NIPASHE JUMAPILI

Henry Mwaibambe.

20Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kamanda wa polisi mkoani humo, Henry Mwaibambe, amesema Mariamu alifika kwenye kijiji hicho na kumrubuni Catherine Michael mwenye umri wa miaka 4 ambaye alikuwa amembeba mtoto mwenzake na kumwambia...

Ofisa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Lightness Zablon, akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya saba ya Kampeni ya ‘NMB Mastabata Kivyako Vyako’ iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Huduma kwa Wateja, Suzan Manga na kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzana (GBT), Elibariki Sengasenga.

20Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya saba ya ‘NMB MastaBata Kivyako Vyako’ mwishoni mwa wiki, Afisa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Lightness Zablon alisema anatoa shukrani kwa wateja...

Mwenyekiti wa Bodi ya Shule za St Mary’s Dallas Mhoja akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi 52 wa shule ya Sekondari St Mary’s Mbezi Beach jijini Dar es Salaam waliopata daraja la kwanza kwenye matokeo ya kitaifa ya mtihani wa kidato cha pili mwaka jana.

20Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa na Makamu Mkuu wa shule hiyo, Balele Rajab wakati akizungumza kwenye kikao cha wazazi shuleni hapo na hafla ya kuwatunuku wanafunzi 51 waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

20Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kamati hiyo iliyoanza kazi Februari 4, 2022 ilipaswa kukamilisha ripoti yake ndani ya siku 14, zilizoishia Februari 17, 2022. Lakini kutokana na ukubwa wa kazi na mahitaji ya kujiridhisha na baadhi...
20Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amidou amesema kwamba uamuzi huo wa kurejesha fedha hizo, ulichochewa na imani na malezi ya kidini na kusema wala hajutii alichokifanya na begi hilo lilikuwa ni la mfanyabiashara aliyefika katika...
20Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hii ni kuonyesha upendo, wakiwemo wapenzi kupeana maua na zawadi.Kabla sijazama ndani kuzungumzia upendo wa siku hii ya Valentine, naomba kuchukua fursa hii, kuipongeza Kampuni ya mafuta ya...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama.

20Feb 2022
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Akizungumza juzi jijini hapa na watumishi wa Ofisi ya Sekretarieti ya Ajira, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama, alisema mfumo huo mpya ni...
20Feb 2022
Ibrahim Yassin
Nipashe Jumapili
Wiki tatu zilizopita, kijana huyo aliripotiwa kujifungua mkono wa mamba na kuzua taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.Ilidaiwa kuwa kijana huyo alikuwa na ujauzito wa miezi mitatu na alitibiwa katika...
20Feb 2022
Ibrahim Yassin
Nipashe Jumapili
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa, Willium Mwampagale, alisema meli hiyo ni mali ya Rafiki Ibrahimu chini ya Kampuni ya Red Marine ya Burundi.Alisema ilizama...

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa marehemu Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam jana. PICHA: IKULU

20Feb 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Dk. Mwele aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Vituo vya Kudhibiti ndani ya shirika hilo, Kanda ya Afrika na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) hadi Desemba 17, 2016....

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

20Feb 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika hotuba yake ya kuahirisha Bunge juzi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alizitaja hatua hizo bungeni jijini hapa kwamba zinajumuisha kuongeza nguvu ya kiulinzi hadi ngazi ya kata na kuwashirikisha...
13Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwenye toleo la Nipashe jana, katika ukurasa huu, kulikuwa na habari yenye kichwa cha habari 'Mfungwa, mahabusu wauawa kwa kupigwa risasi wakijaribu kutoroka', ikibainisha kuwa mfungwa...
13Feb 2022
Elizabeth John
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi mkoani humo Hamisi Issah, amesema tukio hilo limetokea February 7, mwaka huu majira ya saa tano usiku ambapo marehemu aliitwa na mtuhumiwa kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi....
13Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jana, mama huyo wa watoto wawili wanaomtegemea, alisema alikatwa mguu mwishoni mwa mwaka jana.“Nilikatwa mguu huu mwishoni mwa mwaka jana na sasa ninatumia magongo...
13Feb 2022
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam kwa niaba yao na Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THDRC), Onesmo Ole Ngurumwa, alipozungumza na waandishi wa habari kuhusiana na...
13Feb 2022
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Hatua ya kudai uwepo wa walimu wa kike katika shule zote, imefikiwa baada ya madiwani wa Viti Maalumu kutembelea shule zote na kubaini kuwepo kwa shule nyingi ambazo hazina walimu wa kike, huku...
13Feb 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa juzi bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, David Kihenzile, wakati akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo. "Bunge linaazimia kwamba,...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni.

13Feb 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amesema lengo la kuwashughulikia askari hao wasio waadilifu, ni kusaidia kuwa na jeshi imara, safi na linaloaminika kwa jamii.Akizungumza wakati akifunga mafunzo ya wakaguzi wasaidizi wa polisi...

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Twalib Lubandamo.

13Feb 2022
Grace Mwakalinga
Nipashe Jumapili
Kutokana na tangazo hilo baadhi ya shughuli zimesimama na kuathiri wananchi wanaoishi ndani ya maeneo hayo ikiwamo Kata ya Luhanga.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Twalib Lubandamo...

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango.

13Feb 2022
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Mawaziri hao ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, na Waziri...

Pages