NIPASHE

09Apr 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kocha Mkuu wa timu hiyo, Oscar Mirambo, amesema kupona kwa straika wao, Kelvin John kunakifanya kikosi chake kuwa kamili na tayari kwa michuano ya Afrika (Afcon U-17), ambayo itafanyika jijini Dar es...

Mwanamke akiwa ndani ya pango Israel. PICHA: MTANDAO

09Apr 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Njia na vichochoro vyenye urefu wa kilometa 10 ndani ya pango la Malham, linaloelekea katika bahari ya chumvi inayopakana na Jordan upande wa mashariki na Israel, na ukingo wa magharibi, upande wa...
09Apr 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Mabao hayo yanamfanya Makambo kucheka na nyavu mara 14 akimzidi bao moja straika wa Simba, Mnyarwanda Meddie Kagere, huku wote hao wakiongozwa na Mtanzania Salum Aiyee wa Mwadui FC mwenye mabao 16...

Baadhi ya wahamiaji haramu walionaswa na moja ya operesheni zilizofanywa na Idara ya Uhamiaji kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. PICHA: MTANDAO

09Apr 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yaanzisha kitengo maalum cha utawala wa mipaka na operesheni, Udhibiti wa mipaka kuwa kozi inayotolewa katika Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda Moshi , Yaja na daftari maalum la kuandikisha wageni mikoa mbalimbali
Hili ni tatizo pia la kimataifa ambalo linayakumba mataifa mengi katika dhima nzima ya kupambana vilivyo na wahamiaji haramu, hali ambayo imekuwa ikichagiza uhalifu, jambo linaloathiri vilevile hata...
09Apr 2019
Steven William
Nipashe
Iddi, ambaye ni mkazi wa kijiji cha Manyoni, Kata ya Misoswe wilayani hapa, alihukumiwa adhabu hiyo na Hakimu Mkazi Lillian Lutehangwa, kwa kitendo hicho dhidi ya watoto hao ambao ni wanafunzi....
09Apr 2019
Paul Mabeja
Nipashe
Akizungumzia lengo la safari yao kutoka Kagera kuja jijini Dodoma kwa niaba ya wenzake 250, Augustina Augustine mkazi wa kitongoji hicho alisema wameamua kumfuata Lukuvi ili awasaidie kutatua mgogoro...
09Apr 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Hali hiyo imetokana na bidhaa zisizo za vyakula kama vile mavazi na viatu, kodi ya pango, mafuta ya taa, mkaa, kuni, huduma za afya zimechangia kuongezeka kwa mfumuko huo. Alizungumza jana kwa...

Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Maria Nzuki. PICHA: MTANDAO

09Apr 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kubaka ni kitendo cha kumwingilia mtoto aliye chini ya miaka 18 kimapenzi, iwe kwa hiari yake au bila hiari yake. Kwa watu walio na miaka 18 na kuendelea ni kitendo cha kumlazimisha mwanamke...
09Apr 2019
Paul Mabeja
Nipashe
Aidha, wamesema hata kinamama wanaopata vibarua katika mradi huo wamekuwa wakipewa malipo kidogo ambayo hayakidhi mahitaji ya kila siku licha ya kazi kubwa wanayoifanya. Wakazi hao waliyasema hayo...
09Apr 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki, Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Claudia Kitta, alisema lengo la kutoa elimu ya matumizi bora ya fedha limezaa matunda kwa kuwa tayari walengwa kupitia fedha hizo...
09Apr 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Watu wenye uhitaji wa miguu hiyo, wametakiwa kufika MOI ndani ya mwezi huu kwa ajili ya vipimo na maelekezo mengine na kwamba ugawaji wa miguu hiyo utafanyika Mei, mwaka huu. Mkurugenzi Mtendaji...

MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), Anna Henga, picha mtandao

09Apr 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Amesema mara kwa mara kunapofanyika uchaguzi nchini, matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu hujitokeza ikiwamo watu kujeruhiwa, kuuawa na kupotea. Ametoa mfano wa tukio la uchaguzi wa marudio...
09Apr 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Caf yawabadili Waethiopia yapanga Wazambia, Wekundu wa Msimbazi washtuka wapinga, wasema...
hiyo kubadilishwa. Awali, Shirikisho la Soka Afrika (Caf), lilitangaza mechi hiyo itakayochezwa Jumamosi mjini Lubumbashi, itachezeshwa na waamuzi kutoka Ethiopia ambao ni Bamlak Tessema Weyesa,...
09Apr 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Akizungumza baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika jana katika Uwanja wa Ndege wa KIA, Mkuu wa chuo hicho, Profesa Zacharia Mganilwa, alisema chuo hicho kimepokea eneo hilo kwa ajili ya kujenga...

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), prof musa assad picha mtandao

09Apr 2019
Sanula Athanas
Nipashe
Mara tu baada ya kumalizika kwa kipindi cha 'Maswali' bungeni jana asubuhi, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (Chadema), alisimama na kuomba mwongozo wa Kiti cha Spika akitaka Bunge lielezwe tarehe ya...

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)Ephraim Kwesigabo.

08Apr 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Hali hiyo, imechangiwa na bidhaa zisizo za vyakula kama vile mavazi na viatu, kodi ya pango, mafuta ya taa, mkaa, kuni, huduma za afya, dizeli, chakula na vinywaji.Akitangaza Mfumuko huo leo kwa...

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) seleman Jafo.

08Apr 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza katika ziara yake wilayani humo leo, Jafo amesema halmashauri hiyo ni miongoni mwa halmashauri 67 zilizopata fedha kiasi cha Sh.Billioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali za wilaya....

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto

08Apr 2019
Paul Mabeja
Nipashe
Maandamano hayo yalipangwa kufanyika kesho na vijana wa chama cha Act wazalendo kwa kushirikiana na vyama vingine vya siasa vikiwemo NCCR-Mageuzi, Chauma pamoja na UPDP.Aidha Jeshi hilo limesisitiza...

Ujenzi wa Tenki la Maji lenye ujazo wa lita 5,000,000 ukiendelea kwenye eneo la Kaze Hill Tabora Mjini.

08Apr 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mradi huo utahudumia tarafa 2 zenye kata 29, vijiji 41 na mitaa 134, ambapo kwa sasa manispaa hiyo ina wakazi wapatao 277,000 lakini kufikia mwaka 2020 idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka mpaka kufikia...
08Apr 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Katika ya timu 20 zinazoshiriki Ligi Kuu, ni Yanga, Simba na Azam pekee ndizo zinazoonekana hazina tishio la kushuka daraja, lakini 17 zote zilizobaki kama hazikuchanga karata zao vizuri basi...

Pages