NIPASHE JUMAPILI

Bodaboda

20Jan 2019
Neema Sawaka
Nipashe Jumapili
Asilimia kubwa ya waendesha bodaboda hapa nchini, wanaendesha pikipiki za matajiri na wanashindwa kujikwamua kiuchumi kutokana na mapato wanayoyapata kupelekwa kwa wamiliki.Iwapo wataanzisha vikundi...
20Jan 2019
Steven William
Nipashe Jumapili
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kumchoma mtoto wake wa kumzaa, mwenye umri wa miaka minne (jina linahifadhiwa) ambaye anaishi naye katika kitongoji cha Ngomei Shule. Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha...

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (wa tatu kushoto), akiongozwa na Meneja wa mgodi wa Makaa ya Mawe TANCOAL, David Kamenya (wa pili kulia), kutembelea maeneo ambapo uchimbaji wa makaa hayo unafanywa katika machimbo yaliyopo Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma juzi. PICHA: WIZARA YA MADINI

20Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, alisema hayo juzi  wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za madini mkoani Njombe na kuona namna ya kutatua changamoto  zinazohusu wizara ...

Padri Thadeus Mattowo wa Jimbo la Musoma mkoani Mara.

20Jan 2019
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Moto huo ulipokuwa unawaka, Padri huyo, Thadeus Mattowo wa Jimbo la Musoma mkoani Mara, imebainika kuwa alikuwa amelala ndani ya jengo hilo lakini mapadri wenzake walimwokoa kutoka kwenye jengo hilo...

Meneja Uhusiano wa NHIF Anjela Mziray.

20Jan 2019
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Jitihada hizo zinafanikishwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Ujerumani , uliowezesha wajawazito kupata bima ya afya ili watibiwe kila wanapohitaji...
20Jan 2019
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Katika agizo hilo anasema wakulima na wafugaji wanakosa maeneo ya kulishia  mifugo na ardhi ya kilimo kwamba ni vyema vijiji hivyo vikasajiliwa ili kuhakikisha wananchi hao wanakuwa na maeneo...
20Jan 2019
Mhariri
Nipashe Jumapili
Hizi ni ajali za pikipiki,  toyo, bajaji na bajaza. Zama hizi bajaza zimerembeshwa na kuwekewa ‘keria’ kwa ajili ya mizigo huku abiria  hata 10 wakipanda  vyombo hivyo...

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.

20Jan 2019
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Katika taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii jana, iliyothibitishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, John Mnyika, kuwa ni ya Lissu, ilieleza kuwa mkakati huo umeandaliwa na Bunge...
20Jan 2019
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Wanyama hao wanaishi kwenye hifadhi za taifa ambazo ni maeneo  muhimu yanayotegemewa kwenye  kulinda wanyama hao, wanahitaji  ulinzi ambao ni jukumu la kila mmoja  badala ya...
20Jan 2019
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Lakini zimwi hilo haliko kwa wazee tu kwani kwa vijana hali ni mbaya zaidi.Cha ajabu, watu wanaachana katika mambo ambayo walipaswa kuyakwepa, lakini wakidhani hayana madhara kwenye ndoa kumbe ni...

Baba katika fikra nzito. Kuwa na uthabiti usikubali kurudi nyuma na kunyong’onyea, ng’ang’ana ili kutimiza malengo . PICHA MTANDAO.

20Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Inawezekana wewe msomaji ukawa ni mmojawapo wa watu ambao bado hawajatimiza mipango waliyojiandalia iwe mwaka huu au iliyopita.Na miaka nenda rudi unasaka maendeleo binafsi lakini uko vile vile...

MKUU wa Wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah.

20Jan 2019
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Mkutano huo uliofanyika juzi, ulikuwa mahsusi kwa ajili ya kujadili jinsi ya kuwabana na kulipa madeni wadaiwa hao ambayo ni zaidi ya Sh. milioni 354 ambazo wengi  wamekopa na kushindwa...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

20Jan 2019
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Makonda amemtaka Lisu arejee Tanzania kwanza ili awashukuru Watanzania na wafuasi wa chama chake kwa kumwombea dua wakati wote alipopatwa na matatizo.Mkuu huyo wa mkoa aliyasema hayo jana katika...
20Jan 2019
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, alisema jana jijini hapa alipokuwa akitoa taarifa juu ya makusanyo ya mapato kwa halmashauri katika...

Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda akizungumza na waandishi wa habari.

20Jan 2019
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Akisoma taarifa ya Kamati ya Wabunge wa chama hicho, Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda, alisema wanampongeza CAG kwa kupuuza propaganda zilizoenezwa katika vyombo vya habari na mitandao ya...
20Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Redio ya Umoja wa Mataifa, anajibu swali ni kwa namna gani ofisi yake inasaidiwa na mihimili mingine ya dola .Profesa Assad anajibu kwa kuutaja muhimili wa bunge...
20Jan 2019
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Lengo la serikali la kuanzisha mkakati huo ni kupunguza vifo vitokavyo na uzazi mkoani hapa.Hatua hiyo inatokana na wajawazito wengi mkoani hapa kuendelea kujifungulia nyumbani na kwa wakunga wa jadi...
20Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza kabla ya mechi yao ya jana dhidi ya vinara hao, Bilali alisema hakuna timu ambayo tayari inauhakika wa ubingwa.Alisema Simba inaweza ikashinda viporo vyao na kuongeza presha kwa Yanga...

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Heritier Makambo.

20Jan 2019
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Hivi karibuni Makambo alitajwa kutoweka kwenye klabu hiyo na kuelekea kwao Kongo hali iliyoleta minon'gono kwenye mitandano ya kijamii licha ya uongozi wa klabu hiyo kutoa ufafanuzi.Makambo...
20Jan 2019
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Hifadhi hiyo iko katika barabara kuu ya kimataifa kutoka Dar es Salaam hadi  Zambia na kipande cha kilomita 50 kiko ndani ya hifadhi, hatua ambayo husababisha athari kwa wanyama. Waziri wa...

Pages