NIPASHE JUMAPILI

Nadir Haroub 'Cannavaro'

17Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Wiki iliyopita, Kocha wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa, alitangaza kumpa Samatta unahodha ikiwa ni siku chache baada ya mshambuliaji huyo wa zamani wa African Lyon na Simba kutwaa tuzo ya Mchezaji...

Wachezaji wa Simba

17Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Ni mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye uwanja wa Taifa. Leo ni zamu ya mabingwa watetezi Yanga dhidi ya Ndanda FC.
Ushindi huo wa Simba ni wa kwanza tangu Ligi Kuu tangu walipomtimuwa Kocha Dylan Kerr na nafasi yake kuchukuliwa na Jackson Mayanja, ambaye ameanza vizuri kurithi mikoba ya Kerr. Kwa matokeo hayo,...

Wachezaji wa Simba

17Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Ni mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye uwanja wa Taifa. Leo ni zamu ya mabingwa watetezi Yanga dhidi ya Ndanda FC.
Ushindi huo wa Simba ni wa kwanza tangu Ligi Kuu tangu walipomtimuwa Kocha Dylan Kerr na nafasi yake kuchukuliwa na Jackson Mayanja, ambaye ameanza vizuri kurithi mikoba ya Kerr. Kwa matokeo hayo,...

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Simbachawene

17Jan 2016
Nipashe Jumapili
Nipashe ilifika katika mchinjio hayo jana ili kubaini iwapo agizo la Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba, limetekelezwa baada kufanya ziara ya kushtukiza usiku, mapema mwezi huu na...

BAADHI YA WANACHAMA WA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA

17Jan 2016
Nipashe Jumapili
Kwa upande wa Kinondoni, aliyeshinda nafasi ya Meya ni Boniface Jacob wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kura 38 dhidi ya mpinzani wake, Benjamin Sita wa CCM, aliyepata kura 20....

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU, BENJAMIN MKAPA

17Jan 2016
Nipashe Jumapili
Aidha, shirikisho hilo limemtaka Rais Magufuli ajielekeze pia kwenye halmashauri za majiji na miji nchini ambako limesema fedha za miradi ya maendeleo zimegeuzwa hazina mwenyewe. Rai hizo zilitolewa...

TIMU ya soka ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA)

02Jan 2016
David Kisanga
Nipashe Jumapili
Timu hiyo ya Ligi Kuu ya Uganda imesafiri zaidi ya Km 1200 kwa basi baada ya kuondoka jijini Kampala Jumatano asubuhi ikipitia Mutukula. Kwa mujibu wa daktari wa timu hiyo, Edward Kulubya, wachezaji...

Kikosi cha Simba

02Jan 2016
Nipashe Jumapili
Michuano ya 10 ya Kombe la Mapinduzi inaanza rasmi leo kwa mechi mbili za Kundi B zikizikutanisha Yanga na Mafunzo FC ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan saa 10:15 jioni kabla Mtibwa Sugar kuchuana na...
02Jan 2016
Nipashe Jumapili
Gereji kubwa na maarufu ya Spring City Enterprises iliyopo ndani ya mita 60 kutoka bonde la mto Mlalakuwa eneo la Mikocheni, ni moja ya majengo yaliyoamriwa kubomolewa na mamlaka juzi. Meneja wa...

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI,Suleiman Jafo

02Jan 2016
Abdul Mitumba
Nipashe Jumapili
Mpaka mwezi Novemba mwaka jana, serikali ya awamu ya nne kwa kushirikiana na wanachi ilikamilisha kujenga maabara 5,979 na nyingine 4,410 zilikuwa katika hatua mbalimbali ya ujenzi. Akizungumza na...

WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba,

02Jan 2016
Nipashe Jumapili
Aidha, Waziri amewaagiza watumishi waliosimamishwa kazi kufika Ofisi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo kesho kwa taratibu nyingine zaidi. “Leo asubuhi nimerejea kwenye machinjio ya Vingunguti kwa...

wagonjwa wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Muhimbili

02Jan 2016
Nipashe Jumapili
Hospitali hiyo kwa muda mrefu ilikuwa na shida ya vitanda, hali iliyosababisha wagonjwa wengi kulala sakafuni mpaka Rais wa tano, John Magufuli alipoagiza kununuliwa kwa vitanda 300 kutoka fedha...

Pages