NIPASHE

11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakulima watishia kuususia, serikali kata hadi wizarani yahaha kupata jibu
ambao wamepanga kususia shughuli zote za maendeleo zitakazoelekezwa katika kata ili kushinikiza serikali imalizie ujenzi uliokwama kwa zaidi ya miaka minne. Hadi unakwama, zaidi ya Shilingi...
11Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Maadhimisho ya mwaka huu kitaifa yatafanyika kesho Jumamosi mjini Dodoma, yakiwa na kaulimbui “Ushirikishwaji wa Vijana katika Kudumisha Amani.” Vijana wanaadhimisha siku hiyo, huku wakikumbana na...
11Aug 2017
Mhariri
Nipashe
Wamekuwa wakizilalamikia halmashauri kutumia mgambo kuwafukuza, kuwanyang’anywa bidhaa na wakati mwinginwe kuwatembezea kichapo na kuwatia mbaroni kwa tuhuma za kufanya biashara holela. Maelekezo...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana, wakati akizungumza na watumishi na watendaji wa wilaya hiyo mjini Sikonge. “Nataka maelezo yakayoniridhisha ni kwa nini hamkufikisha asilimia 80 ya makusanyo ya...

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu.

11Aug 2017
Romana Mallya
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu, alisema jana, jijini Dar es Salaam wakati akifungua maonyesho ya 20 ya kimataifa ya vifaa vya ujenzi yaliyoandaliwa na kampuni ya Expo Group....
11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lwandamina ambaye alirithi mikoba ya Mholanzi Hans van der Pluijm, amesema bado hajaona mshambuliaji anayeweza kumfunika Ngoma, ambaye msimu uliopita alisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara....

Yusufali Manji.

11Aug 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Madai hayo yalitolewa jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Cyprian Mkeha baada ya mshtakiwa huyo kusomewa maelezo ya awali. Wakili wa Serikali Mkuu, Timon Vitalis alidai kuwa Manji ni...

pembejeo

11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu alitoa onyo hilo juzi wakati akizungumza na wadau wa tumbaku wakiwamo wabunge, viongozi wa dini, chama na serikali kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Isike-Mwanakiyungi, Tabora...

Kamanda Msangi.

11Aug 2017
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza na Nipashe katika Hospitali ya Rufani ya Bugando jana, Editha Malima (Esther Ntobi), alisema kabla ya mkasa wa kupigwa risasi, yeye na familia yake walikuwa wakila chakula cha usiku huku...

Mkurugenzi Mkuu SportPesa, Pavel Slavkov.

11Aug 2017
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa juzi na Mkurugenzi Mkuu SportPesa, Pavel Slavkov, alieleza kuwa mteja wa SportPesa ambaye tayari ameshajisajili na kuanza kucheza, anachotakiwa...
11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni msukosuko unaoisogeza katika hatari ya kufutwa kutoka Soko la hisa la Tokyo, Japan kutokana na tafsiri ya kiuchumi kwamba haijihimili kibiashara. Kampuni hiyo inazalisha bidhaa kama vile simu,...
11Aug 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi huo, Mwanasheria Benjamin Kalume, alisema majina yaliyoletwa katika nafasi ya Mwenyekiti yalikuwa mawili, lakini jina la Abdulkadir liliondolewa...
11Aug 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Mbali na Shemhilu, washtakiwa wengine ni Harun Mattambo, Lusekelo Kasanga, Martin Simba na Godson Makia. Washtakiwa walisomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba aliyepangiwa...

Rais John Magufuli.

11Aug 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana, jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Majadiliano ya Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Viwanda, Fedha, Huduma na Ushauri (Tuico), Hassan Athumani,...

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

11Aug 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kiwanda hicho cha Moproco, alikizungumzia Rais John Magufuli hivi karibuni, baada ya msafara wake uliokuwa ukitoka Dodoma kwenda Dar es Salaam kusimamishwa na wananchi katika eneo la Msamvu. Rais...

Bill Gates.

11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa kwa vyombo vya habari jana ilisema fedha hizo zimetolewa na BMGF kwa ajili ya miradi mbalimbali katika sekta za kilimo,...

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog.

11Aug 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mpaka sasa tayari Simba imeshacheza mechi tatu za kirafiki za kimataifa, ambazo ni dhidi ya Orlando Pirates, Bidvest Wits zote za Afrika Kusini na Rayon FC, mabingwa wa Ligi Kuu Rwanda....
11Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waliouawa wanasadikiwa kuwa miongoni mwa wahalifu waliokuwa wakiendesha genge la mauaji kwenye Wilaya hizo ambapo hadi sasa watu zaidi ya 40, wakiwemo raia na polisi wameshauawa kwa nyakati tofauti...

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.

10Aug 2017
Neema Emmanuel
Nipashe
Wito huo umetolewa jijini Mwanza na Mwenyekiti wa TALGWU Taifa, Seleman Kikingo, katika mkutano wa nusu mwaka wa wenyeviti wa mikoa wa chama hicho cha kutathmini mwenendo wake kwa kipindi cha miezi...
10Aug 2017
Frank Monyo
Nipashe
"Kuna baadhi ya viongozi wa Serikali hapa mkoani wamejiingiza kwenye biashara ya vishada na uuzaji wa pembejeo. Hii ni dosari, hatutaruhusu hili hata kidogo," alisema Majaliwa. Waziri Mkuu...

Pages