NIPASHE JUMAPILI

Mkuu wa Operesheni maalum za Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi Liberatus Sabas, akionyesha baadhi ya Silaha zilizokamatwa katika Operesheni maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu inayoendelea katika Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma. PICHA: JESHI LA POLISI

15Apr 2018
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Operesheni Maalum za Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi Liberatus Sabas, alisema jana kuwa miongoni mwa waliokamatwa wamo waliohusika katika matukio ya mkoa wa Pwani, ambao walikimbia...
15Apr 2018
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Katibu Mtendaji wa Ukanda wa Kati, Dukundane Dieudonne, alitoa ushauri huo akiwa na wafanyabiashara wa ukanda huo kutoka nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na DRC Kongo, waliokwenda kutembelea bandari...
15Apr 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wapo kinababa wanaotamani kuzikimbia ndoa zao kutokana na changamoto zisizo na jawabu la haraka na la kudumu. Hili ni kundi moja ambalo linapoondoka linaacha maumivu makubwa ndani ya familia.Lakini...

Prof. Baregu.

15Apr 2018
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Mbali na Dk. Kikwete, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk.Mohamed Ali Shein naye alikabidhiwa Katiba hiyo katika hafla iliyofanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Jamhuri mjini Dodoma.Viongozi...

Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma.

15Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Djuma alitua nchini mwaka jana na kuwa msaidizi wa aliyekuwa Kocha Mkuu, Mcameroon Joseph Omog, na sasa yuko katika nafasi hiyo akimsaidia Mfaransa, Pierre Lechantre.Akizungumza katika mahojiano na...

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Luhumbi.

15Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Luhumbi, wakati akikabidhi hundi ya Sh. milioni 65 kwa vikundi vya wajasiriamali na kufungua rasmi mafunzo ya siku moja ya wajasiriamali...
15Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Sambamba na Bunge, pia Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imewasilishwa na inajadiliwa na wawakilishi hao wa wananchi. Uwakilishi wa wananchi kwenye Bunge hilo...

YANGA WAKIWA MAZOEZINI.

15Apr 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Waifuata Welayta Dicha wakitaka kushangaza Lwandamina kuondoka...
Welayta Dicha inatarajia kuikaribisha Yanga katika mechi ya marudiano ya hatua ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika itakayopigwa kesho, Jumanne mjini Awassa.Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha...

CAG Prof. Mussa Juma Assad.

15Apr 2018
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Baada ya mwaka juzi Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kubaini utafunaji wa fedha za HESLB kupitia utaratibu wa watumishi wake kulipwa posho mbalimbali, ikiwamo iliyoitwa posho ya...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeiry wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kufungua mkutano wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).

01Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Machi 31, 2018) kwenye Mkutano Mkuu wa BAKWATA uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma, ambapo amesisitiza kuwa ni muhimu wasaidizi wa Mufti...

Halima Mdee.

01Apr 2018
Ismael Mohamed
Nipashe Jumapili
Hayo yamethibitishwa na Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chadema Saed Kubenea na kusema ni kweli Halima Mdee amekamatwa leo na Jeshi la Polisi kutokana na yeye kutoripoti katika kesi iliyofunguliwa...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

01Apr 2018
Ismael Mohamed
Nipashe Jumapili
Akizungumza baada ya kukaribishwa na Padre Tegete kutoa salamu, Rais Magufuli amewatakia watanzania wote heri ya Pasaka na ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuishi kwa amani na upendo huku...

Waziri wa katiba na sheria profesa palamagamba Kabudi.

25Mar 2018
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yameelezwa jana na waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi wakati akiwasilisha mpango wa makadirio ya bajeti ya wizara hiyo mjini Dodoma mbele ya Kamati ya Bunge ya Katiba na...

Freeman Mbowe.

25Mar 2018
Gerald Kitalima
Nipashe Jumapili
Mbowe amesema hayo mara baada ya kutoka katika misa ya Jumapili ya matawi ambapo yeye pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya (CHADEMA) Mhe. Edward Lowassa waliweza kusali katika kanisa la Kilutheri Azania...

Rais John Magufuli.

25Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa hiyo iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas imeweka wazi kuwa Rais Magufuli ndiye atakuwa mgeni rasmi na kuzindua magari hayo 181 yaliyopo chini ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD...
25Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kaimu kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Kibiti, Mohamed Likwata amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kwamba ajali imetokea usiku wa kuamkia leo Machi 25, baada ya hiace hiyo kugongana uso...

Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe. Palamagamba Kabudi amesema Wizara yake pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo imeendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi katika sekta ya sheria, ambapo pamoja na mambo mengine, wananchi wanauelewa mkubwa wa namna ya kutafuta na kupata haki yao kisheria. Ameyasema hayomwishoni mwa wiki wakati alipokuwa akiwasilisha Mpango na Makadirioya Bajeti ya Wizara hiyo na Taasisi zake kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria.Pamoja naye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Kilangi

25Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri Kabudi ameyasema hayo mwishoni mwa wiki, wakati alipokuwa akiwasilisha Mpango na Makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo na Taasisi zake mbele ya  Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo.

25Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akiongea kwenye kikao na wadau wa filamu mkoani Shinyanga Bi. Fissoo amesema ni lazima waigizaji watumie fursa zinazotengenezwa na Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo kwenye eneo la masoko...
25Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ofa hiyo imetangazwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa, baada ya kukagua ukarabati wa eneo la Nyahua ambalo lilikuwa limekatika kutokana na maji ya mvua na kukata...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa.

25Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mradi wa ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 70 na unatarajiwa kukamilika Juni 2019 na utakuwa na uwezo wa kuegesha ndege kubwa 24 kwa wakati mmoja, pamoja na kuhudumia abiria milioni sita kwa...

Pages