NIPASHE

David de Gea

12Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Gazeti hilo limedai kwamba, raia huyo wa Hispania bado hajakubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kukaa hapo kwenye dimba la Old Trafford.Mapema mwezi uliopita ilidaiwa kwamba kipa huyo mwenye umri...

MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Deogratius Ndejembi,

12Aug 2019
Ibrahim Joseph
Nipashe
Sambamba na hilo, ameagiza kuhojiwa watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya hiyo na makandarasi waliokuwa wakijenga majengo hayo kutokana na kukiuka miongozo ya serikali.  Ndejembi alitoa...

Nahodha wa Klabu ya KMC FC, Juma Kaseja

12Aug 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Akizungumza na Nipashe juzi kutoka Kigali, Kaseja alisema kwa ujumla timu yao ilijitahidi kutokana na ushindani mkali katika mechi hiyo."Japokuwa tumepata sare ugenini bado tuna dakika 90 ambazo...

Pep Guardiola

12Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-alikuwa mchezaji wa kwanza wa Ligi Kuu bao lake kukataliwa.Wakati wakiwa wanaongoza kwa mabao 2-0, Jesus alifunga bao lililodhaniwa kuwa ni la tatu kwa City, lakini mwamuzi, Mike Dean alilikataa bao...

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake ya umri chini ya miaka 20 (Tanzanite)

12Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mabingwa hao wapya walienda mapumziko wakiwa mbele kwa bao 1-0 katika mchezo huo uliochezwa jana mchana nchini Afrika Kusini.Tanzanite ambayo ni timu mwalikwa katika mashindano hayo, imetwaa ubingwa...

ndege aina ya kweleakwelea

12Aug 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Ombi hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki jijini Mbeya wakati wa  kilele Siku ya Maonyesho ya Wakulima Nanenane. Mmoja wa wakulima hao, Batazan Lusigi, alisema ndege aina ya kweleakwelea...
12Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msimu uliopita 2018/2019, ulikuwa ni moja ya misimu bora na wenye ushindani wa hali ya juu. Je, mambo yatakuwaje kwenye msimu huu mpya.Mshindi wa Ligi Kuu msimu uliopita Manchester City na mshindi wa...

WAZIRI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Mizengo Pinda.

12Aug 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
- ili kukabiliana na changamoto ya utapiamlo na udumavu.Alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati akifunga Maonyesho ya Wakulima Nanenane, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini iliyohusisha mikoa saba...
12Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki na Daktari wa Afya ya Akili kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Omary Ububuyu, alipokuwa akitoa mada ya magonjwa...
12Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Mahakama hiyo iliyoketi chini ya Jaji Dk. Atuganile Ngwala, mwishoni mwa wiki ilitengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Temeke, kwamba ilikosea kumtia hatiani kwa sababu ushahidi wa...

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Steven Kebwe

12Aug 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Chalamila alitoa pole hizo juzi wakati wa mkutano na wananchi wa Kata ya Utengule Usongwe, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya na kuongoza wakazi hao kusimama kwa dakika moja kuomboleza....
12Aug 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Aliyasema hayo Mjini Zanzibar wakati Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Bodi ya Usafiri Zanzibar zilipofanya operesheni ya usalama barabarani."Naomba nitoe angalizo kwa wake wote ambao...
12Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa zinazohusu fursa ya uwekezaji kwenye madini, iliyowekwa katika tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, madini mengi hadi sasa hayajachimbwa ama yanachimwa kwa kiwango kidogo....
12Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Michuano hiyo ilikuwa ikifanyika nchini Afrika Kusini, na mechi hiyo ya fainali ilichezwa jana Jumapili kwenye Uwanja wa Wilfson Port Elizabeth.Chini ya Kocha Mkuu, Bakari Shime, mabao ya Tanzanite...

Beki wa Yanga, Paul Godfrey akipiga hesabu ya kuwazuia wachezaji watatu wa Township Rollers kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyopigwa Uwanja wa Taifa Jumamosi.

12Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba wakiwa nchini Msumbiji kwenye mji wa Beira, walitoka suluhu ya bila kufungana na UD Songo katika pambano kali la aina yake la Ligi ya Mabingwa Afrika.Kwenye Uwanja wa...

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi

12Aug 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Alisema familia kadhaa zilizowahi na zinazoendelea kupata huduma za upasuaji kwa wagonjwa wao kupitia madaktari hao wa Misri wanaokuja visiwani humo kwa vipindi tofauti tangu mwaka 2013, zimejenga...
12Aug 2019
Mhariri
Nipashe
Simba na Yanga zinapeperusha bendera ya nchi kwenye Ligi ya Mabingwa wakati KMC na Azam FC ambayo jana ilikuwa dimbani dhidi ya Fasil Ketema ya Ethiopia, zinabeba jukumu hilo upande wa Kombe la...

Hifadhi ya Mkomazi

12Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Mpango huo wa Mkomazi kuanza kutoa tuzo hiyo kuanzia mwaka huu, uliwekwa wazi mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamule.“Nimefurahishwa sana na namna Hifadhi ya Taifa ya...

asali

12Aug 2019
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe katika viwanja vya Nanenane, mjasiriamali Christina Mushi, alisema ni muhimu serikali kuwa na kituo maalumu cha kukusanyia asali zao kwa ajili ya kuiuza kwa wafanyabiashara ili...

wafungwa

12Aug 2019
Renatha Msungu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Kamshina Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), Phaustine Kasike, alipotembelea Gereza la Isanga na Msalato jijini hapa kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba za maofisa...

Pages