NIPASHE

MKUU wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama.

07Sep 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Mshama alifanya ziara ya kushtukiza katika machinjio hayo jana na kujionea hali ya uchafu ulivyokithiri katika eneo hilo ikiwamo kutapakaa kwa vinyesi vya ng’ombe na damu, hali iliyosababisha...

Sabrina Msuya, Ofisa Uhusiano wa kampuni ya kubeti ya SportPesa akimkabidhi Meneja Matangazo wa The Guardian Limited, Prosper Kwigema (wa pili kushoto) ngao ya shukurani kwa mchango wa magazeti ya Nipashe na The Guardian katika kufanikisha kisiasa, kiuchumi na kijamii ziara ya klabu ya Everton ya Uingereza nchini Julai. Wengine pichani ni Meneja wa Chapa, Kauthar D'souza (kushoto) na Mhariri Mtendaji wa Nipashe, Edmund Msangi. NA MPIGAPICHA WETU

07Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Everton ni klabu pekee kutoka England iliyowahi kutua hapa nchini kwa maandalizi ya msimu huu mpya na kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...

Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas.

07Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbali na Mgoyi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya TFF, wajumbe wengine wa kamati hiyo ni pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Almasi Kasongo ambaye...
07Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Hiki ndicho anachokisisitiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkuranga mkoa wa Pwani, Mshamu Munde, katika jitihada za kutaka kujifunza na kurekebisha makosa, anashauri shule za umma na binafsi...

Anayetambuliwa kuwa Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa CUF na upande wa katibu mkuu Maalim Seif Shariff Hamad, Mbarala Maharagande (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. PICHA: HALIMA KAMBI

07Sep 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Wabunge wa upinzani walitoka ndani ya ukumbi wa Bunge kususia kuapishwa kwa wabunge saba wapya wa Chama cha Wananchi (CUF), lakini Mtulia alibaki ukumbini na kuungana na wabunge wawili wa chama hicho...

wafanyakazi wa Williamson Diamond Ltd.

07Sep 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kiasi hicho cha fedha ni sawa na Sh. bilioni 448, kwa mujibu wa viwango vya kubadilishia fedha jana. Hayo yamo kwenye ripoti hiyo iliyowasilishwa jana na kamati hiyo katika hafla iliyofanyika...

Mwenyekiti wa Kamati Elias Mwanjala aliyevalia suti nyeusi.

07Sep 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***TFF yabariki, milioni 11/- zarejeshwa Msimbazi, klabu zinazodaiwa ada za uhamisho nazo sasa kukatwa...
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Katiba na Hadhi za Wachezaji, Elias Mwanjala, alisema kamati yake imefikia uamuzi huo baada ya klabu hizo mbili kufikia makubaliano...
06Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jana wakati akizungumza na wadau wa zao la korosho kwenye kikao alichokiitisha ofisini kwake mjini Dodoma kujadili mwenendo wa zao la korosho na ununuzi wa pembejeo...

Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Hashim Rungwe.

06Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akizungumza na waandishi wa habari amesema leo Septemba 6 kuwa Rungwe ambaye pia ni mwanasheria aliachiwa kwa dhamana jana usiku...
06Sep 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari kutokana na kuwapo kwa taarifa kuwa kuna ada maalum kwa vyombo vya usafiri vinavyoingia na kutoka katika mji huo, hivyo kusababisha taharuki kwa wananchi Katibu...
06Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Viongozi wanne wa CUF wanaomuunga mkono Mwenyekiti wa Chama hicho Prof Ibrahim Lipumba wamefariki dunia baada ya msafara wao kupata ajali kwa kugonga na Lori maeneo ya Ubenazomozi Mkoa wa Pwani usiku...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki.

06Sep 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Hayo yalielezwa jana bungeni mjini Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema)...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Jinsia kwenye viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo jijini Dar es Salaam jana.

06Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Samia alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati akifungua Tamasha la 14 la Jinsia la mwaka 2017. Alisema kabla ya kuanza kutekelezwa kwa mpango wa elimu bure mwaka jana, familia nyingi...

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea .

06Sep 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, kesi hiyo sasa imesogezwa mbele hadi Septemba 28, mwaka huu katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma. Kwa mujibu wa sheria ya makosa ya jinai iliofanyiwa marekebisho 2002 ya...

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk. Charles Msonde.

06Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, sababu zingine zimetajwa kuwa ni kuendelea kuongezeka kwa uelewa na sheria ndogo za kuwabana wazazi katika kuhakikisha watoto wao wanahudhuria masomo na ongezeko la idadi ya watu kwa mwaka...

Mkurugenzi Mtedaji wa TPSF, Godfrey Simbeye.

06Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mkurugenzi Mtedaji wa TPSF, Godfrey Simbeye aliyasema hayo jana wakati wa kutia saini mkataba wa maelewao kati ya taasisi hiyo na na taasisi ya utafiti na ushauri wa kimataifa ya Oxford Business...
06Sep 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi, aliwarejesha washtakiwa hao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi.Kishenyi alidai kuwa jeshi hilo limekamilisha kazi yake kama upande wa Jamhuri...
06Sep 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Wabunge hao walioteuliwa hivi karibuni, waliapishwa bungeni mjini hapa jana huku kukiwa na wabunge watatu pekee wa upinzani waliobaki ndani ya ukumbi wa chombo hicho cha kutunga sheria. Wabunge...
06Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Siku zahesabika waliosuka 'Dili' kuumbuliwa, kwenda Keko
Vichwa hivyo vya treni, ni vile ambavyo utata wa habari zake uliibuliwa na Rais John Magufuli wakati alipofanya ziara kwenye Bandari ya Dar es Salaam na pia alipozungumza na watumishi wa Takukuru...
06Sep 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Gesi hiyo asilia inayotokana na kinyesi cha wanyama ambayo imeanza kufanyiwa majaribio katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii cha Mamtukuna, kabla ya kusambazwa rasmi katika maeneo hayo.   Mtaalamu na...

Pages