NIPASHE JUMAPILI

16Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Yahitaji bao 1-0 Taifa, kuitupa nje, Mtibwa mambo magumu kwa KCC baada ya...
Hata hivyo, tofauti na misimu iliyopita ambapo Simba imekuwa ikichapwa rundo la mabao, safari hii katika mechi hiyo ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Nkana imepata ushindi mwepesi...
16Dec 2018
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Picha ya mbuzi huyo akiwa nyuma ya gari la serikali aina ya Toyota Land Cruiser VX V8 lenye namba za usajili SU 38431 mali ya TIB, ilisambaa mtandaoni juzi na kupata idadi kubwa ya wachangiaji ambao...
16Dec 2018
Neema Sawaka
Nipashe Jumapili
Mkuu wa wilaya ya Kahama Annamlingi Macha, aliwaonya wakulima wasiofuata kanuni za kilimo bora ikiwemo ni matumizi ya mbolea na viuatilifu kuacha kukuza mlipuko wa panya badala ya kuzungumza...
16Dec 2018
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kanuni hizo zilianza kutumika mwaka 2014 na kuwa na vikokotoo viwili tofauti ambavyo vilitumika kwa watumishi wa umma ambao walilipwa mkupuo wa asilimia 50 na asilimia 50 ilibaki kwenye mfuko na...
16Dec 2018
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Kwa kufanya hivyo, imesema itaipunguzia serikali gharama za kutumia mamilioni ya fedha kwa ajili ya kuweka alama hizo. Kaimu Meneja wa Tanroads Mkoa wa Singida, Mhandisi Matari Masige, alitoa...
16Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ngumu kwa Serengeti Boys, kufuatia kuchezea kichapo cha mabao 2-0 zilipokutana awali katika michuano hiyo inayofanyika Botswana mwaka huu. Baada ya kuchezea kichapo...
16Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa na mwanasaikolojia Dk. Chris Mauki kwenye ukurasa wake wa instagram lengo likiwa ni kuwaonyesha walio kwenye uhusiano jinsi umbali ulivyo changamoto. Kilichojitokeza kwenye...
16Dec 2018
Elisante John
Nipashe Jumapili
Mtuhumiwa huyo, Jafari Shongwe maarufu kama Jojo (54), alikutwa na kobe hao aina ya chui akiwa amewabeba ndani ya beki kubwa kwenye basi lenye namba za usajili T 885 CAH la kampuni ya Premier Line,...
16Dec 2018
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Itakuwa ni mechi ya 16 kwa Yanga, huku Ruvu Shooting itakuwa ikitimiza mechi ya 17. Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kwenye mechi ya leo atamkosa beki wake, Kelvin Yondani ambaye...

waziri wa afya ummy mwalimu picha mtandao

16Dec 2018
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Hali hiyo inatokana na hospitali hiyo kutokuwa na jenereta la akiba kwa zaidi ya miezi mitano sasa. Kutokuwapo kwa jenereta hilo baada ya lililokuwepo mfumo wake wa kuwasha mashine kuharibika,...

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mary Mwanjelwa, picha mtandao

16Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mary Mwanjelwa alisema hayo jana alipotembelea Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini ya Ofisi yake kwa...
16Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika mwaka huu wa 2018 zaidi ya ajali kubwa sita zilitokea mkoani hapa na zote zikasababisha vifo huku baadhi ya majeruhi wakipata ulemavu wa kudumu.Mbali na madhara kwa binadamu, pia ajali hizo...

WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga, picha mtandao

16Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga, ameagiza kurejeshwa ndani ya miezi mitatu madeni yote yaliyokopwa kwenye vyama vya akiba na mikopo (Saccos). Hasunga alitoa agizo hilo juzi wakati wa kikao cha...

igp simon sirro picha mtandao

16Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Jambo kubwa na la muhimu katika yote hayo ni usalama ambao ni kitu cha kipekee kuliko chochote kile watu wanachoweza kudhania.Bila usalama, hakuna furaha na hata wakati mwingine hakuna maisha kuanzia...

ALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, picha mtandao

16Dec 2018
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Amesema miongoni mwa mitihani mikubwa aliyopitia akiwa CAG na ambayo hataisahau maishani mwake ni ukaguzi maalum alioufanya kuhusu kashfa ya Jairo. Hayo yamo kwenye kitabu chake alichokiita “...
16Dec 2018
Mhariri
Nipashe Jumapili
Kwa wenye mapenzi mema Krismasi ni kipindi cha kutakiana amani, kushirikiana na jamaa , ndugu na marafiki, kufarijiana, kutembelea wazazi, jamaa na ndugu vijijini na mijini ili kudumisha udugu wa...
16Dec 2018
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Ganda hilo limepatikana kwenye eneo la Mlambalasi, Kalenga alikokuwa ameweka maficho yake wakati akipigana vita vya msituni dhidi ya Wajerumani zaidi ya miaka 100 iliyopita. Akitangaza rasmi jana...
16Dec 2018
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana kwenye ofisi za Nipashe zilizoko Mikocheni, jijini Dar es Salaam, Komba alieleza alivyopata ulemavu huo baada ya kuchomwa sindano ya pepopunda akiwa na umri wa miaka mitano....

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Dk. John Jingu,picha mtandao

16Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

Akizungumza jana wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto   Taifa, Dk. Jingu alisema taifa linahitaji vijana wenye weledi mkubwa ili washiriki uchumi wa viwanda. Kutokana na...
16Dec 2018
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Hapa haijalishi ni mwanamke, mwanaume au mtoto, wote ni waathirika wa vitendo hivyo, ambavyo huambatana na vitisho, kulazimisha na kumnyima mtu uhuru bila kujali vinafanyika kwa siri au hadharani...

Pages