NIPASHE

15Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Kanda alisema tayari amepona na kuanza mazoezi na wenzake kwa ajili ya kurejea katika ubora wake. Alisema kabla ya kurejea katika kikosi kuendelea na programu ya timu...

Naibu Waziri wa Wizara ya kilimo, Hussein Bashe, picha mtandao

15Feb 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Hayo yalibainishwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Hussein Bashe, alipokuwa akizungumza katika Kongamano la Sita la Jukwaa la wadau wa sera za kilimo, mifugo na uvuvi, jijini hapa. Alisema tatizo...
15Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Mtoto wake aligongwa na gari, aendesha kampeni ya usalama barabarani
Lakini kwa Monica Dongban Mensem, kwake si jambo linalompa ukakasi, kwani anapomaliza kazi yake ya kuhukumu watu mahakamani huelekea barabarani na kufanya kazi hiyo ya ziada. Monica ambaye ni raia...
15Feb 2020
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mabao yote ya Twiga Stars yalifungwa katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo uliochezeshwa na mwamuzi, Asma Chouchane wa Tunisia. Amina Ally alikuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika mechi hiyo...
15Feb 2020
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Mndeme ameagiza wenyeviti, mameneja na wahasibu wa vyama vya akiba na mikopo (saccos) 26 wanaotuhumiwa kwa ufisadi wa Shilingi bilioni 1.3 kukamatwa mara moja.Aliagiza kukamatwa watumishi hao jana...
15Feb 2020
Rahma Suleiman
Nipashe
Walitaka hatua ichukuliwe kwani mradi huo umetengewa takribani Sh. milioni 500 lakini hadi sasa hakuna kilichofanyika katika mchanganuo wa fedha hizo na matumizi yake. Akizungumza katika Baraza la...
15Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hiyo ni kutokana na wakati Eymael akisema kuwa hakuna namna leo ni ushindi tu, Rishard yeye amesema wanataka kuibuka na ushindi ili kulipa kisasi cha mzunguko wa kwanza. Katika mchezo wa raundi ya...
15Feb 2020
Daniel Limbe
Nipashe
Mshtakiwa huyo ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Buzirayombo wilayani Chato, alikamatwa na askari polisi Februali 10 na siku tatu baadaye, alifikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka ya ubakaji....

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

15Feb 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Katazo hilo alilitoa jana jijini Dar es Salaam, alipofanya ziara katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Tawi la Mloganzila, kuangalia kero na vikwazo wanavyopata wagonjwa wanaopatiwa matibabu....

Wasanii wa kundi la Lulu Abdalla.

14Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wasanii kutoka visiwani hapa, Siti & the Band waliweza kuonyesha uwezo wao wa kupiga muziki wa asili wa Afrika pamoja na muziki wa mwambao (taarab) na aina ya rege ambao uliamsha shangwe nara...

waziri wa madini, doto biteko.

14Feb 2020
Salome Kitomari
Nipashe
*Waziri: Kuwajibikia jamii lazima, *Mwekezaji: Shule, zahanati... zaja
Fuatilia sehemu ya mwisho, inayojumuisha ufafanuzi kutoka kwa wahusika wakuu:Maria Mwenti, Diwani wa Uponela, anasema katika eneo lake kuna vijiji viwili, kimoja kikiitwa Lyandu ambacho kilibainika...
14Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika uzinduzi huo Afisa wa Mahusiano wa Kampuni hiyo, Aisha Karupa, amesema Infinix imejipanga katika kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wake maeneo mbalimbali na kuondoa hofu kwa wateja hao ya...
14Feb 2020
Mhariri
Nipashe
Ombi hilo lilitolewa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Augustine Mahiga, kwa ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kwa ajili ya kuwawezesha maofisa hao kutekeleza wajibu...
14Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyosambaa jana katika mitandao ya habari na kuthibitishwa na mtoto wake, Ahmad Simba, ilisema Simba alifariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ya Hospitali ya Taifa ya...
14Feb 2020
Nebart Msokwa
Nipashe
Hayo yalisemwa na wadau wa mifugo mkoani Mbeya wakati wa mkutano wenye lengo la kujadili matatizo yanayoikabili sekta hiyo pamoja na njia za kuzitatua ili kuiendeleza kwa maslahi ya taifa. Mkutano...
14Feb 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Pamoja na kuandikwa kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza, bado madereva wa bodaboda wanapita wakiwa wamebeba abiria. Hapo katika mustakabali wa usalama barabarani, inazua maswali nini sasa...

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Simon Maigwa, picha mtandao

14Feb 2020
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Simon Maigwa, alidai tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa nane mchana kwenye barabara ya kutoka Njombe kwenda Songea, ambayo wanafunzi hao walikuwa wanatembea...

Waziri wa Madini, Doto Biteko, akikabidhi funguo za ofisi za Serikali ya Kijiji cha Mdindo, Kisewe na Nawenge wilayani Ulanga, baada ya kujengwa na kampuni ya uchimbaji madini Mahenge Resources. Kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa kampuni hiyo, John de Vries. PICHA ZOTE: ROMANA MALLYA

14Feb 2020
Romana Mallya
Nipashe
Waziri shuhuda, adokeza ya fidia., Yatajwa kila kitu vifaa elektroniki
Licha ya mvua kubwa kunyesha, baadhi ya barabara ndani ya vijiji zikipata changamoto kutopitika, mamia ya wanakijiji walijikusanya katika uwanja huo uliopo Mahenge, ambako makabidhiano ya ofisi hizo...
14Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Coastal tayari ipo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Uhuru Jumamosi, wakati huu ikiwa nafasi ya tano na alama zake 35 kwenye msimamo wa ligi hiyo ikizidiwa pointi...

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Tanzania, Jaffari Matundu (wa tatu kulia), akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. milioni 25 kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (wa tatu kushoto), kwa ajili ya ununuzi wa vitanda pacha 47 vya hosteli ya wanafunzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Mrisho Gambo. Wengine ni maofisa waandamizi wa mkoani humo na benki hiyo. MPIGAPICHA WETU

14Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo ni mwendelezo wa benki hiyo katika kuunga mkono jitihada za serikali katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo iliyoongozwa na...

Pages