NIPASHE

02Apr 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Aidha, limetoa ufafanuzi wa tuhuma za Kiongozi wa Upinzani bungeni, Freeman Mbowe, kunyanyaswa na kukosa huduma alizopaswa kupewa na Bunge ikiwamo nyumba ambayo aliikataa na kumpa Lissu. Zuio hilo...
02Apr 2020
Hellen Mwango
Nipashe
Mdee kupitia mdhamini wake, Farisi Upono, amewasilisha barua akieleza kwamba anasumbuliwa na maumivu ya mkono na kushindwa kufika kwenye kesi yake. Madai hayo yalitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, picha mtandao

02Apr 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Mgonjwa mmoja aliyekuwa katika kituo cha matibabu cha Temeke, jijini Dar es Salaam, amethibitika kupona maambukizi corona na ameruhusiwa kurudi nyumbani. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...

Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed.

01Apr 2020
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 1,2020 amesema kuwa wapo baadhi ya wanaume hasa Kisiwani Pemba wanawake wawili mmoja yupo Pemba na mwengine Mombasa nchini Kenya lakini hivi sasa...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Kamishna Msaidizi wa Polisi,SACP. Wilbroad Mutafungwa.

01Apr 2020
Idda Mushi
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Kamishna Msaidizi wa Polisi,SACP. Wilbroad Mutafungwa,amewaambia waandishi wa habari kuwa watuhumiwa hao wote wamekamatwa katika maeneo tofauti ya Mkoa wa Morogoro...

Meneja wa Benk ya TPB tawi la Shinyanga Jumanne Wagana akizungumza na Nipashe ofisini kwake juu ya ukopeshaji wa mikopo.

01Apr 2020
Marco Maduhu
Nipashe
Hayo yamebainishwa leo na Meneja wa benk hiyo, Jumanne Wagana wakati akizungumza na Nipashe, juu ya changamoto ambazo wanakabilianazo katika urejeshaji wa mikopo kwenye vikundi ambavyo wanavikopesha...

Maelezo ya picha baadhi wanawake wa kijiji cha Bubwini kaskazini Unguja wakipatiwa elimu ya ushiriki wa wanawake kuhusu uongozi.

01Apr 2020
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti wa timu hiyo Muhamed Jabir, alisema kwamba elimu waliyoitoa kuhusiana na kuwaunga mkono wanawake kugombea nafasi za uongozi kumeongeza uwelewa hasa kwa wanaume...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Georgre Simbachawene.

01Apr 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Mashine hiyo ina uwezo wa kutoa vitambulisho 9, 000 ambapo kwa saa wanaendelea na zoezi la ufungaji mashine hizo na zoezi la utoaji wa vitambulisho litakamilika ndani ya miaka miwili au zaidi....

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, picha mtandao

01Apr 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Kiongozi huyo wa Bunge alitoa agizo hilo jana, bungeni jijini hapa, alipojibu hoja ya Mbunge wa Rufiji (CCM), Mohamed Mchengerwa, aliyeitaka serikali kulitaarifu Bunge hatua inazochukua kuwasaidia...

•Rais John Magufuli akipiga kura yake. picha mtandao

01Apr 2020
Maulid Mmbaga
Nipashe
*Ni wa mataifa 19 imo Tanzania, Marekani, Burundi, Niger, Malawi
Viongozi wanaotarajiwa kuchaguliwa kwa Tanzania Oktoba mwaka huu ni pamoja na marais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano, wabunge, wawakilishi na madiwani. Mbali na suala hilo la uchaguzi,...
01Apr 2020
Mary Mosha
Nipashe
Taarifa iliyotolewa jana na Kamishna wa Uhifadhi wa Kanda ya Kaskazini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Herman Batiho, inaeleza kuwa miradi hiyo ni ile inayotokana na mpango wa ujirani mwema...

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Heritier Makambo (kwa sasa Horoya AC ya Guinea), anawindwa kwa mara nyingine na miamba hiyo ya mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam, ambayo imepania kumrejesha msimu ujao. PICHA: MAKTBA

01Apr 2020
Saada Akida
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz alisema wapo katika mikakati mikubwa ya kumrejesha mshambuliaji huyo pamoja na wachezaji wengi ambao wamependekezwa...
01Apr 2020
Faustine Feliciane
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo, katika siku hizo, kutakuwa na mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Njombe, Iringa, Songwe, Mbeya na Rukwa. Meneja wa Kituo Kikuu cha...
01Apr 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Wahofia mabao kupungua kikosini baada ya nyota hao kuwekewa ngumu kurejea, sasa...
uwezekano wa kuwapata baadhi ya nyota wake wa kimataifa waliorejea makwao, imeelezwa. Wachezaji nyota wawili wa Simba, Mshambuliaji Meddie Kagere na kiungo 'mahiri mpishi wa mabao', Fancisis...
01Apr 2020
Beatrice Moses
Nipashe
Miongoni mwa kasoro hizo ni baadhi ya watu kuzuiwa kujiandikisha kwa sababu walivaa fulana zenye kola ya duara. Dosari nyingine ni ushiriki mdogo wa vyama vya siasa, ambapo vyama vinne pekee...
01Apr 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa hali hiyo ndiyo maana kila kijiji kinajengewa zahanati, kata zote zinakuwa na vituo vya afya, wilaya na mikoa ikijengewa hospitali na pia kukiwa na hospitali maalumu za rufani za kanda na za...
01Apr 2020
Mhariri
Nipashe
Matukio hayo yalianza takribani zaidi ya mwaka mmoja uliopita, na yameshasababisha Watanzania kadhaa kupoteza maisha, wakiwamo wanaoingia ndani ya Msumbiji kufanya shughuli za kujipatia riziki....
01Apr 2020
Rahma Suleiman
Nipashe
Mkuu wa doria wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi, Haji Shomari, alisema hayo wakati wa kufanya doria katika ghuba ya hifadhi ya Minai inayounganisha eneo la Mkoa wa Kaskazini hadi Kusini Unguja....
01Apr 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Bunge la Tanzania limeanzishwa kwa mujibu wa ibara ya 62(1) ya katiba, linaishi kwa miaka mitano na kwa muundo lina sehemu mbili ambazo ni Rais na wabunge, wakiwamo wa kuchaguliwa majimboni na wa...
01Apr 2020
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam iliyoketi chini ya Hakimu Mkazi Mkuu, Janeth Mtega. Awali, mshtakiwa alimwandikia Mkurugenzi wa Mashtaka...

Pages