NIPASHE JUMAPILI

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga

03Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
. Ilionya kuwa kuchelewa kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yao, kumeongeza idadi ya watumia dawa hizo magerezani huku Watanzania zaidi ya 160 wakifungwa nchini China baada ya kukamatwa...

rais wa TFF

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yanga ilikuwa ipambane na Mtibwa Jumatano wiki hii, lakini mechi hiyo haitakuwapo na TFF itapanga tarehe nyingine ya kuchezwa. Hata hivyo, habari kutoka TFF zilidai kuwa mchezo huo utachezwa...

Ismail Rage

27Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Okwi aliuzwa na Simba Klabu ya Etoile du Sahel, lakini tangu wakati huo fedha za mauzo za mchezaji huyo hazikulipwa na kuibua maswali mengi kuliko majibu wakati wa utawala wa Rage.Hata hivyo, klabu...

Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars wakifanya mazoezi

27Mar 2016
Nipashe Jumapili
***Klabu hizo mbili zimewasilisha barua kutaka kufanyiwa marekebisho ya ratiba ya mechi za viporo…
Hata hivyo, hakuna uwezekano wowote wa Bodi ya Ligi kufumua tena ratiba hiyo kwa matakwa ya klabu hizo zinazoshiriki michuano ya soka Afrika. Yanga inashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Davis Mwamunyange

27Mar 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Askari huyo Samueli Nginila (32), alipata kipigo baada ya kumgonga mtembea kwa miguu, kwa mujibu wa Kamanda Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Zuberi Mwombeji. Akizungumza na wanahabari alisema tukio...

Richard Kayombo

27Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Aidha, TRA imesema taarifa hizo zimeisaidia Mamlaka hiyo katika mwaka huo wa fedha kuokoa Sh. bilioni 11. Kuzawadia watu wanaofichua wakwepa kodi ni miongoni mwa mbinu zinazotumiwa na TRA...
27Mar 2016
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa Leseni wa SUMATRA ambaye pia ni mratibu wa usafiri huo, Faith Ntukamazina, wakati akitoa elimu ya ukataji leseni kwa madereva wa boda boda na bajaji, wa eneo la...

IGP ERNEST MANGU

27Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Katika taarifa yake iliyosomwa jana na Ofisa Mawasiliano wa serikali ya Mkoa huo, Jeremia Mwakyoma, Rugimbana alisema kama itabainika kwamba kulikuwa na uzembe kwenye tukio hilo basi askari hao...

kificho

27Mar 2016
Nipashe Jumapili
sasa atabaki kuwa mshauri kwa viongozi waliopo madarakani huku pia akielekeza zaidi nguvu zake katika shughuli za kilimo na fugaji. Akizungumza katika mahojiano maalum na Nipashe juzi ikiwa...

Magdalane Sakaya

27Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Kufuatia hatua ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zaniabar (ZEC), Jecha Salum Jecha kufuta Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana, ambao chama hicho kinaamini kuwa kilishinda, CUF iligomea uchaguzi...
27Mar 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Katika moja ya ripoti zetu mbili mfululizo, Shule ya Msingi Lupembe wilayani Magu mkoani Mwanza, ni kielelezo cha matatizo ya utekelezaji wa sera ya elimu bure katika makali yake. Shule ya...
27Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa kinaendelea na mkakati wake wa kuwasimamisha, kuwavua uongozi na hata kuwatimua uanachama makada wake ambao watabainika kuwa walikisaliti katika Uchaguzi Mkuu...
20Mar 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Nitajaribu kugusa maeneo ambayo Mungu ameyaainisha kwenye maandiko yake kudhihirisha kuwa kabla mtoto hazaliwa, alishawekewa kitu cha thamani/ukuu ndani yake lakini kikaharibiwa aidha na mzazi...

Kamishina wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame.

20Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Mjadala mkubwa umeibuka baada ya shambulio kumgusa kiongozi mkuu wa Zanzibar anayeshughulikia mambo ya ulinzi na usalama wa raia pamoja na mali zao kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...

Ofisa Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray.

20Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Aidha imeeleza kuwa kinafanya kazi na kwamba kilifanyiwa marekebisho yaliyokuwa yakihitajika. Ofisa Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray, aliieleza Nipashe kuwa, kivuko hicho awali kilionekana...

Lowassa alipochukua kadi ya Chadema.

20Mar 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, tangu kumalizika kwa uchaguzi Lowassa amejitokeza mara chache kuzungumza na wanahabari. Ukimya huu ambao haukutarajiwa umetafsiriwa na baadhi ya wadau kwamba ni...

Said Amanzi akifafanua jambo.

20Mar 2016
Elisante John
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi, wakati wa uzinduzi wa duka la bidhaa za kampuni ya Tigo Mjini Singida, lengo likiwa ni kusogeza huduma zao karibu zaidi na wananchi...

Diana Masalla.

20Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka hiyo, Diana Masalla, wakati akizugumza na Nipashe kuhusu malengo ya mwezi huu. “Kwa mwezi wa Machi lengo ni...

waziri wa afya ummy mwalimu.

20Mar 2016
Veronica Assenga
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa jana na baadhi ya wazee wastaafu waliojiunga na mfuko huo jijini Dar es Salaam katika mkutano baina yao na mfuko huo. Mmoja wa wanachama wastaafu wa mfuko huo, Amani Mahenge,...

Mwalimu Julius Nyerere.

20Mar 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Huenda akili za wengi kwa sasa si nzuri kwenye kujenga hoja kiasi cha kukimbilia kwenye dini kila wanapojadili suala zito. Hivi karibuni kumezuka mambo pengine ya ajabu ndani ya mijadala...

Pages