ni wadhaifu katika kupambana na dawa husika mpaka walio na uwezo mkubwa wa kustahimili nguvu ya dawa. Hivyo kitendo chochote cha...

ROBART MBOMA (KULIA) AKISALIMIANA NA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DK. GHARIB BILAL

31Jan 2016
Nipashe Jumapili
Watu hao ambao bado hawajafahamika waliingia barua pepe ya Mboma Alhamisi na kutuma ujumbe kwa watu 1001, wakiwamo watu mashuhuri, wakiomba msaada huo. Akizungumza na Nipashe Jumapili, Jenerali...

Edward Lowassa

31Jan 2016
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa matangazo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Lowassa aliyekuwa akichuana kwa karibu na Magufuli katika muda wote wa kampeni za miezi miwili zilizoanza Agosti 21, 2015, alishika nafasi...

aSHLEY YOUNG

24Jan 2016
Nipashe Jumapili
United walikaribisha Southampton kwenye Uwanja wa Old Trafford bila nyota wao wanne wa kikosi chya kwanza baada ya Young (atakayekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na kuumia nyonga) kuunga na...

HAMIS KIIZA

24Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
In Straika huyo wa kimataifa kutoka Uganda amefunga mabao 10 Ligi Kuu na jana aliivusha Simba hadi raundi ya nne ya Kombe la FA.
Mechi hiyo ya raundi ya tatu ilichezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro na kushuhudiwa kocha mkuu wa muda, Mganda Jackson Mayanja akianza na viungo wanne, Jonas Mkude, Said Ndemla, Joseph...

MWENYEKITI WA ZEC,JECHA SALUM JECHA

24Jan 2016
Nipashe Jumapili
Ushauri huo umetolewa kwa nyakati tofauti na baadhi ya wagombea wa Urais wa Zanzibar, wanasheria na wananchi walipokuwa wakizungumza na Nipashe Mjini Zanzibar baada ya tume kutangaza rasimi...

kAIMU KATIBU MKUU CHADEMA,SALUM MWALIMU

24Jan 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika jana lakini uliahirishwa dakika za mwisho juzi bila kutolewa sababu zozote, hali iliyowafanya wanachama wa vyama vya upinzani kuhisi kuwa CCM imejipanga kuwahujumu...

rAIS john magufuli na Waziri Mkuu, Kassim MAJALIWA

24Jan 2016
Nipashe Jumapili
Katika msafara huo, Waziri Mkuu hakuambatana na Waziri wala Naibu Waziri yoyote na badala yake alikwenda na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi, Job Masima pekee. Ulikuwa mkutano wa viongozi wa Nchi za...

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Frederick Shoo

24Jan 2016
Nipashe Jumapili
Aidha, Askofu Shoo amewasihi viongozi wenzake wa dini na madhehebu tofauti kuungana kumuombea Rais Magufuli ili kumnusuru na jambo baya kwasababu kazi anayofanya ni ngumu na inahitaji maombi....

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI

24Jan 2016
Nipashe Jumapili
Jibu la swali hilo ni hapana; hasa ukizingatia kuwa wapo wanamichezo na wasanii waliotwaa tuzo ndogo zaidi lakini wakaalikwa katika ofisi kuu hiyo ya nchi kwa ajili ya kukutana na Rais. Mwaka mmoja...

Pages