NIPASHE JUMAPILI

Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson.

26Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Pia ameitaka serikali kufuata sheria, kanuni na taratibu katika kupunguza mishahara na kushusha vyeo watumishi waliokuwa kwenye nafasi za uteuzi na kuondolewa, ili kusiwe na malalamiko.Kiongozi huyo...
26Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ibara ya 14 ya Katiba hiyo iliyotungiwa Sheria Na. 15 ya Mwaka 1984 (Haki ya Kuishi) inatamka bayana kwamba "Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake kwa...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saada Mkuya (Kulia) akiwaongoza maofisa waandamizi pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) kukabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya sh mil 30 kwa uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja iliyopo visiwani humo ikiwa ni sehemu maadhimisho ya 53 tangu kuanzishwa kwa shirika hilo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Marijani Msafiri , Mkurugenzi wa Bima ya Kawaida wa ZIC, Jape Khamis (Katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZIC, Ramadhani Mwalimu Khamis.

19Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Msaada huo ni sehemu maadhimisho ya 53 tangu kuanzishwa kwa shirika hilo. Vifaa hivyo ni pamoja na taa inayosaidia upasuaji, kifaa cha uangalizi wa wagonjwa wa dharura pamoja na mashine za...
19Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Pamoja na mambo mengine, bajeti hiyo imejikita katika kubana matumizi ya serikali kwa kupunguza idadi ya vigogo wanaotakiwa kununuliwa magari, kukopeshwa ili wafanye matengenezo wenyewe na kununua...
19Jun 2022
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Awali zaidi ya Shilingi bilioni 20 zilikuwa zitumike kuwalipa fidia kabla ya kubainika udanganyifu wao.Akizungumza mwishoni mwa wiki, Mthamini wa Serikali, Rashid Mageta, alieleza kuwa watu hao...

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu.

19Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokwenda sokoni huko na kufanya kikao na wafanyabiashara wa soko hilo."Nimeambiwa serikali inataka kuvunja soko hili na...
19Jun 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Muro, ambaye alifika katika kijiji hicho haraka baada ya kupewa taarifa, alisema tukio hilo limetokea jana majira ya saa tatu asubuhi baada ya tembo watatu kuvamia...

​​​​​​​Khamis Hamza Khamis.

19Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Khamis Hamza Khamis alitoa rai hiyo jana alipofanya ziara ya kikazi ya kujionea uzingatiaji wa sheria ya mazingira katika kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Pyxus kilichoko eneo la Kizota...

MWENYEKITI wa Chama Taifa, ACT Wazalendo, Juma Duni Haji.

19Jun 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kigogo huyo wa ACT Wazalendo aliweka wazi mambo hayo jana katika Kongamano la Tatu la Tume Huru ya Uchaguzi lililofanyika wilayani Songea mkoani Ruvuma.Katika kongamano hilo, Duni alisema tangu...
19Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baada ya mgawanyo huo, Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilipata mgawo wa vyumba saba vya kupangisha vilivyoko Oysterbay Villa, Mitaa ya Mawenzi na Ruvu.Hata hivyo, imebainika kuwa tangu kufanyika...
19Jun 2022
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Akifungua Mkutano wa tano wa Jukwaa la Taifa la Wadau wa Sekta Mtambuka katika Usimamizi wa Rasilimali za Maji katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam jana.Aweso...

Mkuu wa Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), Profesa Mbembati Naboth, akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho waliowasilisha mada nzuri kwenye mkongamano la kisayansi lililofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki. Kushoto ni profesa Columba Mbekenga na kulia ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi Nimrodi Matungwa.

12Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ombi hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki na Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa chuo hicho, Nimrodi Matungwa, wakati akizungumza kwenye hafla ya kufunga kongamano la sita la kisayansi la siku...
12Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Jumla ya hati miliki za kimila 100 zikiwemo 26 zinazomilikiwa kwa pamoja kati ya mume na mke zimetolewa kwa jamii hiyo ikiwa ni hatua kubwa kutokana na jamii hiyo kujishughulisha zaidi na uwindaji,...
12Jun 2022
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Alitoa maagizo hayo jana alipozungumza kwa njia ya simu na wananchi wa Mkoa wa Mbeya baada ya kumpigia Mkuu wa Mkoa huo wakati wa hafla maalumu ya kuipongeza serikali kwa utekelezaji wa miradi ndani...

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saimon Sirro.

12Jun 2022
Francis Godwin
Nipashe Jumapili
"Hataruhusiwa kuchukua gari lake polisi hadi atakapopatikana ili atueleze aliruhusu vipi gari lake kufanya kazi ya kubeba abiria bila kuwa na kitabu cha tiketi," aliagiza. IGP Sirro pia...
12Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella, alitoa taarifa hiyo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelezea kinachondelea Loliondo katika utekelezaji wa kuweka mipaka kwenye eneo hilo."...

Rais Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa nchi hodhi (HGA) wa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asili, Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma jana. Wanaosaini ni kati ya Waziri wa Nishati, Januari Mkamba (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), Dk. James Mtaragio na Makamu wa Rais na Mwenyekiti wa Tanzania Equinor AS, Unni Merethe (kulia) na Makamu Rais wa kampuni ya Shell Exploration, Jared Kuehl. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

12Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Vilevile, mradi huo unatarajiwa kutoa ajira 10,000 kwa kipindi cha ujenzi na baadaye za kudumu 500 na ndiyo sababu ya uamuzi wa serikali wa kuanzishwa kanda maalum ya kiuchumi kwa ajili ya uwekezaji...

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo pamoja na wageni waalikwa wakati akizunduza semina ya siku moja kwawawakilishi hao iliyoendeshwa na Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) kwa kushirikiana na wadau wengine visiwani humo ikilenga kuwajenga uelewa wajumbe hao kuelekea uanzishwaji wa huduma mpya ya Bima ya Kiislamu ‘Takaful’. Wanaomsikiliza ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango –Zanzibar ,Dkt Saada Mkuya (wa tatu kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima Zanzibar(ZIC) Bw Arafat Haji (Kushoto) na wadau wengine.

05Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mafunzo hayo ya siku moja yaliyofanyika eneo Chukwani nje kidogo ya jiji la zanzibar, yalitanguliwa na mafunzo ya siku moja kwa mawakala wa bima visiwani humo yaliyofanyika visiwani Pemba huku lengo...

Makamu mkuu wa chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole Wazazi kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani Maximillian Sarakikya (wa tatu kulia) akiwaeleza kitu baadhi ya wafanyakazi kampuni ya bia ya Serengeti waliotembelea chuo hicho mwishoni mwa wiki. Wengine katika picha ni wanafunzi wa chuo hicho ambao ni wanufaika na programu ya ufadhili wa masomo inayojulikana kama Kilimo Viwanda.

05Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akiongea jana wakati wa kukabidhi vyeti hivyo katika chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole, chini ya programu ya Kilimo Viwanda,  Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa SBL, John Wanyancha alisema, SBL...
05Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza leo Jumapili Juni 5, 2022 Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Beatrece Baltazar, amewataja waliofariki kuwa ni Hana Meshack, Zira Mpenda, Mpeli Mahenge na waliojeruhiwa ni Fortunata Kingazi,...

Pages