NIPASHE JUMAPILI

msemaji wa CCM, Christopher ole Sendeka.

17Apr 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Akiwa na wageni wake hao, pamoja na mambo mengine, Lowassa alizungumzia uongozi wa Rais John Magufuli na kutoa maoni yake. Alisema: “Hali ya hivi sasa nchini ni ya hamasa kutokana na serikali mpya...
10Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
kutoka bandari kavu (ICD) bila kulipa tozo ya Mamlaka ya Bandari (TPA). Akizungumza na Nipashe, Kamishina wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro alisema jana kuwa upelelezi dhidi ya...

frederick sumaye

10Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Nipashe imefanikiwa kuona tangazo hilo ambalo limeandikwa kwa maneno yenye rangi nyeusi na nyekundu yanayosomeka: Eneo hili ni la shule, zahanati, eneo la wazi kwa ajili ya wananchi wa Kinondoni ni...

Rais wa zanzibar dk ali mohamed shein

10Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Matumaini ya wananchi ya kuondokana na matatizo hayo yalianza kufufuka baada ya iliyokuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kutunga sheria mbili ikiwamo ya kuanzisha mamlaka ya kupambana na rushwa...
10Apr 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Na wakati kampeni ya kuwabaini watumishi hewa hao ndani ya serikali ikichukua sura mpya bada ya kuanza kwa uchunguzi wa kuwabaini wanufaika halisi na kuwachukulia hatua za kisheria, imebainika kuwa...

mchezaji wa yanga, Ngoma akipamna na wachezaji wa Al Ahly

10Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Sare dhidi ya Al Ahly imewaweka wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye nafasi ngumu kusonga mbele...
Matokeo hayo yana maana, sasa lazima Yanga washinde mchezo wa marudiano utakaochezwa wiki mbili zijazo nchini Misri. Katika mechi hiyo iliyojaza watazamaji wengi, Yanga ilishindwa kabisa kupenya...

Rais wa Marekani, Baraka Obama

10Apr 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Umoja wa Ulaya (EU) pia uliibuka na kutangaza nia ya kufuta msaada wa Dola milioni 622, karibu Shilingi trilion 1.36 za msaada kwa Tanzania. Ilielezwa kuwa EU inataka kufuata nyayo za...
10Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Meya huyo akasema kuwa amelazimika kumuonya Makonda kutokana na tabia ya kutafuta sifa ili aonekane mchapakazi, hali ya kuwa anadandia yasiyomuhusu. Akasema kuwa ma-DC nchini wana majukumu...

kosovo

10Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
MWANAMUZIKI Ndanda Kosovo (44), amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Ndanda aliyekuwa maarufu kwa jina la 'Kichaa' au 'Mjelajela" alipata umaarufu akiwa...

balozi mahiga

10Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga aliyasema hayo wakati akizungumza na Nipashe kuhusu nini kinaendelea katika mgogoro huo. Dk....

HAMAD RASHID

10Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
*Amshukuru Dk. Shein kumkumbuka katika uteuzi
kwa kudai kuwa kimewasaliti Wazanzibari kwa kususia uchaguzi wa marudio visiwani humo uliofanyika Machi 20, 2016.Hamad aliyegombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC, aliteuliwa kuwa waziri...

arsenal

10Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matokeo hayo ni mabaya kwa Arsenal katika safari ya kusaka ubingwa England msimu huu, kwani sasa wako nyuma kwa pointi 10 dhidi ya vinara wa ligi hiyo, Leicester City, huku mechi sita zikisalia...

Waziri wa Sheria na Katiba, Dk.Harrison Mwakyembe

10Apr 2016
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
MAHAKAMA ya Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja gerezani mkazi wa Manispaa hiyo, Abdallah Mohamedi Munguja (32), baada ya kupatikana na hatia kwa makosa mawili, likiwemo kuendesha...
10Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Nikasema kwamba, hata kama mwanaume akiwa mtu mkuu sana katika maisha yake, lazima ajue kuwa kuna wakati alikuwa kichanga katika tumbo la mwanamke. Shetani anajua kuwa mwanamke anatawala/...

Waziri wa afya, Ummy Mwalimu

10Apr 2016
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Mwalimu alitoa agizo hilo jana mkoani Mbeya wakati alipokuwa akizindua duka la Bohari ya Madawa (MSD) na ghala la kuhifadhia dawa, lililofunguliwa mkoani Mbey. Waziri alisema kuhujumiwa...
10Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Wiki iliyopita mtaalamu alianza kuelezea maana ya vidonda vya tumbo na jinsi vinavyomshambulia mgonjwa. Alikumbusha kuwa vidonda hivi vina maumivu makali na vinatokea kwenye ukuta wa ndani wa...

wassira

10Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Jimbo hilo lilichukuliwa na Esther Bulaya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivyo kumgalagaza mwanasiasa huyo mkongwe, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Halmashauri Kuu...

rais magufuli akishuka katika ndege

10Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Balozi Mahiga asema anataraji kwenda ughaibuni hivi karibuni
Rais John Magufuli anataraji kusafiri tena kwenda nje ya nchi hivi karibuni akiwa na msafara ambao unawezekana usizidi jumla ya watu 10.Ilimchukua Rais Magufuli siku 153 tangu kuapishwa kwake...

dk dau

10Apr 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
waandishi wa habari na wapiga picha waliweka kambi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam juzi kumsuburi. Wiki iliyopita kulizagaa taarifa kwenye mitandao ya...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

03Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa kijiji hicho walisema kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo mwaka huu kumekuwapo na tatizo hilo na kuwafanya washindwe kubaini tatizo. Mganga...

Pages