NIPASHE JUMAPILI

01Nov 2020
Steven William
Nipashe Jumapili
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muheza, Nasibu Mbaga, alimtangaza Mwana FA kuwa ndiye mshindi wa ubunge kwa kupata kura 47,578 na kumwacha mpinzani wake Yosepher Komba wa Chama cha Demokrasia na...
01Nov 2020
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Jafo alitoa agizo hilo juzi wakati akiweka jiwe la msingi katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi cha City, Tawi la Chanika.Alitoa agizo hilo baada ya kupokea maelezo ya vikwazo vinavyowakabili...
01Nov 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Lakini kwa kifupi inanifurahisha, kwa sababu ni michezo ya ushindani inayohusisha timu mbili au watu wawili wanaochuana, chini ya mwamuzi au waamuzi.Kwa kweli kuangalia soka na kuangalia masumbwi...
01Nov 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wakati kiongozi huyo wa dini akitoa kauli hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, amevitaka vyombo vya doka kuwadhibiti wanasiasa na wafuasi wanaochochea vurugu na maandamano kwa madai ya...
01Nov 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Hii imenikumbusha kisa cha rafiki yangu. Alikwenda kwa mamantilie kupata mlo. Akiwa anangoja mlo, alisikia mamantilie akimtuma msaidizi wake kwenda kumnunulia chakula hotelini. Jamaa alishtuka kunani...
01Nov 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Twiga Stars ni mwalikwa katika michuano hiyo inayotarajiwa kufanyika kuanzia keshokutwa hadi Novemba 14, mwaka huu mjini Port Elizabeth.Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha Mkuu wa Twiga Stars,...
01Nov 2020
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
*Kila baada ya sekundi 24, kifo kinarekodiwa
Ni majira ya jioni, biashara ikiwa imechangamka kwenye eneo hilo lililoko katikati ya Jiji la Dodoma. Barabara kuu ya Nyerere inapita kwenye eneo hilo ikitumiwa na madereva wa mabasi madogo ya abiria...

Mkurugenzi wa NEC, Dk.Wilson Charles.

25Oct 2020
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akizungumza leo na waandishi wa habari Jijini Dodoma, Mkurugenzi wa Tume hiyo, Dk.Wilson Charles amesema tuhuma hizo zinaleta kuzua taharuki kwa jambo ambalo si la kweli.Aidha, amesema vituo vya...
25Oct 2020
Enock Charles
Nipashe Jumapili
Katika mkutano wake wa kampeni Kata ya Kimara jijini Dar es Salaam juzi, Jacob alisema ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo uliokuwa unaendelea katika eneo la Kimara Baruti, ulisimama alipoondolewa...
25Oct 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Wiki hii tunawaangazia wachaguliwa tukigusia udhaifu na ubora wa baadhi ya uamuzi wao. Hapa tutaangalia procedure zaidi ya sera.  Pamoja na ugumu na umuhimu  wake, uchaguzi wa mwaka huu ni...
25Oct 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Alisema kama wameongozwa na kiongozi wa upinzani kwa miaka hiyo na hakuna maendelea waliyoyapata, sasa ni wakati mwafaka wa kumchagua mbunge kupitia CCM kwa miaka mitano ijayo.“Karatu kama...
25Oct 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, alisema kikosi chao kilianza mazoezi jana na kila mchezaji ameahidi kujirekebisha kuelekea mchezo huyo wa raundi ya nane.Rweyemamu alisema wanafahamu kila mechi ya...
25Oct 2020
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Ni katika vita nyingine ya kuwania pointi tatu muhimu za Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC...
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, alisema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo na wamejipanga kuongeza umakini kutokana na rekodi nzuri na wapinzani wao msimu huu....
25Oct 2020
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Alitoa onyo hilo jana alipozungumza na waandishi wa habari mkoani hapa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo.Telack alisema kuna tetesi kuhusu baadhi ya vijana kutaka kufanya...
25Oct 2020
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Lipuli, Ayubu Kiwele, alisema maandalizi ya tamasha hilo yamekamilika na wanawaomba mashabiki na wadau wa soka wa Iringa kujitokeza kuangalia mikakati iliyopangwa na klabu yao.Kiwele...
25Oct 2020
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jana, Tshishimbi alisema ameamua kutia saini mkataba wa mwaka mmoja tu kwa sababu hapendi kucheza soka katika ardhi ya nyumbani kwao."Ni kweli nimesaini AS Vita ya...
25Oct 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Lissu, katika mkutano wake na waandishi wa habari jana mkoani Lindi, aliekeza lawama zake hizo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jeshi la Polisi na baadhi ya taasisi za umma, akidai zinamhujumu. Hata...
25Oct 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Na mpaka sasa baadhi yenu pamoja na kubalehe na kuvunja nyungo, hamjui hata lugha za baba na mama zenu, mnazungumza Kiswahili na kuokoteza neno moja moja la kilugha kutoka kwa wazazi hao. Sana sana...
25Oct 2020
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Revocatus Malimi, alisema gari hilo aina ya TATA, lenye namba za usajili T670 DKL, lilipata ajali jana saa 4:00 asubuhi baada ya kupata hitilafu katika mfumo wa...
18Oct 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Katika maadhimisho ya kuondoka kwako baba, leo nina machache ya kukueleza kama ifuatavyo:Mosi, tangu uondoke, taifa letu limebadilika sana. Nakumbuka wakati ukitutoka, ulimuacha kijana wako, ambaye...

Pages