NIPASHE

11Aug 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Msukumo wa wananchi hao umekuja, baada ya Waziri huyo kutangaza kuvirejesha serikalini viwanda 10 ambavyo wawekezaji wake wameshindwa kuviendeleza. Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Jaffary Michael...
11Aug 2017
Frank Monyo
Nipashe
Bendera aliyasema hayo wakati wa mkutano mkuu na wanachama wa Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), mkoa wa Manyara. Alisema amepokea maagizo kutoka kwa Waziri wa...
11Aug 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Pamoja na pongezi hizo, aliitaka bodi hiyo kutoa mikopo kwa wakati pamoja na kuangalia namna ya kuwakopesha wanafunzi fedha za kujikimu. Akizungumza na uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo.

11Aug 2017
Frank Monyo
Nipashe
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga alisema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru washtakiwa wa magari hayo, Sulatani Ibrahimu raia wa Uganda na Ramadhani Ukwaju wa Tanzania kulipa...

Meneja Uhusiano wa DAWASCO, Everlasting Lyaro, akizungumza na waandishi wa habari.

11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza baada ya kuzoezi hilo, Meneja Uhusiano wa DAWASCO, Everlasting Lyaro alisema wameanza kutoa elimu mtaa kwa mtaa jijini Dar es Salaam na kwa kuanzia wametoa elimu kwa madereva pikipiki...
11Aug 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Hayo yalisemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Leonard Chamuriho baada ya kutembelea na kukagua uwanja huo akiwa ameambatana na baadhi ya maofisa wa Mamlaka ya...
11Aug 2017
Grace Mwakalinga
Nipashe
Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya Rais, Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini, Oran Njeza alisema msaada huo utasaidia kupunguza changamoto hizo ambazo zilikuwa zinaikabili sekta ya Afya wilayani humo...

Mbunge wa Bukoba (Chadema), Wilfred Lwakatare.

11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama ya Rufaa, Mbunge Lwakatare amefunguka na kusema serikali imeona haina nia ya kuendelea na mapingamizi hayo katika Mahakama ya Rufaa na kudai kwake yeye ni jambo...
11Aug 2017
Steven William
Nipashe
Baadhi ya wakazi wa wilaya hii wamesema ni jambo la ajabu kwa bilionea huyo kuja nchini na kutembelea wilaya ya Tanga badala ya maeneo mengi ya kifahari ambayo angeweza kwenda kwa hadhi aliyonayo...
11Aug 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Mradi huo mkubwa wa kufua umeme ambao utaongeza kiwango cha nishati hiyo, katika muktadha wa sasa wa kuelekea uchumi wa kati unaobeba dhana ya maendeleo ya viwanda, unatarajiwa kuanza wakati wowote...
11Aug 2017
Stephen Chidiye
Nipashe
Mashuhuda wa tukio hilo walisema chanzo cha ajali hizo ambazo zilitokea majira ya saa 1.30 juzi ni mwendo kasi waliokuwa wakiendesha madereva wa pikipiki hizo, hali ambayo iliwafanya washindwe...
11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakulima watishia kuususia, serikali kata hadi wizarani yahaha kupata jibu
ambao wamepanga kususia shughuli zote za maendeleo zitakazoelekezwa katika kata ili kushinikiza serikali imalizie ujenzi uliokwama kwa zaidi ya miaka minne. Hadi unakwama, zaidi ya Shilingi...
11Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Maadhimisho ya mwaka huu kitaifa yatafanyika kesho Jumamosi mjini Dodoma, yakiwa na kaulimbui “Ushirikishwaji wa Vijana katika Kudumisha Amani.” Vijana wanaadhimisha siku hiyo, huku wakikumbana na...
11Aug 2017
Mhariri
Nipashe
Wamekuwa wakizilalamikia halmashauri kutumia mgambo kuwafukuza, kuwanyang’anywa bidhaa na wakati mwinginwe kuwatembezea kichapo na kuwatia mbaroni kwa tuhuma za kufanya biashara holela. Maelekezo...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana, wakati akizungumza na watumishi na watendaji wa wilaya hiyo mjini Sikonge. “Nataka maelezo yakayoniridhisha ni kwa nini hamkufikisha asilimia 80 ya makusanyo ya...

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu.

11Aug 2017
Romana Mallya
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu, alisema jana, jijini Dar es Salaam wakati akifungua maonyesho ya 20 ya kimataifa ya vifaa vya ujenzi yaliyoandaliwa na kampuni ya Expo Group....
11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lwandamina ambaye alirithi mikoba ya Mholanzi Hans van der Pluijm, amesema bado hajaona mshambuliaji anayeweza kumfunika Ngoma, ambaye msimu uliopita alisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara....

Yusufali Manji.

11Aug 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Madai hayo yalitolewa jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Cyprian Mkeha baada ya mshtakiwa huyo kusomewa maelezo ya awali. Wakili wa Serikali Mkuu, Timon Vitalis alidai kuwa Manji ni...

pembejeo

11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu alitoa onyo hilo juzi wakati akizungumza na wadau wa tumbaku wakiwamo wabunge, viongozi wa dini, chama na serikali kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Isike-Mwanakiyungi, Tabora...

Kamanda Msangi.

11Aug 2017
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza na Nipashe katika Hospitali ya Rufani ya Bugando jana, Editha Malima (Esther Ntobi), alisema kabla ya mkasa wa kupigwa risasi, yeye na familia yake walikuwa wakila chakula cha usiku huku...

Pages